kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. T

    Baada ya Naibu Waziri wa Zimbabwe kumdhihaki Rais Magufuli, ZANU PF ya Zimbabwe yaiomba radhi CCM na Watanzania

    Chama tawala Zimbabwe cha ZANU PF kimeiomba radhi CCM kutokana na matamshi ya kashfa ya aliekua naibu waziri wa habari wa nchi hiyo aliyoyaandika kwenye mtandao wa twitter mwezi uliopita. Naibu waziri huyo Bwana Mutodi aliandika kwenye mtandao wake wa twitter kua Magufuri kwa maombi bila zuio...
  2. James_patrick_

    Kwa mwenye kuhitaji dereva mwenye sifa nzuri, napatikana

    Habari! Jina langu naitwa James Patrick nina miaka 24. Naishi Kunduchi, Dar es salaam. Elimu yangu mimi ni kidato cha nne na tokea nikiwa mdogo nilikuwa napenda sana magari. Kwa sasa fani yangu ni udereva ambao nimeanza tokea 2014, na nimefanya kazi kwenye kampuni nyingi tu, kitu ambacho...
  3. M

    Hivi kazi ya Reservation kwenye mbuga za wanyama zinafanyika kwenye maeneo gani?

    Naomba kufahamu mtu akiwa anafanya upande wa Reservation ndani ya mbuga za wanyama anafanya upande wa Serikalini au Ni kwenye hotel za kitalii tu zilizoko ndani ya mbuga za wanyama? Majibu tafadhali
  4. T

    Manyanyaso ya awamu hii yalinifanya nikaacha kazi. Wenzangu vipi mnaendeleaje na utumishi wa Umma? Mie siwapi kura CCM

    Na kilichoniumiza zaidi ni pale Mkuchika aliposaini kurekebisha Kanuni za Utumishi wa Umma - Januari 2018 ile iliyofuta Kanuni ya 107(2) iliyofuta baadhi ya haki muhimu za watumishi wa Umma. Ukweli kura siwapigii CCM! Labda wajirekebishe sana kwa muda huu mfupi uliobakia. Nyie wenzangu...
  5. Jamii Opportunities

    Content Writer at NileMart Group Company Ltd

    Company: NileMart Group Company Ltd Location: Tanzania State: Zanzibar Jobs Job type: Full-Time Job category: IT/Telecom Jobs in Tanzania NileMart Group Company Ltd The ideal candidates possesses a passion for writing and an innovative ability to create successful marketing campaigns and aid in...
  6. Jaji Mfawidhi

    Trafiki wanafanya kazi kubwa, wapongezwe

    Katika hali isiyo ya kawaida na ambayo haijawa kutokea toka tupate Uhuru Tanganyika na baadae Tanzania , Polisi wa Usalama Barabarani toka mwaka 2015 wamefanya kazi zao kwa weledi wa hali ya juu. Mwaka 2017 Mpwendwa Wetu Rais JPM aliona mateso yao na kuruhusu kuchukua shekheli ya ku-futia...
  7. M

    Natafuta kazi sales and marketing, customer service au data entry.

    Habari za mchana viongozi. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 Nina ujuzi katika sales and marketing na customer care service na data entry na stock controller namba yangu ya simu 0654918030.
  8. Jamii Opportunities

    Nafasi za Kazi Tanganyika Instant Coffee PLC

    1. POSITION: PROCUREMENT OFFICER Tanganyika Instant Coffee PLC Duties and Responsibilities Responsible and or reports directly to Procurement & Logistic Manager Responsible for determining the item to be stocked: programming stock, control and storage system related to procedures. To give...
  9. Daisy Llilies

    Fursa ya kazi ya kuchuma matunda Uingereza kiangazi cha 2020

    Berry farm vacancies 2020 Thank you for showing an interest in working on one of our fruit farms this summer. As a result of the business impact of COVID-19, we know many people are looking for work and we have numerous seasonal vacancies available on our farms up and down the country. From...
  10. R

    Graphic Designer Natafuta Kazi

    Kwa mwenye uhitaji wa Graphic Designer, natafuta kazi: Ninao uzoefu wa kutosha kwenye Designing na Printing katikaViwanda. Ninauzoefu wa miaka kumi (10) katika Designing na Printing, nikitumia Programs za:- Adobe Photoshop, Illustrator, InDesign, Coral Draw, Quick Express na Microsoft Office...
  11. FRANC THE GREAT

    Marekani: Afisa wa polisi aliyefutwa kazi Derek Chauvin ashitakiwa kwa mauaji ya George Floyd. Mkewe ataka talaka

    Afisa wa polisi aliyefutwa kazi Minneapolis Derek Chauvin amekamatwa na kufunguliwa mashitaka ya mauaji juu ya kifo cha George Floyd, mwendesha mashitaka wa kaunti ya Hennepin Mike Freeman alisema. Afisa huyo wa zamani alionekana katika video akiikandamiza kwa goti lake shingo ya Floyd kwa...
  12. barafu

