Anaandika,
Mimi ni kijana wa miaka 20s+ nilifundishwa kubeti mwishoni mwa mwaka 2014 Kama Sio mwanzoni mwa mwaka 2015 nikiwa bado nasoma secondary.
Kabla sijajifunza kubeti nilikua kijana mwenye akili iliyotulia,mipango inayotekelezeka na mwenye future nzuri na yenye tumaini.
Lakini kadri niliyokua nikipata experience katika kubeti ndivyo nilivyoanza kupoteza uelekeo kwa kureplace akili niliyobarikiwa na Mungu with akili ya kamari ( kufanikiwa within a night)
Sitoelezea Sana Ila ieleweke tuu kwamba
Kubeti kumeniharibia maisha, kumeniharibia Mipango, betting imenipa uadui mkubwa na watu wangu wa karibu, betting imenisababishia Madeni ambayo sikuyategemea hii ni kutokana na kubeti mfululizo ndani ya miaka 8-10,
kukiambatana na stress za Hali ya juu huku timu moja ikichana mkeka na kupoteza fedha nyingi ambazo Kama ningezikusanya ningefanya mtaji wa shughuli nyinginezo
Leo hii tarehe 30/1/2024 nimeamua kuachana rasmi na masuala ya kubeti na kamari zote.
Lengo la kuandika huu Uzi ni kuwafikishia ujumbe vijana wenzangu kua wanapoteza muda katika kubeti unless wawe wanafanya Kama starehe tuu Ila Kama wanamalengo ya kutoboa kupitia betting Basi wajue wanapoteza muda
Najua wengi watabeza hatua hii lakini in the long run of successive betting watakuja kukubali kua wanapoteza pesa na muda,ni Bora huo muda wangetumia kufanya shughuli zingine za kimaendeleo kuliko kubeti
Niwashukuru sana tuliokuw pamoja katika kipindi chote cha betting na niwatakie kazi njema Na Mungu awe nanyi, 🙏🙏🙏🙏
Nini maoni yako?