Afisa Elimu Wilaya ya Chamwino ampiga makofi mwalimu hadharani kwa kuchelewa semina

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,407
Hivi walimu mbona serikali ya CCM inawachezea Sana? Kila baada ya miaka kumi mnadhalipishwa kwa kunaswa makofi.

Mishahara hamuongezewi, mikutano ya CCM mnalazimishwa kuhudhuria, makofi mnapigwa kwa kisingizio cha 'hapa kazi tu.'

Kwa kuwa huu ni mwaka wa uchaguzi nyote kwa pamoja semeni NO to CCM


 
Mwalimu amefeli ,hapa naona zoezi la kijiunga jkt kwa mujibu wa sheria iwe la lazima kuanzia wahitimu kidato cha nne ,nadhani mwl angejihami na kuonyesha makeke yake, siyo kwa upole huo.
 
Walimu sisi tunapigia kura Magufuli na Ccm
Yule msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
 
Ana bahati mimi sio mwalimu ningekuja kumng'oa mtu meno kwa mateke. Na siku hiyo hiyo ningefukuzwa kazi labda.
 
Back
Top Bottom