kijana

Michael Christopher Kijana Wamalwa (25 November 1944 – 23 August 2003) was a Kenyan politician and, at the time of his death, served as the eighth Vice-President of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pesa ya lodge wewe, pesa ya chakula na vinywaji wewe, mkimaliza kuzini pesa ya nauli wewe, pesa ya matumizi wewe. Kijana, tafakari una akili timamu?

    Ngono ni kitu kinachotukuzwa sana bila ya sababu za msingi. Mwanadamu ana matamanio makuu 3. 1. Kufanya ngono 2. Kula na 3. Kutawala (kuwa kiongozi, kumiliki mali na vitu vizuri). Kijana amepata kibarua siku analipwa posho yake anahaha kutafuta kabinti wakale kahela kake ambako ni kadogo. Ila...
  2. Ultimate

    JamiiForums Tanzania Moja ya kijana ninayemsomesha ameniambia amepewa mkopo

    Wakuu Moja ya kijana naye mfadhili masomo toka primary leo ameniambia ndio amepata mkopo Kwenye process nzima alinishirikisha toka mwanzo. Ile hawamu ya kwanza aliniambia hajapata, baada ya hapo hakunipa mrejesho tena Kwa kuwa mda wa vyuo ulikua unakaribia nikafanya mchakato akapata ada na...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mimi ni kijana wa Miaka 25 nna tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume

    Mimi ni kijana wa Miaka 25 nna tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume.. Niligundua hili tangu mwaka 2023 baada ya kushindwa kusex Kwani uume ulisimana ila nataka kuingiza tu nikamwaga na uume ukanywea Kabisaa ndio nikajua kama Sina nguvu za kiume baada ya kuuliza na kuambiwa baadhi ya dalili za...
  4. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Kumbe huyu kijana wa ChatGPT - Sam Altman ni shoga, naona jana ilikua harusi yake.

    Kumbe yule CEO machachari aliefukuzwa na board ya kampuni yake ya OpenAI na kurudishwa tena baada ya muda mfupi ni shoga. Huyu kijana Sam Altman alipata umaarufu baada ya hio Coup de tat ilioshindikana ndani ya OpenAI. Ni wazi sasa AI ni mpango wa watu wa New World Order na ndio maana watu...
  5. Mjanja M1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeamua kumuongeza mshahara huyu kijana

    Kijana anastahili kuongezewa mshahara na Boss.
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kijana usijaribu kumsaidia binti jambo lolote au kiasi chochote cha pesa kama huyo binti si ndugu yako

    Kichwa cha habari kinahusika. Ni nature ya Dunia wanawake ni watu wabinafsi, hasa hawa wadada. Hawana cha kukupa zaidi ya UTI Hawana shukrani Wakikutana na msaada mwingine anaanza kuusahau msaada wako anaanza kumwazia yule wa pili, tatu n.k Saidia wazazi wako au ndugu zako wa damu, huo ndio...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini kijana hutakiwi kutoa mahari kwa karne hii

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Nafahamu mada hii ni ngumu, na haitakuwa nzuri sana kwa sababu ya mazoea na desturi za jamii zetu nyingi ambazo kimsingi bado zipo gizani. Lakini hiyo haitazuia kuijadili na hapa tutajadiliana kwa hoja. Wale wenye hisia na mihemko ya kimbuzimbuzi tayari...
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweni hawanitaki, wanasema nimempa dawa kijana wao. Nifanye nini?

    Habari wana jf, Mimi ni binti wa miaka 26 na nipo kwenye mahusiano na Tunatarajia ndoa ila Ukweni wanaweka pingamizi sana na sijawahi fanya chochote kibaya na wala sina mazoe na wakwe zangu ila chakushangaza mama mkwe Anamuuliza Kijana wake "Hivi Bado upo na yule mwanamke tu kwani amekupa...
  9. CONTRARIAN

    JamiiForums Tanzania 20M inatosha kuhamia Dar kuanza Maisha na Biashara?

    Naomba ushauri ulio serious, hili jambo ni serious, sio Drama. Ichukulie kama ni wewe. Unauhakika wa kupata 20M cash, Kwa ufupi ni kufanya maamuzi tu ila unasubiriwa wewe tuu. Una vyombo na kitanda tuu, Kwa ufupi, ni vitu vya kukufanya upike na ulale... Risk ni kwamba ukichukua umechukua...
  10. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Kijana afariki kwa kukanyagwa na treni akiwa anasikiliza muziki

    Mkazi wa Mtaa wa Ndejengwa jijini Dodoma, Laurent David, amefariki dunia baada ya kugonga treni ya mzigo akiwa eneo la reli. Inaelezwa aliaga nyumbani kwamba anaenda kufanya mazoezi. Ajali hiyo imetokea leo, Jumamosi Desemba 30, 2023 saa 12 asubuhi kwenye Reli ya Kati. Laurent inaelezwa...
  11. comte

    JamiiForums Tanzania Kijana wa Kisrael aandika barua kugoma kujiunga na jeshi la nchi yake kupigana na Hamas. Hii imekaaje?