    Kutana na Mabior Garang De Mabior, Waziri wa Maji wa Sudani Kusini, Waziri "msela" aliyefukuzwa kikaoni sababu ya mavazi

    Huyu bwana mdogo ni mtoto wa Garang,Juzi kati amefukuzwa kwenye kikao cha baraza la mawaziri la Sudan Kusini baada ya kuingia akiwa amevaa swag zisizo na hadhi ya Uwaziri.Rais akamtimua toka kwenye kikao,dogo alivyotoka nje akawambia waandishi kuwa "badala Rais azingatie ukosefu wa mafuta Sudan...
  13. Chief Kabikula

    Marekani tena kazi ipo

    Taifa la Marekani limetoa taarifa ifuatayo, kumbuka kaimu balozi wa Marekani aliitwa Wizara ya Mambo ya Nje na ushirikiano wa kimataifa kuhojiwa, one does not have to be a genius to understand this.
  14. L

    Kama taarifa ya janga la korona haina umuhimu Tanzania kwanini vyombo vyetu vya habari viendelee kutoa taarifa za mataifa mengine?

    Baadhi ya vyombo vya habari kama ITV na UTV hapa nchini kila baada ya taarifa ya habari hutoa summary ya mwenendo wa maambukizi ya korona duniani. Je kuna faida au madhara gani kwa wananchi kusikia taarifa ya mwenendo wa Korona kwa mataifa ya nje tu bila kujua kinachoendelea nchini? Je...
  15. Idugunde

    Hakuna namna tuwe wavumilivu tuchape kazi

    Nimetafakali sana hali ya maisha jinsi ilivyo. Nimepata jibu hapa ni kuchapa kazi tu. Kilimo,kuingia kwenye uvuvi,kuchimba madini na biashara. Maana kwa hii serikali ambayo imedhibiti wizi na rushwa huwezi kutoboa kwa shortcut.
  16. GENTAMYCINE

    Wanawake mnaofanya Kazi katika 'Madawati ya Jinsia' msipokuwa makini na aina ya 'Maswali' yenu kwa Wanaume mtakuja 'Kupigwa' siku moja

    Viswali swali vya Kipuuzi kama hivi msivyovibadilisha Watu wengine kama akina GENTAMYCINE tusio na Uvumilivu mtakuja Kupigwa! 1. Mkeo umefanya naye Mapenzi lini? 2. Huwa una tabia ya Kumkuna hasa Mkeo? 3. Kwa kawaida Mkeo huwa unampiga Bao ngapi? 4. Mara yako ya mwisho Kumkatia Mkeo Viuno...
  17. Analogia Malenga

    Wafanyakazi wa Google wataanza kufanyia kazi ofisini Julai 6

    Baadhi ya kampuni za teknolojia na habari zimewaambia watumishi wake kuwa wataendelea kufanyia kazi nyumbani muda wote, makampuni mengine yamepanga kuendelea na kazi katika ofisi zao hivi karibuni Moja kati ya kampuni litakalofungua ofisi zake ni Google. Mkurugenzi Mtendaji wa Google amesema...
  18. T

    Kabla sijaacha kazi nilishiriki siasa na niliona makosa ya wazi kabisa!

    Katika nafasi yangu kuna wakati nilitakiwa kutoa taarifa mbalimbali ili kusifia ufanisi wa Serikali. Kuna wakati tulikuwa tunaona kabisa hamna ufanisi lakini tulipaswa kusifu tu. Kuna siku wakaguzi Wizara ya Fedha walikuja kukagua mradi ambao tulikuwa tunautekeleza kwa fedha zao. Katika mradi...
  19. OLS

    Kosa la uzururaji bado lina mantiki kwa hali ya sasa?

    Wakati wa mkoloni watu wengi waliokosa kazi rasmi ‘formal employement’ walikuwa wakikamatwa kwa makosa ya uzurulaji. Swala hili lilifanyika kwa malengo ya kuwanufaisha wakoloni kwa muda mrefu sana. Pamoja na sababu nyingine zilizowekwa kuwa ni makosa ya Uzurulaji ilikuwa pia kwa sababu ya...
  20. P

    Miaka 10 ya Utumishi: Kumbukizi mbaya ya matumizi ya pesa isiyofutika katika historia ya maisha yangu

    Kuna mda huwa tunafanya makosa mengi sana katika maisha tena mengine ya kujitakia kabisa ambayo ukiyakumbuka baadae unayajutia sana. Binafsi kama ningetumia mda vizuri ningekuwa mbali sana sana kimafanikio kuliko nilivo sasa. Kipindi namaliza O' level baada ya matokeo kutoka nikapangwa Moshi...
Back
Top Bottom