Kero Stendi Kuu ya mabasi Shinyanga

Rusumo one

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
3,077
3,607
Kichwa cha habari hapo juu chajieleza, natokea Mpanda na kuingia stendi kwa basi la kampuni X muda wa kutoka tukazuiliwa na traffic polisi mweusi mrefu ambaye amelewa chakari ambaye alikuwa anatoa maelekezo ya hovyo na katukalisha kwa dk 40 bila sababu za msingi hii haipo poa pombe zake zinaharibia watu muda nilitamani nimchape makofi na hapa tumetoka muda huu naomba RPC, RTO Shinyanga waliangalie hili kwa jicho la 3 maana huyu askari anakwamisha uchumu kukua watu tunawahi kufanya mambo ya msingi kwa Taifa yeye anatukwamisha.

Nawasilisha
 
Ulichukua namba yake ya kazi na jina? Au kama kuna picha ulimpiga iweke.

Heading yako mtu anaweza kudhani tatizo ni stendi ya Shinyanga kumbe tatizo ni trafiki mmoja mlevi...
 
Ujumbe umefika kama hatabadilika atapata jibu haina haja ya ku expose mambo yote hapa ila anajijua na ujumbe ataupata hakuna ujanja ujanja awamu hii
 
Back
Top Bottom