Msaada wa kazi yoyote, Nimesomea Medical Attendant

bm300

New Member
Sep 14, 2020
4
1
Habari wakuu,

Natumai mu wazima, naombeni kwa mwenye kibarua au anayejua mahali kuna nafasi za kazi anisaidie. Nimesomea kozi ya medical attendant, nimewahi kufanya kazi kwenye dispensary baadhi za watu binafsi, kwa sasa hali ni ngumu kwani ajira hakuna na pia mitaji imekuwa ngumu kidogo kuipata.

Nipo tayari kwa kibarua chochote kile halali.
 
una ujuzi na dawa
 
Tafakari maneno haya
Screenshot_20201016-155229.jpg
 
Mkuu Behaviourist
Nategemea October 28 Nitapata Kengele
Siyo Kwa Comment Hiyo Ambayo Members Wamelazimika Kufanya Attach Hapo Juu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom