Nahitaji kijana wa kusimamia biashara ya Tigopesa

chuma jr

Member
Oct 17, 2015
84
133
Habar zenu waungwana nimekuja kutangaza fursa ya kazi kijana mwenye uzoefu wa biashara ya tigopesa wa kike au wa kiume awe anaishi Tabata anicheki, ofisi ipo Segerea.

Kama una ndugu yako kikubwa awe muaminifu mwambie anichek malipo ni 50/50 commision kikubwa ajitume.
Call 0627218573
 
50/50 ndo kias gani? Mana kama ndo uñaanza kijana wa watu lazima ale nyasi
 
  • Kicheko
Reactions: _ID
Back
Top Bottom