Paul Makonda, Kigamboni na Kazi yake ya Ukuu wa Mkoa, Nini kitafuata au ndio amekuwa raia wa kawaida

Brightg

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
373
660
Haya ni mawazo yangu binafsi na kile ninacho hisi naomba nielekezwe au kukosolewa kwa hili,

Kwanza, Swali ni Kwanini umati mkubwa sana wa watanzania nchi nzima walikuwa na shahuku ya kutaka kujua matokeo ya Kigamboni, majimbo mengine badae Kwa nini, Kwanini tena Kwanini.

Pili, Alikuwa Mkuu wa Mkoa na alikuwa na Walinzi, je asipo teuliwa kuwa viti maalum au kupewa kazi nyingine serikalini ikiwemo pamoja na ukuu wa mkoa ataishi maisha ya aina gani maana alikuwa juu sana alipokuwa mkuu wa Mkoa na alikuwa ni mwenye command nyingi sana, Je maisha ya Uraiani bila body guard na bastola ataweza?

Nakumbuka Kigamboni walipata msaada wa Madawa na vifaa tiba kwa ajili ya hospitali ya Kigamboni baada ya kuona Faustin aliyewahi kuwa Naibu Waziri hakufanikisha hili, Je Makonda kuleta msaada huo ulikuwa ni sehem ya Kampeni na Kujitambulisha kwa wana Kigamboni?

Alipoacha ukuu wa Mkoa aliamini kuwa anakokwenda kugombea atashinda kwa kishindo kupitia yale aliyo wapelekea wana Kigamboni, je Faustin mgombea wa Ubunge kwenye kura za Maoni hakujipima kabla ya mchakato na nn kilikuwa kwenye mawazo yake kabla ya kura kuhesabiwa, bila shaka kwa aliyemuona Faustin alikuwa kama ana wasiwasi vile na alikuwa na utayari wa kukubali kushindwa.

Ninavyoona na kupitia hisia zangu, Makonda atateuliwa kuwa viti maalum au Faustine atatenguliwa na atateuliwa Makonda kuwa Mbunge wa Kigamboni, Moja kati ya hizi litafanyika, yote haya ni kutimiza kile kilicho pangwa kiwe, kumbukeni kila mwanadamu ana uzuri na mapungufu yake, kile tusicho tegemea ndicho tutakacho kiona kikifanyika na kwa sasa, kuna hali flani ambayo imeanza kuonekana baada ya Makonda kuachia ukuu wa mkoa.

Swali ni Kwanini umati mkubwa sana wa watanzania nchi nzima walikuwa na shahuku ya kutaka kujua matokeo ya Kigamboni, Kwa nini, Kwanini tena Kwanini.
 
Bashite hana lolote na sasa ndio ameonekana wazi kuwa ni mtu ambaye hapendwi kabisa..anategemea kubebwa tu..
Tazama nchi nzima wanashangilia na kufurahi ispokuwa Le Mutuz tu..
Amekuwa akizulumu mpaka haki ya watu wengine kuishi..
Mungu sasa ameanza kujibu.
 
Haya ni mawazo yangu binafsi na kile ninacho hisi naomba nielekezwe au kukosolewa kwa hili,

Kwanza, Swali ni Kwanini umati mkubwa sana wa watanzania nchi nzima walikuwa na shahuku ya kutaka kujua matokeo ya Kigamboni, majimbo mengine badae Kwa nini, Kwanini tena Kwanini.

Pili, Alikuwa Mkuu wa Mkoa na alikuwa na Walinzi, je asipo teuliwa kuwa viti maalum au kupewa kazi nyingine serikalini ikiwemo pamoja na ukuu wa mkoa ataishi maisha ya aina gani maana alikuwa juu sana alipokuwa mkuu wa Mkoa na alikuwa ni mwenye command nyingi sana, Je maisha ya Uraiani bila body guard na bastola ataweza?

Nakumbuka Kigamboni walipata msaada wa Madawa na vifaa tiba kwa ajili ya hospitali ya Kigamboni baada ya kuona Faustin aliyewahi kuwa Naibu Waziri hakufanikisha hili, Je Makonda kuleta msaada huo ulikuwa ni sehem ya Kampeni na Kujitambulisha kwa wana Kigamboni?

Alipoacha ukuu wa Mkoa aliamini kuwa anakokwenda kugombea atashinda kwa kishindo kupitia yale aliyo wapelekea wana Kigamboni, je Faustin mgombea wa Ubunge kwenye kura za Maoni hakujipima kabla ya mchakato na nn kilikuwa kwenye mawazo yake kabla ya kura kuhesabiwa, bila shaka kwa aliyemuona Faustin alikuwa kama ana wasiwasi vile na alikuwa na utayari wa kukubali kushindwa.

Ninavyoona na kupitia hisia zangu, Makonda atateuliwa kuwa viti maalum au Faustine atatenguliwa na atateuliwa Makonda kuwa Mbunge wa Kigamboni, Moja kati ya hizi litafanyika, yote haya ni kutimiza kile kilicho pangwa kiwe, kumbukeni kila mwanadamu ana uzuri na mapungufu yake, kile tusicho tegemea ndicho tutakacho kiona kikifanyika na kwa sasa, kuna hali flani ambayo imeanza kuonekana baada ya Makonda kuachia ukuu wa mkoa.

Swali ni Kwanini umati mkubwa sana wa watanzania nchi nzima walikuwa na shahuku ya kutaka kujua matokeo ya Kigamboni, Kwa nini, Kwanini tena Kwanini.
Subiri mamlaka ya uteuzi "ikikata moto" ndio utazisikia shangwe za watanzania.
 
Dont get too excited. Haya majina yanaenda kujadiliwa na kamati ya siasa. Kisha ndiyo anateuliwa wa kuwakilisha jimbo.
 
Kilichomponza Makonda ni kwamba hajawahi kua na siasa za kuzunguka na wanaccm wenzie mfano kuhamasisha au kuzurura na kundi la wenzake. Yeye ni amekua DC kisha RC hivyo kuna michezo hawezi kua anaijua na hata aliotaka kuwaongoza hawamjui km wanavyomjua Ndugulile.

Nafikiri hili ndiyo kuu, kwa maoni yangu.
 
Back
Top Bottom