kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Slowly

    JamiiForums Tanzania Hizi Ikulu ndogo zilizopo kila mkoa kazi yake ni nini?

    Habari wakuu, kumekuwa na malalamiko mengi kuhusiana na mweshimiwa kujichimbia Wilayani Chato Kwa muda sasa, maneno ni mengi, wengine wanadai kakimbia Corona wengine wanadai mzee kaenda kupumzika home kwao baada ya purukushani za kampeni n.k.. Naamini kila mkoa kuna Ikulu ndogo, sijajua kama...
  2. Prisonerx

    JamiiForums Tanzania Sijaona umuhimu wa sekretarieti ya ajira kurudia majina ya waliopata kazi katika matangazo mapya ya kazi

    Niende moja kwa moja kwa mada. Inasikitisha na ni fedheha kwa taasisi kubwa ambayo iko chini ya ofisi ya Raisi kuwaongopea/ kuwahadaa watanzania katika kutenda haki katika kutoa ajira kwa Watoto wa maskini pasipo kuwa na ukiritimba wa namna yoyote. Leo nilikuwa nikipitia tovoti ya Sekretarieti...
  3. Hisha Sorel

    JamiiForums Tanzania Ndio! Mazingira magumu ya kufanya kazi; Ndio! Malipo ya chini; Ndio! Hata hivyo sio kisingizio cha kubaka na kushambulia wagonjwa na wanafunzi

    Wafanyakazi wa Afya na Walimu ni waajiriwa wakuu serikalini. Mshahara wao na hali yao ya kazi ni duni sana . Na tunapaswa kuwahurumia na kufanya kazi kwa bidii ili kuboresha hili swala. Walakini, katika siku za hivi karibuni tumesikia visa kadhaa vya kushambuliwa na ubakaji wa wagonjwa na...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Profesa Kabudi amtembelea Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, wasema uchaguzi umekwisha sasa kazi tu!

    Waziri wa foreign affairs Prof Kabudi na watendaji wakuu wa wizara yake wamekutana na makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar maalim Seif na kukubaliana kuchapa kazi kwa pamoja. Maalim Seif amesema uchaguzi umekwisha aliyepata kapata na aliyekosa amekosa cha muhimu ni watanzania kuungana pamoja...
  5. M

    JamiiForums Tanzania TFF, Benchi la Ufundi la Taifa Stars huko CHAN 2021 nimeshamaliza Kazi kwa Kikosi hiki Namibia leo na Guinea Wiki ijayo wanakufa!

    ANGALIZO Tafadhali kisibadilishwe na pia Kicheze kama ambavyo nimekipanga kwani Kiunyangindo kimeonyesha Mafanikio na tutashinda mechi zilizobakia. Kikosi cha Kuanza kiwe hiki tu.... 1. Aishi Manula 2. Shomary Kapombe 3. Yassin Mustafa 4. Ibrahim Ame ( kama bado hajapona aanze Dickson Job )...
  6. musicarlito

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kazi za machimbo Mererani

    Habari wakuu, Naomba mwenye taarifa au uzoefu na maeneo tajwa hapo juu kwa utafutaji Kifupi nilibahatika kuajiriwa na taasisi kubwa ya kifedha hapa nchini, mshahara haukuwa mbaya, nilitaka kubadili mazingira ya kazi na kujiajiri kwenye biashara, vile isivyo bahati nilifeli. Tangu hapo...
  7. V

    JamiiForums Tanzania Wenye kuhitaji kazi za ndani fursa ndo hii

    Kampuni hii imejikita kuwatafutia mabinti wa kike kazi za ndani
  8. Kayoka

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Tanzania Red Cross Society

    Dear All, This is for your information and action. Regards.
  9. Rebeca 83

    JamiiForums Tanzania Nashauri kuwe na Database rasmi kwa ajili ya wote wanaofanya kazi zisizotegemea ujuzi wowote

    Hello JF, Kwa muda mrefu sasa malalamishi ya housegirls kunyanyaswa katika nchi za kiarabu kama Oman, Turkey, etc. yamekua mengi. Ninachoona hapa ni kutokua na taarifa ama records to identify those at risk. Kama ilivyo vitambulisho kwa wafanyabiashara ndogo ndogo (Machinga), then kuwe na...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mtendaji wa Kijiji cha Hydom amshindilia makonde mwanakijiji. Asimamishwa kazi kupisha uchunguzi

    Taarifa zinaonesha kwamba Mh Mtendaji anaitwa Adella na ni Mtendaji wa kijiji cha Hydom kilichopo Mbulu , mkoani Manyara. Cha kushangaza ni kwamba Mwananchi aliyedundwa ndiye ameshtakiwa mahakamani kwa kumshambulia Mtendaji. Nachukua nafasi hii kuwashukuru Wazalendo waliorekodi tukio hili la...
  11. ManziCute

