Natafuta kijana wa kuuza chipsi

banalunda

JF-Expert Member
Jul 3, 2012
231
66
Habarini za majukumu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.

Nahitaji kijana muaminifu na mzoefu wa jiko la kuuza chipsi, mishkaki, samaki n.k, kwa hapa Dar es Salaam.

Aliye serious anicheki PM tafadhali.
 
Samahani naomba kujua Location maana Mimi Niko Kitunda Shule huku
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom