Naona bora niingie shamba tu akili yangu ilipofikia.
Nataka kuingia kwenye kilimo cha maharagwe Arusha. Je, ni njia zipi zitahitajika kupitia kilimo hiki? Faida, hasara! Angalizi. Mahitaji, Eneo, Na vinginevyo. Kabla sijaanzishaa.
Naombeni mawazo yenu wapendwa