Niwaombe sana wanasiasa pambaneni na mambo ya siasa msijaribu kuingiza vijana kwenye mambo ya uhalifu, uhalifu hauwezi kukufanya ukawa kiongozi sanasana mnawaharibia vijana maisha yao, maarifa yao, mwisho wa siku wanapata adhabu wanafungwa wanaacha familia zao" IGP Simon Sirro.
"Tunachunguza...
Baada ya kupumzika kwa siku kadhaa, mgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya CCM, Dkt. John Pombe Magufuli anaendelea na kampeni leo katika mkoa wa Dar es Salaam katika uwanja wa Benjamin Mkapa.
HOTUBA YA DKT. MAGUFULI
....Gonjwa hili la Corona na kilio cha Wanakenya wakiongozwa na Rais Uhuru...
Wanahitajika wadada wawili wenye ujuzi wa kusuka mitindo yote ukiwemo mtindo wa "YEBO" saloon ipo Mwanza -Nyamanoro, mshahara ni mzuri, unapewa, nauli, na pesa ya chakula tofauti na mshahara.
Kwa wahitaji ni-PM.
Karibuni Sana.
Communications, M&E and Admin Senior Intern
Arusha, Tanzania
Intern
Contract type: Internships
Company Description
SNV is a not-for-profit international development organisation. Founded in the Netherlands 50 years ago, we have built a long-term, local presence in 39 of the poorest countries...
Kwa uzoefu na uelewa wangu hadi sasa Chadema wanafanya vizuri ukilinganisha na Chama cha Mapinduzi CCM, wanachotakiwa ni ku focus kwenye maeneo yafuatayo.
Wawe na tallying center zaidi ya moja zingine ziwe za siri zingine za bosheni, kituo kimoja kikivamiwa iwe rahisi kuwa na back up ya...
Naitwa RABSON JOHN
Naishi DAR ER SALAAM MABIBO
NINA MIAKA 27
Mimi ni kijana ambae nina fani ya Udereva.
Pia nina uzoefu wa Sales & Marketing nimewahi fanya kazi na makampuni mengi hapa Dar er Salaam
Nina leseni ya udereva yenye madaraja haya.
A.A2.B.C1.C2.C3.D.E pia napenda kuwaomba kazi ya...
Hallo wakuu, nna shost yangu wa ukweli kaniomba ushauri huu hapa chini,
Yeye kazi yake anayofanya haimbani sanaa na anakaa ofisini kwa muda wa masaa Kumi hadi kumi na Moja kila siku.
Sasa anatafuta shughuli ya kumwingizia kipato anayoweza kufanya akiwa hapo hapo ofisini kwake.
Nikaona bora...
Habari za wakati huu;
Nimeandika uzi huu ili kumpa jibu la herufi kubwa kaka yangu mheshimiwa wakili msomi Paskali ambaye pia alikuwa Mtia nia Ubunge Jimbo la Kawe.
Kwanza kabisa nimesikitishwa kwa msomi kama yeye kutuambia kwamba TUMPE KURA MAGUFULI KAMA SHUKRANI. Amenikera na kuniudhi sana...
Rais wa Marekani ambae siku ya Alhamisi iliyopita aligundulika kuwa na virusi vya Corona na kukimbizwa hospitali ya hadhi ya nyota 5 ya Walter Reed Medical center mjini Maryland, ametangaza kuwa leo ataondoka hospitalini hapo baada ya kupona ama kupata nafuu.
Trump amewasihi wananchi wa...
Kiukweli kuomba kuongeza mkataba wa kazi ni tofauti na kuomba kazi kwa mara ya kwanza.
Rais Magufuli ana sifa nyingi za ziada katika kinyang'anyiro cha urais ukilinganisha na washindani wake akina Lissu nk.
Dr Magufuli anazungumza habari ya "nimefanya" wakati Tundu Lissu anazungumza habari ya...
The victim, a 19-year-old Dalit woman, died earlier this week from injuries sustained during an alleged gang rape by four upper-caste men. Local police have been accused of mishandling the investigation.
India's Central Bureau of Investigation has taken over the case of a 19-year-old Dalit woman...
Umoja wa vijana na umoja wa wanawake umeimarika na umetoa viongozi wengi wa leo na kesho wa Taifa hili.
BAWACHA nadhani ndio umoja wa wanawake wa vyama vya siasa uliowahi kusimamisha wanachama wengi kugombea Ubunge Afrika na hata Duniani. Lakini pia umoja huu si tu umetoa wagombea wanawake Bali...
Katika kipindi hiki cha maamuzi na uwekwaji wa mustakabali wa Taifa ni muhimu tukarudi kwenye chambuzi na definitions mbalimbali zinazoelezea maana mtambuka (complex) ya maendeleo.
maendeleo ni nini...?
Itoshe kusema maendeleo ni jumuiko la mambo kadhaa endelevu yawe ya zamani au hata mapya...
1. Zlatko amewakataa baadhi ya Wachezaji ambao Yanga SC imewaleta kwa Mbwembwe nchini na kudai hawana Uwezo
2. Zlatko amekataa Klabu ya Yanga Kuendekeza sana Ushirikina katika Mechi zake na kusema kuwa hakuzoea Upumbavu huo
3. Zlatko ameomba atafute Kocha Msaidizi kwakuwa ameona Kocha Juma...
Habari zenu Wakubwa;
Naamini hamjambo. Mimi pia.
Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 24.
Natafuta kazi ama shughuli yoyote halali inayoweza kuniingizia kiasi chochote cha pesa. Kwa wakati hui sina maamuzi ya kuchagua wala utashi wa kuweka masharti juu ya aina au kiwango cha ugumu wa kazi. Pia...
Serikali ya Tanzania inaendelea kuheshimu na kulinda tasnia ya habari na wanahabari kuweka misingi imara ya sheria inayofanya watendaji wake kufanya kazi kwa uhuru bila kuingiliwa na mhimili mwingine wa Nchi.
Tasnia na wanatasnia wa Tanzania wapo huru na wanaendelea kulindwa na kuheshimiwa, ili...
Je, mgombea wa Urasi kupitia Chadema, Mh. Tundu Antiphas Lissu anayo haki yoyote ya kufokea ushirika huu wa kiharamu wa Jeshi la Polisi na CCM?
Je, ni kweli jeshi la polisi linatumiwa na wagombea wa CCM kukandamiza uhuru na haki ya wananchi kuwapigia kura viongozi wanaowapenda?
Je, kitendo cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.