Uchaguzi 2020 NEC imemteua Bernard Membe kugombea Urais na Omary Mohamed Umakamu wa Rais kupitia ACT-Wazalendo

Kipapatiro

JF-Expert Member
May 18, 2017
1,129
1,497
Benard Membe na Makamu wa Rais (wagombea) wa ACT-Wazalendo wamekidhi vigezo vya kuteuliwa na kugombea.

Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa, amemteua Bernard Membe kuwa Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Omary Mohamed kuwa mgombea wa nafasi ya Makamu wa Rais kupitia Chama cha ACT Wazalendo.

ACT.jpg

Membe.JPG
 
Mgombea urais wa ACT wazalendo mh Bernad Membe amerejesha fomu NEC na kukabidhiwa fomu za uteuzi.

Membe amesaini kwa kutumia mkono wa kushoto kama Barack Obama wa Merekani.

Source TBC!

Maendeleo hayana vyama!
 
Why Lisu on hold? Wanataka kumkata Lisu, this was long said by observers!
 
Back
Top Bottom