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Dodoma

    Niko Morogoro ila natafuta kazi yoyote katika mji wa Dodoma nina Elimu ya Diploma ya Business Admnistration nipo tayari kufanya kazi yoyote katika mji huwo. Mwenye connection yoyote plz anitafute 0782394214
  12. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Mawakala wa kutafutia kazi watu nje ya nchi wa serikali na binafsi, fikirieni pia kutafutia watu kazi za msimu vijijini Ulaya, Marekani na Canada

    Kama ilivyo kwenye mashamba makubwa ya miwa Tanzania ya viwanda vya sukari kama Mtibwa, Kilombero nk ambako hutoa ajira nyingi mno za msimu kwenye mashamba yao vivyo hivyo Ulaya, Marekani na Kanada Ona kijiji hiki cha Thailand ambacho ambacho wanakijiji wake kila mwaka msimu wa kuvuna matunda...
  13. Caisel

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi nijipatie kipato cha kujikimu

    Naitwa Omari Juma napatikana Mtwara, Nanyumbu, Mangaka elimu yangu ni ya sekondari lakini sikufanikiwa kuendelea na masomo. Naomba mtu yeyote mwenye kazi anisaidie ili niweze kuishi kama vijana wengine naomba sana msaada wenu. Nimefikia hatua ya kuandika hii leo hapa kutokana na ugumu wangu wa...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Ukistaafu, ukitumbuliwa, ukiacha kazi utakuja kuishi na sisi?

    Hakuna Jambo linawatesa wastaafu na waliotumbuliwa kama kuwaza namna yakuja kuishi uraiani na sisi. Wengi wa wadosi wa siku hizi wamewekeza sana kuaribu maisha ya wanaowaongoza kuliko kuwaletea maendeleo wanannchi. Viongozi wetu wamekuwa wepesi sana kumwita subordinate wake fisadi, mwizi nk...
  15. Pain killer

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi yoyote ile ya halali nifanye wakati huo nikisubiri majibu ya kampuni za ulinzi nilizo omba

    Mkuu kampuni gan umeomba Mbona garda ukiomba unaanza mafunzo hapo hapo haina kusubili subili hovyo hovyo
  16. Granite

    JamiiForums Tanzania Engineer wa Ujenzi natafuta kazi

    Wakuu naleta kwenu maombi yangu ya kazi za ujenzi, nimesota mtaani miaka mitatu. Nimefanya vibarua vya kujitolea kwenye miradi ya kampuni ndogo sijafanikiwa kupata ajira. Naweza kusimamia Site iwr ya mradi wa Majengo, Barabara au Maji, naweza kufanya Design, naweza kutumia Software za...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya Dkt. Dorothy Gwajima anafanya kazi nzuri. Mnyonge mnyongeni lakini mpeni haki yake

    Binafsi sina chama cha siasa na sijawahi kuwa mshabiki wa chama chochote cha siasa katika maisha yangu yote. Naomba niseme yafuatayo, kwanza sina chuki na kiongozi wowote wa aidha CCM au CHADEMA au chama chochote cha siasa. Nimefuatilia ziara na ufanyaji kazi wa waziri wa Afya Dr. Dorothy...
  18. Ushimen

    JamiiForums Tanzania 44 New Vacancies At TUME Ya Utumishi wa Mahakama, January 2021- (Various Posts)

    See the document below for more information
  19. Wizara ya Afya Tanzania

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mollel awafunda wafamasia wapya ili wawe wabunifu wasiishie kufanya kazi ya kutoa dawa pekee

    Naibu Waziri wa Afya, Maendeleoya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel amewata wafamasia walioingia rasmi leo kwenye taaluma hiyo wasisubiri kufanya kazi za kuingiza dawa au kumpatia mgonjwa dawa bali wametakiwa kuwa wabunifu kwa kutengeneza dawa kwenye maeneo yao kazi ili kuweza...
  20. Richard

    JamiiForums Tanzania Mzee Uledi adai Dkt. Abbasi ameshindwa kazi au hafahamu majukumu ya kuwa Msemaji wa Serikali

    Kuna mwanaJF mmoja hapa amewahi kusema kwamba mzee Uledi ni yule mzee mwenye macho mekundu na ni mwongo sana. Huyu ni mzee mmojabwapo wa mazee wanounda kamati chini ya mshona viatu ambae hii ni kazi yake ya kujipatia kipato halali kabisa. Leo mchana huu nimepita pale Tandamti Street na nimempa...
Back
Top Bottom