Naileta hii habari hapa kwa imani kwamba viongozi wa serikali na hasa wizara ya ujenzi na miundo mbinu ni wapenzi wa jf na hulitumia jukwaa hili kupata habari sahihi zisizochakachuliwa.
Barabara tajwa hapo juu (King'ori - Ngarinayuki - Oldonyosambu) ni barabara muhimu inayounganisha mikoa ya...
Makampuni ya simu bado kero kwa wananchi
Watumiaji wa simu za mkononi bado wameendelea kulia na mabadiliko ya vifurushi vya simu za mikononi ambayo yamepandisha gharama za matumizi.
Mabadiliko hayo ya vifurushi ambayo yalifanyika Hivi karibuni yakihusisha makampuni mbalimbali ya simu...
Huwa sipendi kuwachosha wanajukwaa naenda moja kwa moja kwenye maada.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuwa " kuna kero ya board ya mikopo ya elimu ya juu hususni sheria mpya ya mwaka 2016.
Sheria hii mhe Rais ni kandamizi kwa sababu ya mambo mawili,mosi sheria hii inatumika kuwakata...
Ni wakulima wa matunda,kuanzia maembe mpaka machungwa mpaka mananasi ,kwa kweli tunapata hasara kubwa sana ,tunachohitaji ni kama ipo wizara au waziri wa kilimo,mpatie safari za nje aend huko kutembelea masoko kwa maana ya sokoni au hata kwenye suprmarket zile kubwa kubwa.
Ninachokiona kwa...
Kwa wanaume waliooa tupe kero au usumbufu ulioupata hadi kufanikiwa kumpata huyo mkeo.
Kuna wengine hadi walikaribia kufirisika wengine ushindani ulikuwa mkali nk.
Tupe uzoefu wako
Ndugu zangu, kwanza nitoe pole kwa wote kufuatia kifo cha Raisi wetu mpendwa. Sasa nijielekeze moja kwa moja kwenye mada, kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibara ya 37(5) Makamo wa raisi, mama Samia, ndiye atakaye kuwa raisi wetu kwa kipindi chote kilichobakia kuelekea...
Sijui kama wewe imewahi kukutokea, lakini kwangu ndicho kinachoendelea na uzalendo unaanza kunishinda. Ni hivi, nina ndugu wa kiume wa mke wangu, ana changamoto za kimaisha na kiuchumi, tunamhifadhi hapa nyumbani kwa muda, ajipange na kisha tuangalie namna gani tunaweza kumsaidia asimame kwa...
Kwa sasa mtandao cheap kabisa ni Airtel ila wana changamoto ya uslow kwenye data, sioni kama kuna hatua zinachukuliwa.
Baada ya anguko la Tigo wamepata wateja wengi sana, zile kero za Tigo zamani zimerudi Airtel sasa, ukipiga simu unaweza kuambiwa haipatikani kwa sasa, ukirudia ikapatikana...
Kumekuwa na tabia iliyozoeleka Sasa ya wanainchi wakiwa na Mabango ya kero mbalimbali mbele ya Rais Magufuli. Hii ni Ktk ziara zake mbalimbali za kuwatumikia wanainchi.
Je, hali hii inamaanisha ni Kushindwa kwa viongozi wa kisiasa/ wawakilishi na watendaji/ watumishi wa umma katika kazi zao?
Ndugu wana JF humu ndio mahala pa kuhoji kila jambo linalotuhusu. Je, serikali awamu ya tano imekamilisha kutatua kero zetu?
Alipoingia madarakani rais Magufuli alianza kwa kasi ya kutumbua wote ambao walionekana ni wabadhirifu, wasiowaadirifu ambao walionekana kuwaletea kero wananchi kisha...
Jeshi la polisi lilijinasibu limehamia ktk teknolojia hususani ktk huduma kadhaa ikiwemo upatikanaji wa taarifa ya kupotea kitu.
Ideally matumizi ya system ni excellent sababu inaokoa muda LKN siku za hivi karibuni upatikanaj wa huduma hiyo ni kero
Unaweza ukajaza taarifa online then...
Vodacom mnahuduma mbovu sana. Nimetuma Pesa kwenda mtandao wa Tigo nimekatwa hela lakini baadaye wanatuma message hii,
"Samahani, muamala wako haukukamilika kwasababu za kiufundi. Tafadhali wasiliana na huduma kwa wateja."
Nawapigia customer care wananiambia wana hitilafu ya kimtandao hela...
Leo Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Magufuli ameweka picha akiwazodoa wanaosema ndege haziji Tanzania.
Nami nakubaliana naye kuwa Uwanja wetu wa kisasa JNIA unapokea ndege nyingi kupita kiasi (kuchafuka).
Tanzania inatajwa kuwa ni moja ya nchi chache Afrika zinazopendwa sana kutembelewa na...
Kwakweli hii chemba imekuwa kero sana kwa watumiaji wa hiyo njia kwani mara kwa mara inazidiwa uwezo na kupelekea maji taka kutoka katika mfuniko wake na kusambaa katika barabara na kuleta kero kubwa na hatari ya kupata magonjwa ya mlipuko kwani maji yenyewe ni meusi na yananuka sana ukizingatia...
Sijui ni nani anahusika ku huisha namba za Ofisi za Serikali kama za Mawaziri/Wizara, Wakuu wa mikoa, Wilaya, Hospitali za Mikoa, Hospitali kuu za Wilaya na taasisi nyingi za Serikali kwenye mtandao kwani namba nyingi zilizopo zilishafungiwa au zimebadilika.
Naamini kutokuwa na namba za simu...
Kama kichwa cha habari kilivyo.
Ukipita njia ya Tabata Segerea kuelekea Ukonga ukifikanpale Majumba Sita kuna trafic light pale kuna michoro ya zebra ambayo ni wazi dereva mgeni wa njia ile ni vigumu kutambua.
Kero hii imekuwa inachangiwa zaidi na trafiki ambao kazi yao ni kuandikia tu...
Tatizo la uhaba wa madarasa limekuwepo kwa muda mrefu na lilianza kushamiri hasa miaka ya tisini.
Ukweli ni kuwa sababu kubwa ni ongezeko la idadi ya watoto wanaotakiwa kujiunga na elimu ya msingi na sekondari kwa ujumla.
Kuleta visingizio kuwa eti awamu ya tano kuanza kutoa elimu bure ndio...
Mimi ni mfatiliaji mzuri wa Kipindi cha Mhe. Polepole chenye jina la Papo kwa Papo!
Kumekuwa na tabia ya baadhi ya Viongozi kutokupatikana kwenye simu! Na hii ndio picha iliyopo kwenye Jamii!
Viongozi wengi wa Serikali, RC, RAS, DC, Mawaziri, Wabunge, Makatibu Wakuu, nk wamekuwa na tabia ya...
Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi (MB) ametangaza kuivunja Bodi ya ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira ya Mji Mdogo wa Rujewa katika Wilaya ya Mbarali, mkoani Mbeya kwa kushindwa kuisimamia ipasavyo menejimenti ya mamlaka hiyo kutimiza majukumu yake kwa ufanisi...
Nashauri Krismasi zijazo ikiwapendeza muwe mnawapa ( mnawaingizia ) Mishahara yao Tarehe 24 tena Usiku ili angalau Mshahara ukae kae na hata Fujo za Kimatumizi nazo ziweze Kupungua. Kwa Kitendo chenu tu cha Kuwaingizia ( Kuwapa ) Mishahara yao Juzi Jumanne tarehe 22 kwa aina ya Matumizi na Bata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.