kero

  1. Tulimumu

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo ni kero kubwa kwa wanafunzi nayo imejigeuza mhimili

    Ukweli ni kuwa hii tasisi ni kero kubwa kwa wanafunzi kutokana na usumbufu wanaopata wanafunzi na wazazi. Wanafunzi walishajaza maombi lakini Bodi sasa imeanza kuleta masharti kama mganga wa kienyeji mara wanafunzi wanaambiwa walege nyaraka zile zile ambazo washaziwasilisha kwaajili ya mikopo...
  2. F

    JamiiForums Tanzania TARURA Mwanza na kero ya maegesho - Rais Magufuli tusaidie

    1. Unascaniwa ikiwa haupo 2. Hakuna anayekujulisha kwa mdomo au text message 3. Unafanya jitihada kujua iwapo ulikuwa scanned, unaulizia kwa kutumia simu 152*00, usafiri, TARURA, deni jibu linakuja huna deni 4. Unakaa baada ya masaa kama 4 unajaribu tena jibu ni huna deni, unaachana na suala...
  3. namraroh

    JamiiForums Tanzania Kero: Msafara wa Rais umekuwa mateso kwa watumiaji wa barabara

    Ni kawaida kwa viongozi wetu kuwa na misafara mikubwa na yenye mbwembwe kibao, lakini kwa mtukufu rais wangu wa awamu hii umekuwa kero na mateso kwa watumiaji wa barabara kwa kuzingatia kwamba mara nyingi anasafiri kwa barabara, hali imekuwa mbaya na mateso ya hali ya juu. Leo wakati naelekea...
  4. Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Kero za michango ya Sherehe katika jamii ya Watanzania

    Hii Kitu nilitaka kuipost hapa miezi kadhaa iliyopita sema nikasahau, leo kuna jamaa kanipigia anataka nimtumie dolali za mchango wa harusi ya binamu yake ambaye hata simjui wala sijawahi msikia. Tuendelee:- Wakuu hii kitu bado bongo ipo tena siku hizi ni project kubwa na za garama ya juu...
  5. Nuraty J

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Tigo ni kero

    Morning Kiukweli Tigo jamani wanakera sana, tarehe 31 October mzee amenunua kifurushi cha tsh 2500 kwa njia ya Tigo Pesa, cha ajabu hela wamekata kwenye Tigo Pesa yake na kifurushi hajapata mpaka hii leo, kila anapopiga simu wanamuambia tatizo linashughulikiwa, ni wiki sasa, japo ni hela ndogo...
  6. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Makonda, Mambosasa huku Ubungo Msewe hakuna serikali?

    Kuna bar ipo makazi ya watu hapa Kanisa la Katoliki la Mtakatifu Paulo inapiga muziki mkubwa sana watoto hawalali, wagonjwa wanateseka. Bar ipo makazi ya watu inapiga muziki mkubwa sanaa na hakuna sound proof, juu ya yote sidhani kama wana leseni ya night club maana wangefuata mashariti ya...
Back
Top Bottom