Nafasi ya kazi kwa walimu kufundisha masomo ya ziada

Abtali mwerevu

JF-Expert Member
May 5, 2013
637
432
Natafuta walimu kwa ajili ya kuwafundisha wanafunzi masomo ya ziada katika kituo (Kinondoni Manyanya) au kwa kuwafuata nyumbani (maeneo mbalimbali Dar es salaam).

Vigezo kwa muombaji:
- Awe amesomea diploma, cheti, au degree ya ualimu kwa masomo yoyote. (Mwalimu Amudu vizuri lugha ya kiingereza, wanafunzi wengi ni English medium).

- Awe mkazi wa Dar es Salaam.

- Awe tayari kufanya kazi ya kufundisha kituoni au kuwafuata wanafunzi nyumbani.

Jinsi ya kuomba:
Tuma ujumbe kwa njia ya whatsapp namba 0653 25 05 66 unaoeleza mambo haya:
- Jina lako kamili
- kiwango chako cha elimu. (Degree, cheti n.k)
- Chuo ulichosoma na mwaka uliohitimu.
- Masomo unayofundisha.
- Sehemu ulipo hapa Dar es salaam. (Mfano: Kinondoni Manyanya).

Usifanye mambo haya:
- Usipige simu.
- Usitoe pesa ili upewe kazi hii.
 
Back
Top Bottom