  12. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Hakuna mahali watu wanaishi kwa kuigiza na kutolea stress zao kama JamiiForums

    Ukifungua nyuzi nyingi huku jamiiforums utashangaa sana kwenye section ya comment kila mtu ana-vimba mfano kama mtu amekuja kuomba msaada utastaajabu watu wanavyotoa majibu ya hovyo sana na yasiyojali utu. Jamiiforums ni sehemu ya watu kutolea stress zao, ni kawaida sana jamiiforums mtu kuanza...
  13. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Kijana Mmoja ameomba Sparring na mimi,kiukweli nimefurahi mno kwasababu nataka nimuonyeshe kwanini niliitwa UMUGHAKA

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa kukuongoza kijana Hance Mtanashati kwa kuomba kufanya Sparring na mimi,haya ndiyo mambo nipendayo UMUGHAKA Nimewahi kumuomba ndugu yako Sparring lakini akaingia mitini na kuendelea kunitukana!. Nashukuru sana kwa...
  14. Kijana LOGICS

    JamiiForums Tanzania Kama una miaka 25 Wewe ni kijana mzee kama Una miaka 26 Wewe ni mzee kijana

    Nawakumbusha tu ukifika miaka 25 unakuwa kijana mzeee. Ukiwa na miaka 26 Wewe ni mzee kijana so changa karata ZAKO MAPEMA ukiwa na nguvu. Kama Una miaka 40+ Anza kufanya mazoezi kuwa na tabia ya kucheck sukari, pressure n.k.
  15. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kijana wangu anatafuta nyumba ya kupanga riverside, Ubungo

    Habari marafiki, Nina kijana wangu wa kazi anatafuta nyumba ya kupanga maeneo ya riverside. Mwenye nayo ailete hapa.
  16. Pleasepast

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana ambao hamjaoa, kama wewe sio kijana wa Kijita usije kujichanganya ukaoa binti wa Kijita

    Wajita tabia zao unakuta mama kalea watoto wake yeye mwenyewe lakini unakuta mume alipoteza maisha na sio kwamba anapoteza kwa muda sahihi, ila anapotezwa. Yaani wanawake wa kijita wako pamoja na mama zao yaani unakuta mama mmoja ana watoto watano kila mtoto na baba yake na familia zao kitendo...
  17. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Wanooeneza Picha na Habari za uongo kuhusu Kijana Joshua aliyeuawa na Hamas wanafaidika Nini?

    Nimeshangaaa kuona baadhi ya watu wanashea habari na picha za uongo kuwa kijana molel alijiunga na jeshi la isael, watu Hawa wasio na akili wamekuwa wakituma picha zilizoeditiwa kiasi Cha Mimi kuzifanyia uchunguzi nikabaini Ni upotoshaji, lakini nikajiuliza wanapata faida gani kufanya hivyo? Au...
  18. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Kwa mnaoeneza uzushi dhidi ya kijana wa Kitanzania aliyeuawa na Hamas

    To all of you inventing and spreading calumnies against Joshua Mollel: 1. You are suckers. 2. You are all stupid people. 3. You are all idiots. And if you believe everything that is being spread around by these people, then you are also a sucker, a stupid person, and an idiot all in one bag...
  19. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kijana kama huijui kamari usiisogelee kabisa, kamari ni hatari zaidi ya hatari ya kuchezea nyoka

    Kamari Kamari Kamari Kamari nakuita mara 3, kamari iwe ya kubashiri mpira, kucheza madubwi ya mchina, au online casino maadamu tu inaitwa kamari hiyo ni sumu kali. Uswahili vijana wanazeeka hawaoi kisa kamari. Kamari inakupa tamaa ya mabilioni na magari ya kifahari halafu unaishia kuvisikia tu...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Mchungaji "kijana" afia gesti akila kondoo wake

    Padre Joseph Kariuki siku za uhai wake Padre wa Kanisa Katoliki Parokia ya Ruai, Nairobi, umri miaka 43, amefia gesti akiwa na ji binti la miaka 32 watu huwa tunajidanganya mtu wa miaka 40, 45, 49, eti bado nae anaitwa kijana... haya vijana .... tujihadhari na kupenda sifa za "kupeleka...
Back
Top Bottom