I igihumbi JF-Expert Member Joined Feb 20, 2017 Posts 578 Reaction score 575 Jul 20, 2020 #1 Habari wapendwa poleni na kazi. Dada wa saluni anatafuta kazi anapatikana Dar Ukonga. Anaweza kufanya kazi zote za saluni ya kike na ana uzoefu wa kutosha. Kwa atakayemuhitaji aje PM nimpe mawasiliano.
Habari wapendwa poleni na kazi. Dada wa saluni anatafuta kazi anapatikana Dar Ukonga. Anaweza kufanya kazi zote za saluni ya kike na ana uzoefu wa kutosha. Kwa atakayemuhitaji aje PM nimpe mawasiliano.
M mbu wa dengue JF-Expert Member Joined Jun 2, 2014 Posts 10,237 Reaction score 13,968 Jul 26, 2020 #2 igihumbi said: Habari wapendwa poleni na kazi. Dada wa saluni anatafuta kazi anapatikana Dar Ukonga. Anaweza kufanya kazi zote za saluni ya kike na ana uzoefu wa kutosha. Kwa atakayemuhitaji aje PM nimpe mawasiliano. Click to expand... Icheki hiyo kazi nimeattach huenda ikamfaa
igihumbi said: Habari wapendwa poleni na kazi. Dada wa saluni anatafuta kazi anapatikana Dar Ukonga. Anaweza kufanya kazi zote za saluni ya kike na ana uzoefu wa kutosha. Kwa atakayemuhitaji aje PM nimpe mawasiliano. Click to expand... Icheki hiyo kazi nimeattach huenda ikamfaa