Hivi Ukiamua kutafuta kazi kwa Mikoa ya Tanzania kwenye makampuni, ofisini, viwandani, mtaani, kwa siku tatu utakosa kweli

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
May 3, 2020
2,416
3,911
Maana mimi sina kazi na nipo kanda ya ziwa elimu yangu ni darasa la saba mkondo 'B' niseme tu hivyo sababu nina cheti cha primary school sina cha Secondary.

Kufika nilifika ila niliishia form two nikaachia hapo kwa sababu ya utukutu wangu acha maisha yanipige tu.
 
Maana mimi sina kazi na nipo kanda ya ziwa elimu yangu ni darasa la saba mkondo 'B' niseme tu hivyo sababu nina cheti cha primary school sina cha Secondary,

Kufika nilifika ila niliishia form two nikaachia hapo kwa sababu ya utukutu wangu acha maisha yanipige Tu
Hata ukitafuta kazi ya kubeba mizigo masokoni utakosa. Na hii haijalishi hata kama una vyeti mpaka vinajaa pipa.
 
Maana mimi sina kazi na nipo kanda ya ziwa elimu yangu ni darasa la saba mkondo 'B' niseme tu hivyo sababu nina cheti cha primary school sina cha Secondary,

Kufika nilifika ila niliishia form two nikaachia hapo kwa sababu ya utukutu wangu acha maisha yanipige Tu
Sasa mbona unajistukia
 
Lengo la huu uzi ni nini.
 
Nilienda kuomba kazi ya kubeba zege wakasema kwa jinsi nilivyochomekea siwezi kazi, now days natembea na bukta
Hayo yalishanikuta, ma grads wa juzi tunapata shida sana tunaambiwa tutafute hata vijikazi vidogo mtaani lakini hata huko tunakataliwa tukiambiwa hatuwezi kazi kwa jinsi tunavyovaa au ung'aavu wetu tu.

Yaan sijui watataka tuonekane tumechakaa ndo watupe hizo kazi!! Wakati mazingira ya kusoma hayachakazi mwili na hivyo kutufanya tuonekane watoto walaini kumbe sivyo😏
 
Wengi tunadharau njia walizokua wakitumia wazee wetu kupata ajira kwani baada ya kumaliza masomo walikua wakitembea na vyeti kwenye maofisi mashirika kuomba kazi na walifanikiwa kwa mtindo huo

Lakini vijana wa leo tunashinda ndani tukiperuzi kwenye mitandao kusaka matangazo ya ajira ambayo mengi ni feki na mengine yameisha muda.

Doar to doar ni njia nzuri binafsi ilinisaidia sana na usikubali kuishia getini kwa walinzi hakikisha unaingia kuonana na meneja au wahusika wa kampuni walinzi wanakuaga na majibu ya kukatisha tamaa siku zote anakujibu kanakwamba yeye ndio mkurugenzi "hakuna kazi"
 
wengi tunadharau njia walizokua wakitumia wazee wetu kupata ajira kwani baada ya kumaliza masomo walikua wakitembea na vyeti kwenye maofisi mashirika kuomba kazi na walifanikiwa kwa mtindo huo

lakini vijana wa leo tunashinda ndani tukiperuzi kwenye mitandao kusaka matangazo ya ajira ambayo mengi ni feki na mengine yameisha muda.

Kweli mkuu hii ilinikuta siku nimeenda kuomba kazi shirika la BAYLOR yaani wale masecretary walinifanyia kitu kibaya sitosahau maishani.
 
wengi tunadharau njia walizokua wakitumia wazee wetu kupata ajira kwani baada ya kumaliza masomo walikua wakitembea na vyeti kwenye maofisi mashirika kuomba kazi na walifanikiwa kwa mtindo huo

lakini vijana wa leo tunashinda ndani tukiperuzi kwenye mitandao kusaka matangazo ya ajira ambayo mengi ni feki na mengine yameisha muda.
Doar to doar ni njia nzuri binafsi ilinisaidia sana na usikubali kuishia getini kwa walinzi hakikisha unaingia kuonana na meneja au wahusika wa kampuni walinzi wanakuaga na majibu ya kukatisha tamaa siku zote anakujibu kanakwamba yeye ndio mkurugenzi "hakuna kazi"

Sio kwamba tunapenda kuishia getini.

Siku hizi ukifika tu kama huna appointment na muhusika wa office husika unajulikana shida yako ni kulilia kazi.

Na ukiongopa kama unaenda mfano kwa HR, utaulizwa majina yako matatu na palepale anapigiwa simu. Hii imeshanikuta.

So kupunguza usumbufu walinzi wa office nyingi wamepandishwa cheo sasa wamekuwa wasemaji wa office husika, ukiachilia mbali ile kazi yao mama ya kulinda mali za organization.

NB: ukiambiwa na wale washika virungu ''Ishia hapo hapo getini'' tii hiyo amri. Wale jamaa wana roho ngumu sana kukuvunja mguu haitachukua hata dk tano. Hela ya kuweka hogo utanywea chai asubuhi.
 
Back
Top Bottom