matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 6,590
- 15,385
Ukomavu wa utu uzima unaanza mtu akifikisha miaka 20. Utu uzima unaanza akifikisha miaka 13. Kimsingi mwenyezi Mungu hatambui kitu mnachokiita Teenagers/Adolescents au foolishage. Miaka 13~19 ni mtu mzima anayejianaa kuoa akihitimu 20s.
Ziko faida nyingi wazazi wakiwaandaa vijana wao kukomaa ili kufikia miaka 20 wawe na uwezo wa kuoa.
1: Ni umri sahihi wa ukomavu wa kijana kukaa na mke. Anaoa akiwa amekomaa bila kupitiliza.
2: Ana nguvu za kutosha kufanya masahihisho ya makosa akiwa bado anamwili wenye nguvu.
3: Akifikisha miaka 40, yaani mtu mzima mkomavu mtoto wake anakuwa na miaka 20. Mtu mzima.
Anawahi kutua majukumu ya malezi na kusomesha.
4: Anabaki na muda mwingi wa kuendelea kumfurahia mke wake ukubwani huku watoto wakiwa wameshajitegemea. Kumbuka wewe ni mwili mmoja na mkeo sio na watoto wako. Watoto ni wapitaji tu unepewa na Mungu uwavushe.
Ni hayo tu.