Nimeoa nina miezi miwili lakini naona kero kwa mambo haya

kunta93

JF-Expert Member
Nov 9, 2015
750
1,482
Nina miezi miwili nimeoa ila hizo ndo kero ambazo nakutana nazo,na kiukweli zinakeraaa

1: Ku deal Na wakwe Na mashemeji
kuna mashemej ni wasumbufu asee,yaani anaeza kupigia simu af hana cha maana Na akaforce muongee nusu saa Na huezi mkatia simu.tena bora awe mjini wakiwa wa vijijini utakoma.af shida zao zote zinakua zako

2: Kula chakula ambacho amependa mke wako siku hiyo.
unaeza toka kwenye miangaiko siku hyo ukawa Na hamu ya ugali samaki ila ukakuta kapika kande la nazi, af anaanza kusifia sifia lilivyo tamu.inakeraa

Saa nyingine ukimpgia simu mapema umwambie apike nn anakwambia ashanunua vifaa,hata kama bado atakudanganya ilimradi apike anachotaka kula siku hyo

3: Kuwekewa maji ya kuoga af siku hyo hutak hata kuyaona maji.
utaskia honey nshakuekea maji kaoge,dah inakera Na huezi kataa

4: Kukosa uhuru
ukipigiwa simu tu ukamaliza kuongea unaanza kuulizwa alikua nan?

Hapo unaanza kujieleza inform of essay

To be continued......
 
katika uloyaandika yote angalau no 1 ndo kero bt hizo zingine waziona kero coz hujaizoea ndoa, ndoa ina changamoto za kutosha na ili idumu lazima changamoto hizo zivumilike, bado unasafari ndefu sana mkuu ikiwa miezi 2 tu unaanza kulalama
 
Back
Top Bottom