Nasikia kuna Kazi (Ajira) za Fani (Professions) fulani ambazo ukizifanya hizo hata kama uwe kila Siku unasali Kumuomba Mwenyezi Mungu hawezi Kukubariki kwani zina Dhambi ndani yake na pia zimekaa Kilawamalawama na huwezi Kuzifanya bila kwenda Kinyume kabisa na Maandiko ya Kiimani.
Kuna Mtu...
wakuu bado lock-down inaendelea japo kuna mwanga unaanza kuonekana baada ya hotuba ya leo ya waziri wa uchumi wa hapa switzerland bwana Guy Parmelin kuonesha matumaini ya kulegezwa kwa masharti katika phase ijayo ya kupambana na huu ugonjwa.
Turudi kwenye tafakuri ya leo kama heading...
Habari wanaJF
Nilikuwa nauliza je kweli unaweza kuipata kazi unayoomba kupitia hizi recruitment agency kama empower, brighter monday, top talented recruit na zingine? Maana utapeli siku hizi umekuwa mwingi nyingine utasikia utoe hela kwanza.
Kwa waliowahi kupata kupitia hizi naomba ushauri...
Baada ya Kamati Kuu ya CHADEMA kukaa na kuamua kuwafukuza uanachama Wabunge wanne waliokiuka taratibu za chama hicho kwa kuhudhuria vikao vya Bunge tofauti na kilivyoamua Spika Ndugai awataka waliofukuzwa kutokuwa na hofu
Spika Ndugai amesema "Wabunge mnaapishwa na Spika na karibia wote humu...
Wakati wengi wakiamini kuwa Baba Mwenye Nyumba amekimbia makazi yake kutokana na hatari ya vile vijidudu,binafsi nimekuwa na mtazamo wa ziada kuwa mbali na hiyo kuweza kuwa ni moja ya sababu,lakini kitendo cha kukaa huko muda wote huu kwangu naanza kukiona kama ni dalili nyingine ya Baba huyu...
Wakuu masikio yetu yanahitaji pia kusikia habari tofauti na mambo ya covid-19,bila kupoteza Muda twendeni kwenye mada moja kwa moja.
Binafsi ningekuwa Mimi ndio nayeteua watukushika nyadhifa mbalimbali, Kamanda Kova nisingemsahau angekuwa mtu wa Kwanza kumpa kitengo hasa kwenye maeneo...
"Watu wanataka kazi ziendelee, tunaondoa lockdown na tutafungua uchumi wetu kwa njia zilizo salama,Watu wataendelea kuosha mikono na kuepuka mikusanyiko, uchumi wetu utarudi kwa nguvu zote, hakuna Nchi yoyote Dunia ya kutukaribia kiuchumi hata China”-TRUMP
Ni takribani miaka 3 hivi nimekuwa nikiwasaidia vijana au ndugu wa karibu kuomba kazi katika taasisi mbalimbali hasa za umma.
Nimejifunza mengi sana, nimeona challenges nyingi ila leo nitaongelea jambo moja tu. Jambo hilo ni kusoma tangazo la kazi kwa umakini na kulielewa.
Wengi wakikuta...
Kipindi hiki ambacho niko kwenye zuio la kutoka nje liliowekwa na mamlaka ya jiji nililomo nimeamua kuwa nashare hapa baadhi ya mambo ya nchi nilizowahi kukaa ili ziwe na manufaa kwa wenye malengo ya kutafuta maisha nje ya Africa mashariki.
Juzi nilileta andiko linahusu nchi ya Uswisi baadhi ya...
AKO Group Ltd inayofanya kazi zake Barrick Gold Mine (Bulyanhulu) inakaribisha maombi ya watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 5 za kazi katika idara ya Usafi (Housekeepers) kutoka katika vijiji/maeneo yanayouzunguka mgodi
MAJUKUMU MUHIMU USAFI(HOUSEKEEPER)
Kusafisha vyumba vya...
Pole na kazi Mkuu!
Ni imani yangu u mzima wa afya na unaendelea vyema na kuchapa kazi ya kujenga nchi yetu na ni imani yangu pia ujumbe huu utaupata na kuufanyia kazi.
Kwa ufahamu wangu mdogo nimeona hii ni platfom nzuri kwangu kuweza kukufikishia malalamiko yangu kama siyo yetu sababu sina...
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kuwasimamisha kazi Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii, Dr. Nyambura Moremi na Jacob Lusekelo Meneja uthibiti na ubora ili kupisha uchunguzi.
Sasa wameanza kushughulika na wataalam badala ya kudeal na Corona
Dr...
New Mv victoria Hapa kazi tu na Mv Butiama zimeshamilika na sasa zinasubiribiri tu commissioning ili zianze kufanya kazi.
Hii ni hatua kubwa sana katika sekta ya usafirishaji hasa katika ziwa victoria
Wafanyabiashara kati ya mkoa wa Kagera na Mwanza sasa wataenda kunufaika baada meli hizi...
Overview
Orascom Construction and Engineering Co. (T) Ltd. is a Tanzanian Company dealing with civil works, building contractor, decorations, timber works and other related activities situated in Dar es salaam, Ruangwa-Lindi and Dodoma.
The Company has various vacant posts below of which...
Ni vema tukamfahamu mtu huyu ili achambuliwe kwa lengo la kujiridhisha kama kwa Elimu yake na afya yake ya akili inafaa kwa sisi kuendelea kumchambua .
Vinginevyo tumwache na ikibidi tuendeleee kumuombea ili Mwenyezi Mungu amjaalie wepesi wa kutambua kwamba Cheo ni dhamana ya muda mfupi sana...
Moja kwa moja naomba niingie kwenye maada.
Mimi nina kampuni na ina usajili tayari kwa kila hatua zote pamoja TN na lesen kutoka halimashauri.
Kampuni hii inajihusisha na vitu vingi sana in general lakini kwa sasa inahusika na shughuli za IT services zote mfano programming na software...
Mtandao wa watetezi wa haki za binaadamu nchini Tanzania umesema katika mwaka 2019, watetezi wa haki za binadamu nchini humo walifanya kazi za utetezi katika mazingira magumu zaidi.
Kulingana na ripoti wa shirika la Human Rights Watch kuhusu hali ya haki za binadamu mwaka uliopita, miongoni...
WanaJF,
Utendaji kazi wa baadhi ya watumishi NSSF Ubungo haulidhishi kabisa! Nimekuwa nikifuatilia kulipwa mafao yangu toka mwezi 7, 2019 mpaka leo hii sijalipwa napigwa kalenda tu bila hata kujali kuwa mtu huyu anatokea wapi! Manake si kila mtu anaishi na kufanya kazi Dar es Salaam. Watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.