Kijana (30) amuua mpenzi wa mama yake (34) kisa wivu wa kimapenzi

tpaul

JF-Expert Member
Feb 3, 2008
21,838
18,250
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Kijana mmoja kutoka Arusha ajulikanaye kwa jina la Idrisa Baltazari (30) amefanikiwa kumuua mpenzi wa mama yake aitwaye Manzi Yambayamba (34) kwa sababu za wivu wa kimapenzi.

Habari kamili kutoka eneo la tukio zinadai kuwa kijana huyu pia alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na mama yake na kwamba yeye ndiye aliyemuanza mama kabla Yambayamba hajaja kuingilia penzi lao. Kijana alipoona mama yake anaegemea zaidi kwa mpenzi wake mpya ndipo akachukua jukumu la kumuua ili asiendelee kuwa kikwazo kwake.

Chanzo: Mwananchi

MAONI YANGU
Kisa hiki kimenikumbusha mama wa msanii maarufu wa bongofleva nchini Tanzania ambaye ameolewa na mwanaume mwenye umri mdogo unaokaribiana na umri wa msanii huyo. Wakati mwingine akina mama wanawaangusha sana watoto wao, kitendo kinachoweza kusababisha wivu wa kimapenzi, hasa pale wanapoona wanakaribiana umri na mwanaume anayetoka na mama yao. Hapo ndipo wivu wa mapenzi huanzia kwani huwezi kujua uhusiano wa ziada uliopo kati ya mama na mwanaye.

Natoa wito kwa wanaume wanaowachukua wanawake wazee kujithathmini kwanza kabla ya kuchukua maamuzi ya kuoana au kudumisha penzi lao kwani suala hili limekuwa chanzo cha mauaji ya kizembe kwa sababu ya wivu wa kimapenzi unaoweza kuzuilika.

Nawasilisha.
 
Ukiona mama na kijana wake wana uhusiano wa mapenzi ujue ni ushirikina wa mali. Maisha taiti, kwenda kwa mganga wanapewa masharti wawe wanakazana. Sasa hapo anayemuua sio kwa sababu ya wivu, bali analinda agano, maana hawatakiwi kuwa na wapenzi nje yao.
 
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Kijana mmoja kutoka Arusha ajulikanaye kwa jina la Idrisa Baltazari (30) amefanikiwa kumuua mpenzi wa mama yake aitwaye Manzi Yambayamba (34) kwa sababu za wivu wa kimapenzi.

Habari kamili kutoka eneo la tukio zinadai kuwa kijana huyu pia alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na mama yake na kwamba yeye ndiye aliyemuanza mama kabla Yambayamba hajaja kuingilia penzi lao. Kijana alipoona mama yake anaegemea zaidi kwa mpenzi wake mpya ndipo akachukua jukumu la kumuua ili asiendelee kuwa kikwazo kwake.

Chanzo: Mwananchi

MAONI YANGU
Kisa hiki kimenikumbusha mama wa msanii maarufu wa bongofleva nchini Tanzania ambaye ameolewa na mwanaume mwenye umri mdogo unaokaribiana na umri wa msanii huyo. Wakati mwingine akina mama wanawaangusha sana watoto wao, kitendo kinachoweza kusababisha wivu wa kimapenzi, hasa pale wanapoona wanakaribiana umri na mwanaume anayetoka na mama yao. Hapo ndipo wivu wa mapenzi huanzia kwani huwezi kujua uhusiano wa ziada uliopo kati ya mama na mwanaye.

Natoa wito kwa wanaume wanaowachukua wanawake wazee kujithathmini kwanza kabla ya kuchukua maamuzi ya kuoana au kudumisha penzi lao kwani suala hili limekuwa chanzo cha mauaji ya kizembe kwa sababu ya wivu wa kimapenzi unaoweza kuzuilika.

Nawasilisha.

Wachagga tena!
 
Kijana enyewe isiwe ni huyu hapa.
 
Attachments

  • IMG_20240208_220310.png
    IMG_20240208_220310.png
    47.3 KB · Views: 4

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo vzr bro!? Unamtamani mama yako mzazi? Kitendo cha kuona wivu mama yako akili wa tunda na njemba nyingine, ni dalili ya tatizo LA akili, unaweza ukakereka au kuona kinyaa mama kywa na mpenzi mwenye umri kama wako
 
Back
Top Bottom