Uchaguzi 2020 Kata kwa kata: Godbless Lema akiendelea na kampeni Arusha, hii ni kata ya Sakina

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,578
217,940
Muda wa porojo umekwisha , sasa hivi tunaweka vielelezo tu ili kila mtu atoe maoni yake mwenyewe

Sijui CCM inawezaje kushinda uchaguzi huu , tuombe Mungu tufike salama tarehe ya uchaguzi

Subpost 2 - Kata to Kata - SAKINA ( 640 X 640 ).jpg
Subpost 3 - Kata to Kata - SAKINA ( 640 X 640 ).jpg
Subpost 1 - Kata to Kata - SAKINA ( 640 X 640 ).jpg
 
Huyu akauze tena magari ya wizi maana hata pata hata kura 10 mbele ya Gambo
 
Gsmbo kamshika kooni zile kampeni zake za kuwambia watu wazima masela huku hakuna anachofanya wameshazishitukia
 
Sakina Sakinani mtaa wa SINZA hapa ni shangwee tu habari ni Lema Mfalme wa KASKAZINI...Nguli wa Sheria Barani Afrika Mr President ....
 
Wabunge wa chadema mpaka sasa hivi ni hawa wafuatao..

1. Mester matiko
2. Sugu
3. Lema
4. Mdee kwa mbaali


Wengine waliobaki ni tii maji tia maji,

Najiuliza Lisu atashinda vipi?
 
Wabunge wa chadema mpaka sasa hivi ni hawa wafuatao..

1. Mester matiko
2. Sugu
3. Lema
4. Mdee kwa mbaali


Wengine waliobaki ni tii maji tia maji,

Najiuliza Lisu atashinda vipi?
Ila mkuu historia ya lissu si waifaham vizuri,siku zote ushindi wake upasua katikati ya ngome ya adui,
Uchaguzi wa mikikimikiki lissu hutoboa fasta,Sasa jumlisha na kimbunga lissu 2020 hatari Sana
 
Huyu akauze tena magari ya wizi maana hata pata hata kura 10 mbele ya Gambo
*Ahadi kumi za Mwana TANU* 1. Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja. 2. Nitaitumikia nchi yangu na binadamu wenzangu wote kwa unyenyekevu na moyo wa upendo na huruma. 3. Nitajitolea nafsi yangu kuondoa umaskini, ujinga, magonjwa, na dhuluma hapa nchini na duniani pote. 4. Rushwa ni adui wa haki, sitatatoa wala kupokea Rushwa. 5. Cheo ni dhamana . sitakitumia cheo changu wala cha mtu mwingine kwa faida yangu. 6. Nitajielimisha kwa kadri ya uwezo wangu na kuitumia elimu yangu kwa faida ya wote. 7. Nitashirikiana na wenzangu wote kuijenga nchi yetu na dunia yenye haki na amani. 8. Nitasema kweli daima, fitina kwangu mwiko. 9. Nitakuwa raia mwema wa Tanzania, Afrika na Dunia nzima. 10. Nitakuwa mtii kwa Raisi na serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania.
 
Back
Top Bottom