MGANGA WA KIENYEJI
JF-Expert Member
- Sep 10, 2012
- 521
- 170
Hii ni kero ya muda sasa katika Check Point ya Vijinga, Wilaya ya Mkinga, Mkoa wa Tanga, kwa abiria bila kujali vikongwe au wazawazito au wagonjwa wote kushuka chini wafikapo Check Point hiyo ili kukaguliwa vitambulisho vya kura au uraia. Kwa kweli mantiki yake haionikani kwani kwa mtu yoyote ambae uraia wake au mhalifu hawezi kupitia through check points.
Hili linatukera. Wenye dhamana ya Nchi Liangalieni hili.