Leo nitaeleza kwa nini uvivu ndio chanzo cha ongezeko tabia za hovyo kwa vijana wa kiume

Teslarati

JF-Expert Member
Nov 21, 2019
1,735
6,796
Kijana ukiwa mvivu utaanza kuwa na wivu. Yaan ukikuta watu wanaongelea au wanaonesha mafanikio yao wewe utaona kero, na wivu ukizidi sasa huko kwenye ubongo inafanyika reaction moja unaanza kuwa na nyege nyege tu kila muda.

Hizo nyege ndo zinakufanya uendelee kujichua kila kukicha.

Ukizidisha kujichua huku haufanyi mazoezi unakua unapunguza homoni za kiume, na sasa endapo unaendeleza kuangalia video za porn basi una-despair, unaanza kutamani kujaribu na wewe kulalwa na kulia lia kama ka-jike.

Ikifika hio hatua basi auyomatically utaanza kuona wewe kila mtu anakuonea, na eti shida zako ndio kubwa sana zaidi ya wengine kumbe ni uanamke umeshakuvaa, yaan nje upo mwanaume ila akilini ndo kanamke kaliotoka kubalehe sasa.

Ukiendekeza kulia hapo ndo wanaume wengine watakupoza lwa masharti ambayo utakubali au utakuja humu JF kusema unataka kujiua ukidhan vishida vyako vidogo vidogo vya kipuuzi ni vikubwa kumbe tyr akilini wewe ni mwanamke.

Kijana, epuka uvivu, jichanganye, hata kama huna kazi nenda kajitolee kuchonga viazi vya chipsi au kuosha vyombo hotelini.

Hivi kwa nn hamjiulizi siku hizi majambazi yamepungua ila mashoga yameongezeka?
 
umerusha jiwe kwa CHAPUTA

kila kitu hapo ni kweli kasoro kuhusianisha porno na ushoga
Kuna research ya harvard inasema porn ni kati ya factor kubwa inayochangia watu kuwa mashoga.

Hio research imefanya siku hizi ukiwa sehemu kama Georgia ukafungua hata pornhub lazima ufanyiwe facial scan kuana kama umefika 18yrs.
 
Kijana ukiwa mvivu utaanza kuwa na wivu. Yaan ukikuta watu wanaongelea au wanaonesha mafanikio yao wewe utaona kero, na wivu ukizidi sasa huko kwenye ubongo inafanyika reaction moja unaanza kuwa na nyege nyege tu kila muda.

Hizo nyege ndo zinakufanya uendelee kujichua kila kukicha.

Ukizidisha kujichua huku haufanyi mazoezi unakua unapunguza homoni za kiume, na sasa endapo unaendeleza kuangalia video za porn basi una-despair, unaanza kutamani kujaribu na wewe kulalwa na kulia lia kama ka-jike.

Ikifika hio hatua basi auyomatically utaanza kuona wewe kila mtu anakuonea, na eti shida zako ndio kubwa sana zaidi ya wengine kumbe ni uanamke umeshakuvaa, yaan nje upo mwanaume ila akilini ndo kanamke kaliotoka kubalehe sasa.

Ukiendekeza kulia hapo ndo wanaume wengine watakupoza lwa masharti ambayo utakubali au utakuja humu JF kusema unataka kujiua ukidhan vishida vyako vidogo vidogo vya kipuuzi ni vikubwa kumbe tyr akilini wewe ni mwanamke.

Kijana, epuka uvivu, jichanganye, hata kama huna kazi nenda kajitolee kuchonga viazi vya chipsi au kuosha vyombo hotelini.

Hivi kwa nn hamjiulizi siku hizi majambazi yamepungua ila mashoga yameongezeka?
Nimecheka sana mkuu 😂 "Wewe huna haja ila una hoja" - Anonymous

Usikilizwe sana kwa sababu umetoa maneno machache ila umeeleweka nasubiria vijana wa hovyo waje na kutetea haja.
 
Na vijana walivyo wapuuzi mtu anaamka hata hafanyi usafi.

Kuna dogo alikuja kwangu ndg yake na wife, akawaambukiza watoto wangu ugonjwa wa kulala hadi saa 3 na kuacha mashuka hovyo. Siku moka sijui ilikuaje nikaingia saa mbili kwao, aisee nilipiga mikanda wote pale.
Namna hiyo mkuu, tia mikwaju.
 
+ Stress za kukosa hela

🤣🤣 mshamba_hachekwi kumbe ndio mambo zake hizo
Yaan kisaikolijia tu hapo mtu hachomoki maisha yote, anakua ashatengeneza jela.

Sababu akibeti akaliwa, atajipoza kwa nyeto, ile dopamine release anayopata baada ya nyeto akilini ndo anadhan itamfariji.

Vilevile akibeti akapata atajipongeza kwa nyeto. Yaan yeye success or failure zote zinampeleka kwenye nyeto.

That's some deep psychology stuff, mtu kuchomoka hapo ni mpaka Ngamia apite kwenye tundu la sindano
 
Zamank sisi tulipokua ndo machalii unakuta mablazamen wanajisifia, tena walikua wanawakusanya madogo. Ila baada ya kuchukia mtu unaanza kufuatilia jamaa katoboaje.

Kuna kipindi jamaa mmoja mtaani kwetu pale alienda A level akachukua PGM, sasa akaja kupata chance akaenda mambele, na sisi wote tukaiga, yaan mtaa ule kwa madogo tulokua tunaenda sayansi miaka iliofuata PGM ndo ikawa deal.

Lakini sikuhizi li-dogo lipuuzi likimuona dj ally ana range 2 linakuja JF kusema jamaa anauza poda, shenz type kabisa.
 
Yaan kisaikolijia tu hapo mtu hachomoki maisha yote, anakua ashatengeneza jela.

Sababu akibeti akaliwa, atajipoza kwa nyeto, ile dopamine release anayopata baada ya nyeto akilini ndo anadhan itamfariji.

Vilevile akibeti akapata atajipongeza kwa nyeto. Yaan yeye success or failure zote zinampeleka kwenye nyeto.

That's some deep psychology stuff, mtu kuchomoka hapo ni mpaka Ngamia apite kwenye tundu la sindano
Vijana wanatia huruma sana mwisho wa siku depression inawatafuna
 
Back
Top Bottom