kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Ualimu ndugu zangu

    Habari za saa hizi ndugu zangu, Aise! Maisha ni changamoto kubwa sana kwangu kwa sababu ya kukosa hata kodi ya nyumba. Nilikuwa nasoma chuo Dar es Salaam. Chuo nimemaliza natafuta kazi. Elimu yangu: BA-ED (Bachelor of arts with Education). (Nimemaliza mwaka huu nasubiri transcript). Masomo ya...
  2. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi halali jijini Dodoma

    Huu uzi ufutwe. Nilikuwa na kijana Namuombea kazi. Alikiwa ni kijana wa Dodoma Elimu yake Undergraduate Development Economics. Masters Degree in Finance and Investment. AMEMALIZA MASOMO NA AMEPATA KAZI. Asanteni kwa ushirikiano. 🙏
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nina cheti cha IT, natafuta kazi

    Naombeni msaada wana JF nina cheti cha IT pamoja na mambo ya Clearing and Forwarding nina leseni ya udereva Class D naombeni msaada hata kwa kujitolea nijifunze kazi.
  4. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hongera Dkt. Magufuli kwa ushindi wa kishindo. Tuliyoyaona kwenye kampeni tujifunze

    Nichukue Fursa Hii kukupongeza Dokta John Joseph Pombe Magufuli kwa ushindi wa Kishindo wa 84% ya kura zote. Nikupe pole kwa uchovu wa hekaheka za kampeni kwa Siku 60 wakati pia ukitekeleza majukumu ya Urais. Niwashukuru pia wananchi kwa kukuamini na kukupatia awamu ya pili ya miaka mitano...
  5. 2019

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa upinzani ni muda wa kufanya kazi nyingine, siasa hailipi tena

    Namwamgalia Tundu Lissu namuona kama hana shida ya kuhangaika tena, apumzike ajilie mafao yake mdogo mdogo. Mbowe akifanya biashara itamtoa tu au hata kilimo. Zito Kabwe wewe sijajua una fani gani ila siasa sio dili tena, achana nayo kabisa. Godbless Lema wewe bora uendelee kutrade tu forex...
  6. Shin Lim

    JamiiForums Tanzania Unga wa kwenye bomba la kutolea moshi wa gari una kazi gani?

    Sijui mimi ni mshamba au vipi! Lakini ukweli ni kuwa inaonesha unga huo umekuwa dili, unatolewa sana. Sasa je, hakuna madhara kwenye gari lililotolewa huo unga?
  7. MC44

    JamiiForums Tanzania Licha ya kuwa na vp bado WhatsApp haifanyi kazi

    Tangu juzi nikiwa na VPN nilikuwa naweza kupata huduma ya mitandao ya kijamii ikiwemo WhatsApp ila kwa leo imegoma. Kuna njia nyingine?
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Arusha: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Arusha. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Arusha una jumla ya majimbo ya uchaguzi 7 ambayo ni; Arusha Mjini: Mrisho Gambo (CCM) - Kura...
  9. Kirchhoff

    JamiiForums Tanzania TCRA mnaniharibia Kazi kuzima mitandao ya Kijamii. Mitambo ya Kiwanda inakufa

    Hakika Kitendo chenu Cha kuzima WhatsApp kimeniuzi na kuniumiza sana. Nimepata hitilafu kwa mitambo ya kiwanda. Nikiwa napokea maelekezo ya Nini cha kufanya kupitia Whatsapp ghafla mmeifungia. Mmenipa hasara kubwa sana. Ninyi mngeacha WhatsApp. Mtu akivunja sheria mumuadhibu.
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Shukrani za dhati kwa wote walioshiriki kusambaza taarifa za Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu tangu mwanzo hadi mwisho

    Wakuu, poleni sana na Majukumu yenu ya kila siku, Naomba kuchukua nafasi hii kuwashukuru wote mliochangia kusambaza taarifa zote za uchaguzi za Chadema ikiwa ni pamoja na kusambaza kampeni kali za kiwango cha juu za Tundu Lissu Mgombea Urais wa Chadema, ambaye anatajwa kama Mgombea bora kabisa...
  11. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania Ni kazi kwako Mtanzania, uamue kurudi kwenye majonzi tena au furaha moyoni

    Ni kazi kwako Mtanzania, uamue kurudi kwenye majonzi ya utekaji, uonevu, kupotezwa na kufilisiwa mali au kubomolewa nyumba zako kinyume na sheria ya nchi au uishi katika Tanzania ya furaha chini ya nguli wa sheria Tundu Lissu anayejua haki yako? Ni kazi kwako kuamua watoto wako waendelee kukosa...
  12. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kufanya kazi ya kuwakusanya wapiga kura, kuwapeleka vituo vya kupigia kura na kuwarudisha majumbani mwao bure. Inaruhusiwa?

