Mkandarasi aliyepewa kumalizia kuweka lami eneo korofi baada ya kuvuka daraja la Kigamboni (Mnadani) amegeuka kero kubwa Sana kutokana na staili yake ya ujenzi usiozingatia kanuni za ujenzi!
Kanuni za ujenzi zinamtaka Mkandarasi kutumia Alama na michoro (posters) kutoa maelekezo kwa watumia...
Huku mgao wa maji huku umeme jiji limekuwa kama wanaishi wahuni hivi mkuu wa mkoa huwezi kutatua matatizo kama haya au mpaka aje Rais?
Leo umeme pia ni kero tupu maji ndo kama hivyo tunakimbizana na madumu kila siku wakati maji yapo hapa tu.
Enzi za katiba ya zamani hapa kwetu ilikua hivi hivi kama tunavyoshuhudia kwa Watanzania, kwamba maskini wanyonge wanalaghaiwa na kunyanyaswa bila msaada wowote, hata wakifika kwa wakuu wa mikoa taswira inabaki ile ile, mpaka siku msafara wa rais utapita, kisha umpigie rais makelele hadi akuskie...
Habarini za Asubuhi Bila shaka mu wazima wote wa Afya
Mada yetu ni kuhusu hii kero ya wapangaji ninapokaa hapa yaani imekuwa shida sana Wanaamua tu kukaa uwani wengine hawana hata kazi Wengi ni wanawake unakuta labda mmoja ndio tu anafua au anafangia uwani, lakini sasa wapo njiani na karibu na...
Wadau lengo la Uzi huu sio kubrag wala kuwaumiza watu ambao bado wanapambana kimaisha ila bado hawajatoboa. Mimi ni mjasiriamali, na naweza kusema kwamba nimefanikiwa kwa kiasi fulani kwani Turnover yangu kwa siku si chini ya million 10 hizi ni baadhi ya kero nazokutana nazo kila siku
1...
Jamani habarini kumekuwa na shida kwa baadhi ya maofisa wa NSSF kuingia ubia na waajili ya kutopeleka michango kwa wakati matokeo yake wanaoumia ni wanufaika huku mchangiaji akikosa haki zake za msingi
Kitendo hiki ni cha kinyama mfano mtu unatakiwa kupewa fao lako la uzazi lkn haki hii huwezi...
Wasalaam,
Siku mbili izi kuna video ya Waziri wa mambo ya ndani ya nchi akiongea na viongozi wa vyombo vya usalama imeonekana kwenye mitandao ya kijamii.
Waziri huyo alionekana akiwalalamikia sana traffic kwa kufanya kazi bila kuzingatia sheria, utu pia kufanya overcrowding barabarani, unakuta...
Kwa muda wa zaidi ya miezi miwili sasa barabara ya Kaole(Bagamoyo Secindary hadi Kaole) imekuwa ikiwekewa vifusi ambavyo havija sambazwa.
Hii ni kero kubwa.
Vifusi hivi viko kati kati ya arabara na wananchi wanapita kwa taabu sana.
Kaole ndiko kuna vivutio vya utalii wa wageni w kale toka...
Ukiwa na matumaini makubwa ya kuwa raia namba moja nchini, ulianza kampeni mapema kwa kuandika mabango kwa mamia katika maeneo yote muhimu na pia katika structures nyingi zilizo barabarani nchi nzima!
Kwa kuwa umegonga mwamba katika matumaini yako tafadhali tumia mbinu zile zile ulizotumia...
Kwema WanaJf,
Gwiji maarufu la madawa ya kulevya Pablo Escobar aliingiza wanyama kinyemela 'smuggle' Hecienda Medelin Colombia kutoka Africa mwanzoni wa miaka ya 90.
Wanyama Pablo aliowaingiza walikuwa twiga, Swala, nyati, zebras, mbuni, tembo, nyumbu na viboko wote wala nyasi na mimea...
Ninavyoona hii michango ya harusi ni mnyororo wa kutajirisha watu tu kwa kisingizio cha kuwanufaisha/ kusherehesha wanaharusi.
Kiukweli, mnyororo huu itabidi ifike wakati uvunjwe (kama sio kizazi hiki basi kijacho) kwani kamwe haupo kwa maslahi ya wanaharusi kama inavyodhaniwa na wengi, zaidi...
Nimesikitishwa sana na uzembe ambao Maofisa wa NMB- BANK HOUSE wameufanya na kusababisha wezi waliopora begi la kijana wangu pamoja na kadi ya Bank ya NMB wapate mwanya wa kuiba hela kwa kupitia kwenye ATM. Tukio lenyewe ni kuwa jana tarehe 27/02/2020 muda wa asubuhi kijana wangu aliporwa begi...
Zaidi ya asilimia 80 ya wananchi hasa mijini wanaishi nyumba za kupanga. Kwa mji kama DSM ambapo bado kuna uhitaji mkubwa wa makazi bora, watu hutumia zaidi ya robo ya vipato vyao kulipia kodi za nyumba kila mwezi, lakini cha kushangaza, serikali haioni unyeti wa kuingilia na kusimammia sehemu...
Mwaka 2020 umeanza na fumua fumua ya hali ya juu pale BRELA lakini kwetu wadau wa BRELA na wadau wa wawekezaji tunaona ndiyo kwanza kero imeanza.
Wakati wa KAKWEZI japo BRELA kulikuwa na urasimu na baadhi ya madudu lakini angalu mambo yalikuwa yanaenda, kwa sasa kusajili KAMPUNI Tanzania kwa...
Ulishawahi kuwa na mwenza (mpenzi/rafiki/mwanandoa) mwenye tabia yenye kukera lakini hata jinsi ya kumuambia unajiuliza mara mbilimbili utamuambiaje na ataipokeaje? Ana tabia ambayo, kwa kujua bila kujua inakera sio tu kwangu mimi binafsi bali hata watu wengine.
Kwasababu ya upendo na kuwafanya...
Hivi karibuni Trafic Police wanakaa sambamba na kituo cha Ubungo Kibo kuzuia magari yasipite njia ya mwendo kasi (kuelekea Ubungo). Sambamba na kituo hicho, kuna kituo cha daladala pia na bajaji zinapakia na kushusha.
kutokana na pilikapilika mahali hapo, waendesha magari kuna wakati...
Kaimu Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani Baraka Mwago amezungumzia Kero kubwa ya Mabasi ya mwendokasi inayowakumba wakazi wa Dar es Salaam.
Katika Salaam zake za mwaka mpya kwa Wakazi wa Kanda ya Pwani kiongozi huyo wa chama kikuu cha upinzani nchini alisema magari ya mwendokasi yamekuwa...
Kwa wahusika hasa halmashauri ya jiji na TAMISEMI, wasafiri tunaotumia usafiri huu tunakerwa na tabia ya wafanyakazi wenu kukatisha tiketi na kuchukua pesa hali wakijuwa hakuna either magari au magari yapo ila madereva hakuna. Hali imekuwa ikijitokeza mara kwa mara.
Leo asubuhi na mapema watu...
Kero kubwa ya Dar es Salaam kushinda zote ni foleni ndefu za magari kuelekea na kutoka Posta. Shida hii imechangiwa kwa kiasi kikubwa na ofisi na huduma nyingi kupatikana mitaa ya Posta.
Je, huko Dodoma kosa kama hili wamelizingatia? Je, ofisi nyingi za serikali zimetawanywa au zote ziko mtaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.