Kijana wa miaka 14 auawa kwa risasi akijaribu kumdunga kisu afisa wa polisi wa Israel

Exile

JF-Expert Member
Feb 21, 2021
1,406
3,363
Video kutoka eneo la tukio inamuonyesha gaidi mwenye umri wa miaka 14 akimkimbilia afisa wa Israel akiwa na kisu na kujaribu kumuua

Afisa mwingine anakimbia kuelekea kwa gaidi huyo na kisha kumpiga risasi na kumuua ili kumzuia mshambuliaji aliyechanganyikiwa asimpige afisa huyo.

Picha ya kijana (gaidi) aliyeuwawa

20240206_094830.jpg
 
Huu ni ukatili usiokubalika. Katoto kadogo hako hata kama kangekuwa na kisu kalitakiwa kaonywe kwa kuchapwa fimbo tu na sio kumuua kwa risasi. Hawa mayahudi wa mchongo wamezidi ukatili.

Lakini nikikumbuka walivyomfanya Mollel wetu. Wacha wapigwe risasi nimehairisha kuwatetea. Wacha wauawe tu.
 
Hawa wa Israel nilikua upande wao lakini hii haikubaliki, dogo ameshakimbia nilitegemea hata kama kilikua na ulazima wa kum restrain basi wangeshoot hata mguu, idf na weledi wote huo anashindwa hata kumlenga mguu wamshike

Ila Kuna mchambuzi wa vita wa marekani anasema Israel wamezidi kuzalisha Hamas wengi kupitia vita hii, hata mi ningekua mpalestina ambaye sijajiunga na Hamas alafu let's say watoto wangu, mke, ndugu washauliwa aisee sasa ntakua na Nini Cha kupoteza tena, ni kutafuta yoyote nilale nae mbele tu
 
Wapalestina wanapigania ardhi yao, yani awe ndani ya Hamas au nje ila tayari Mioyo yao imeamua kupambana na Israel.
 
Video kutoka eneo la tukio inamuonyesha gaidi huyo mwenye umri wa miaka 14 akimkimbilia afisa wa Israel akiwa na kisu na kujaribu kumuua

Afisa mwingine anakimbia kuelekea kwa gaidi huyo na kisha kumpiga risasi na kumuua ili kumzuia mshambuliaji aliyechanganyikiwa asimpige afisa huyo.

Picha ya kijana (gaidi) aliyeuwawa
View attachment 2895762
Aisee! Gaidi lenyewe ndiyo huyu dogo!?
Ugaidi umekuwa kitu rahisi mno!
 
Video kutoka eneo la tukio inamuonyesha kijana mwenye umri wa miaka 14 akimkimbilia afisa wa Israel akiwa na kisu na kujaribu kumuua

Afisa mwingine anakimbia kuelekea kwa kijana huyo na kisha kumpiga risasi na kumuua ili kumzuia mshambuliaji aliyechanganyikiwa asimpige afisa huyo.

Picha ya kijana aliyeuwawa

View attachment 2895762
Oh jamani! 🥹🥹
He is too young & cute!
 
wewe ni mjinga usiejielew
Video kutoka eneo la tukio inamuonyesha kijana mwenye umri wa miaka 14 akimkimbilia afisa wa Israel akiwa na kisu na kujaribu kumuua

Afisa mwingine anakimbia kuelekea kwa kijana huyo na kisha kumpiga risasi na kumuua ili kumzuia mshambuliaji aliyechanganyikiwa asimpige afisa huyo.

Picha ya kijana aliyeuwawa

View attachment 2895762
wewe ni mjinga usiejielewa kwanza huyo ni mtoto na pia vilevile hao sio magaidi kwa jinsi unavyowatangazia wanapigania haki yao isitoshe izrael ndio magaidi na wamarekani na wewe ni chawa wao
 
Huu ni ukatili usiokubalika. Katoto kadogo hako hata kama kangekuwa na kisu kalitakiwa kaonywe kwa kuchapwa fimbo tu na sio kumuua kwa risasi. Hawa mayahudi wa mchongo wamezidi ukatili.

Lakini nikikumbuka walivyomfanya Mollel wetu. Wacha wapigwe risasi nimehairisha kuwatetea. Wacha wauawe tu.
Mtoto wa miaka 14 wa kitanzania tofauti na mtoto wa miaka 14 wa asia, amerika na ulaya
 
Hawa wa Israel nilikua upande wao lakini hii haikubaliki, dogo ameshakimbia nilitegemea hata kama kilikua na ulazima wa kum restrain basi wangeshoot hata mguu, idf na weledi wote huo anashindwa hata kumlenga mguu wamshike

Ila Kuna mchambuzi wa vita wa marekani anasema Israel wamezidi kuzalisha Hamas wengi kupitia vita hii, hata mi ningekua mpalestina ambaye sijajiunga na Hamas alafu let's say watoto wangu, mke, ndugu washauliwa aisee sasa ntakua na Nini Cha kupoteza tena, ni kutafuta yoyote nilale nae mbele tu
Angeua ingekuwaje mngesema mtoto au?
 
Gaidi ni gaidi tu haijalishi ni kijana, kikongwe ama kitoto! Wewe unaweza kumuacha kiumbe alietaka kukutoa uhai huku ukimtizama live? Hiyo itakua somo kwa watoto wenzie wanaofundishwa chuki kwamba mtoto haulambwi.
 
wewe ni mjinga usiejielew

wewe ni mjinga usiejielewa kwanza huyo ni mtoto na pia vilevile hao sio magaidi kwa jinsi unavyowatangazia wanapigania haki yao isitoshe izrael ndio magaidi na wamarekani na wewe ni chawa wao
Mimi ni mjinga ndio lakini huyo kijana sijamuua mimi, kifo amekitaka yeye
 
Back
Top Bottom