    Wanajamvi, nimehamasika sana ktk uchaguzi huu. Kikubwa ni uhakika wa anguko kubwa la CCM ktk uchaguzi huu. Kwahiyo nataka niwe sehemu ya historia inayokwenda kuandikwa. "Tundu Lisu the rescuer. From the edge of the grave to the state house" Nimeamua toka moyoni kujitolea kuwakusanya wapiga...
  13. Bernard Membe

    JamiiForums Tanzania GE2020 Twende na Bernard Membe, tuunde Serikali ya kazi na bata! Naomba kura zenu

    Watanzania na wapiga kura wenzangu salaam, Mimi Bernard Kamillius Membe ni mgombea wa kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha ACT Wazalendo. Tarehe 28/10/2020 ni siku ya kupiga kura ya kurejesha Uhuru uliopotea tangu awamu ya tano iingie madarakani miaka mitano...
  14. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Zanzibar: Askari wanaolinda usalama wa watu na mali zao, washambuliwa kwa Mawe!

    Kuelekea uchaguzi mkuu tarehe 27 na 28 Zanzibar. Askari wa Usalama washambuliwa kwa mawe
  15. JOYOPAPASI

    JamiiForums Tanzania GE2020 Chagua Dkt. Magufuli kazi ziendelee

    MAMBO YA JPM .... CHAGUA MAENDELEO, KAZI IENDELEE Na Emmanuel J. Shilatu Ni miaka 5 sasa tangu Dk. John Pombe Joseph Magufuli ale kiapo mnamo Novemba 5, 2015 cha kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tumeyaona haya yakitokea na kufanyika;- 1. Mapambano ya wazi wazi ya Serikali ya Rais...
  16. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Mc Mavunde amesomea hii kazi?

    Nashangaa sana,tena nashangaaa sana,kila shughuli ya serikali huyu mzee ndio anakuwa Mc,hivi mikoani hakuna watu wa kufanya hizi kazi mpaka awe anasafirishwa na serikali? Au ameajiliwa na serikali kwa shughuli hii? Maana mimi binafsi naona ni matumizi mabaya ya pesa za umma.
  17. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nape: Membe akimaliza kazi tuliyomtuma kuumaliza upinzani atarudi CCM

    Aliyekuwa Katibu wa uenezi wa CCM na baadae kuachiwa jimbo la Mtama na Membe ili awe mbunge na Membe awe Rais, ndugu Nape Nauye amesema upinzani umerudia kosa lile lile walilofanya mwaka 2015 kwa kuwakaribisha Lowassa na Sumaye. Nape amesema Membe akikamilisha jukumu lililompeleka upinzani...
  18. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ila sina aina yoyote ya ujuzi

    Nipo napatikana Mara - Musoma kwa Mawasiliano zaidi nicheck 0674615883 nyote mnakaribishwa NOTE: Nikisema sina ujuzi wowote nifaamike hivyo mwenye kuniitaji ili niwe napata angalau ugali wangu wa kila siku anione, nipe kazi yoyote ila sio ya wizi,ujambazi wala utapeli, 🙏🙏
  19. opondo

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nina degree ya Ualimu masomo ya Physics na Chemistry

    Habarini wakuu, natafuta kazi ya ualimu masomo ya physics na chemistry nimegraduate mwaka huu nipo mwanza, lakini naweza kufika sehemu yoyote Tanzania. Kwa atakenisaidia kupata sehemu ya kujishikiza siwezi kumuacha patupu. Advance nilisoma PCB na nilipata division 2 point 12... GPA ya Chuo...
  20. Mystery

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hivi Bunge lina kazi gani kama kila anapokwenda kwenye kampeni, Rais Magufuli ndiye anayeahidi kujenga miradi mbalimbali?

    Tunavyofahamu katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977. inaeleza wazi majukumu ya kila mhimili wa Dola, ikiwa Bunge ndilo lililopewa jukumu la kupanga bajeti na kupanga miradi hiyo ipelekwe wapi. Lakini nashangazwa mno na namna Katiba ya nchi inavyosiginwa siginwa, kwa Rais...
Back
Top Bottom