Producer S2KIZZY avamiwa kwenye studio yake

kidochi og

Member
May 27, 2020
45
74
Producer wa muziki s2kizzy ametoa taarifa kupitia ukulasa wake wa Instagram kuwa usiku wa kuamkia Leo amevamuwa na Hawa wanaoijiita ulinzi shirikishi na kufanyiwa fujo kwenye studio yake ikiwa pamoja na kuvunjiwa vifaa vyote vya studio..

Anaendelea .. tumevamiwa tumepigwa kuteswa Sana anadai wanawake waliokuwepo humo studio wamedharirishwa, wamefanyiwa unyama wa kutisha sana

"WAMETUPIGA NA KUTUVUA NGUO MBELE YA WANAUME ZAIDI YA 20"

Wakina Dada waliokuwepo Studio kwa @s2kizzy waelezea Jinsi walivyopigwa na Kuzalilishwa na Watu waliojitambulisha kama "Walinzi Shirikishi" Usiku wa Kuamkia Leo .

Studio ya Producer @s2kizzy imeharibiwa vibaya , na Watu waliokuwepo ndani kupigwa na Marungu Kutoka Kwa Watu waliojitambulisha kuwa Walinzi .
 
Producer wa muziki s2kizzy ametoa taarifa kupitia ukulasa wake wa Instagram kuwa usiku wa kuamkia Leo amevamuwa na Hawa wanaoijiita ulinzi shirikishi na kufanyiwa fujo kwenye studio yake ikiwa pamoja na kuvunjiwa vifaa vyote vya studio..
Anaendelea .. tumevamiwa tumepigwa kuteswa Sana anadai wanawake waliokuwepo humo studio wamedharirishwA , wamefanyiwa unyama wa kutisha sana
Duh
 
nimezoom sana video mbalimbali kutafuta mixer zilovunjwa computer nk sijaona zaidi nimeona MIC CONDENSER ipo juu ya kochi sasa sijaelewa ni vyombo vipi vyote vilivovunjwa pia nimefata hii ashtag #chersecurity
lkn hola

account yake pia ninaona giza tupu sasa akili yangu inawaza pengne ni amshaamsha ya kitu kipya kinakuja maana nilitegemea zingetapakaa picha na video vyombo vya studio vikiwa vimevunjwavunjwa na hao walinzi shirikishi walovamia studion kwake na kufanya uharibifu na udharirishaji kwa wanawake

mkuu ukipata Picha zaidi au Video tupia tuone namna uharibifu wa mari ulivyofanyika ili tuweze tafsri ni tukio la namna gani
 
Producer wa muziki s2kizzy ametoa taarifa kupitia ukulasa wake wa Instagram kuwa usiku wa kuamkia Leo amevamuwa na Hawa wanaoijiita ulinzi shirikishi na kufanyiwa fujo kwenye studio yake ikiwa pamoja na kuvunjiwa vifaa vyote vya studio..
Anaendelea .. tumevamiwa tumepigwa kuteswa Sana anadai wanawake waliokuwepo humo studio wamedharirishwA , wamefanyiwa unyama wa kutisha sana
Huyu si chawa wa Domo
 
Sijaona mantik ya kuvamiwa na kupost/kuripoti mitandaoni badala ya kuripoti sehemu husika.
 
nimezoom sana video mbalimbali kutafuta mixer zilovunjwa computer nk sijaona zaidi nimeona MIC CONDENSER ipo juu ya kochi sasa sijaelewa ni vyombo vipi vyote vilivoovovunjwa nimefata hii ashtag #chersecurity lk hola account yake ninaona giza tupu sasa akili yangu inawaza pengne ni amshaamsha mana nilitegemea zingetapakaa picha na video vyombo vya studio vikiwa vimevunjwavunjwa na hao walinzi shirikishi walovamia studion kwake na kufanya uharibifu na udharirishaji wa wanawake
mkuu ukipata Picha zaidi au Video tupia tuone namna uharibifu wa mari ulivyofanyika ili tuweze tafsri ni tukio la namna gani
kumi na mbili jioni angalia wasafi TV utaona kila kitu
 
Tupo njia moja ameshindwa vp kuonyesha hivyo vifaa vilivyoharibiwa otherwise sijasikia taarifa yoyote tamko la polisi
 
Nimemsikia Polepole akiagiza polisiccm walishughulikie haraka sana hili suala-nafikiri ameamua kuwatwiasha wapinzani mzigo huu.
Nchi hii ccm wanafanya watakavyo.
 
Pengine ikawa ni hivyo maana kumeibuka wimbi kubwa sana la watu wanaowachukia wasanii walioamua kutafuta ugali kupitia hizi kampeni,na hasa ikizingatiwa kwamba yeye pia ni miongoni mwa watayarishaji wa miziki hiyo.
 
Back
Top Bottom