Taarifa Kwa Umma: Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru atakuwa na kikao kazi na Balozi wa China Nchini Saa 4:00 leo asubuhi

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,208
4,705
Katibu Mkuu wa CCM atafanya Kikao Kazi Na Balozi wa China Mhesh Wang Ke kuanzia saa 4: 00 asubuhi ya leo Oktoba 10, 2020.

Matangazo ya moja kwa moja kutokea Ukumbi wa Chuo Cha Uongozi Cha Mwalimu Nyerere Kibaha kupitia Televisheni za TBC na Channel 10

Tafadhali mkumbushe & Mtaarifu mwenzako

FB_IMG_16023090209036803.jpg
 
Leo kuanzia saa nne asubuhi Katibu Mkuu wa CCM ndugu Bashiru ali atakuwa na kikao cha kazi na balozi wa China nchini Tanzania ndugu Wang Ke

Katika chuo cha uongozi cha Mwalimu Nyerere kibaha Pwani

Watakuwa mubashara kupitia TBC na channel ten

Marafiki wa kweli wanakutana
 
Back
Top Bottom