Mtandao wa Vodacom umekuwa kero

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
1,222
764
Mimi napata kero sana na Vodacom kwenye maswala ya mpesa na vifurushi vya maongezi.

1. Nimeshakatwaga songesha wakati sikuwa na deni
2. Nilinunua bundle la maongezi la mwezi dk1100 mitandao yote imepita wiki tu inaniambia la Vodacom limeisha.

Worse enough uki report wanakuambia utapata majibu within 4 days ila wakikupigia inakuwa kama vile ni case mpya which you need to report as a fresh case.
 
VODACOM BADO WAPO JUU.
Nilikimbilia halotel lakini na wao Wana Mambo ya ajabu Sana.

Ukijiunga kifurushi chenye dakika za mitandao yote na za halotel kwenda halotel, alafu umpigie mtu wa halotel, utaona zinakatwa dakika za mitandao yote badala wakate za halotel! Kwa hiyo hutaweza kubania kifurushi Cha dakika za mitandao tofauti na Voda ambao ukimpigia mtu wa voda, wanakata dakika za voda tu!
 
Mimi napata kero sana na Vodacom kwenye maswala ya mpesa na vifurushi vya maongezi.

1. Nimeshakatwaga songesha wakati sikuwa na deni
2. Nilinunua bundle la maongezi la mwezi dk1100 mitandao yote imepita wiki tu inaniambia la Vodacom limeisha.

Worse enough uki report wanakuambia utapata majibu within 4 days ila wakikupigia inakuwa kama vile ni case mpya which you need to report as a fresh case.

Huo mtindo mimi enzi na enzi niliwahi kuwashtaki vodacom hadi TCRA, tcra wakasema niweke malalamiko kwenye maandishi, nikawa e-mail tcra lakini sikupata majibu, mda huo pesa washakula, vifurushi wanakata, ukipiga cm wanakwambia wasiliana nao kwa watssap, na watssap mpaka uwe na bando, kifupi sikupata msaada, Baada ya kusumbuana nao sana zaidi ya mwezi wakaja kunirudishia tsh.10000/= tu nilivyoitoa nikatupa line zte za voda nikajiunga tigo na halotel

Nilichogundua halotel nao wanakuuzia line ya tsh.5000 wanakupa MB za mwezi mzima GB7 na madakika ya mitandao yte kibao, ila wao haloteli wanabana sana zile GB mtandao utakuwa wakusuasua mpaka mwezi uishe , dk za mitandao yte nazo utatumia robo yke tu, utaambiwa zimeisha.
Mtandao ambao natesa nao saivi kwa nguvu zte ni Tigo matatizo nikidogo kuliko voda na halotel, aitel wala ucwajadili weka mbali na watoto.
Kwahiyo chukua hatua haraka
 
Voda Ni mtandao wa gharama mnoo siku zinavyozid kwenda nafkiri tutajichuja tu kama watumiaji wa tecno na iPhone
Mimi nahama Voda, japokua siku zingine inabid nirud tu bila kupenda
 
Biashara ya voda,tgo, Airtel,halotel,ttcl na mingine nisiyoijua...inafanana yote kwamaana wote wanaangalia faida na vifurushi vyao vinafanana. Mimi nimehama mitandao mpaka nkachoka. Sasa hv Nina laini mitandao yotee Ila kila siku nashindwa nichomeke laini ipi au Niache ipi. So chagua mtandao unaoshika kwako alafu tulia na huohuo

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom