Asanteni sana PSU chini ya TISS kwa kazi nzuri na iliyotukuka mlioifanya kwa huyo aliyekuwa 'mtoto mpendwa'

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,542
108,852
Kuna Watu nakumbuka hapa hapa Jamvini JamiiForums GENTAMYCINE niliposema kuwa aliyekuwa 'Mtoto Mpendwa' wa Mkoa wa Dar es Salaam Mr. Taulo la Christina Linanikondesha hana chake tena katika Mfumo (System) ya nchi hii hawakunielewa na wapo walionihakikishia kuwa Baba yake hatomuacha na bado ataendelea tu Kumbeba.

Sasa ninawataarifuni hapa hapa kuwa baada ya leo kuanza kupewa 'Dozi' yake ya awali kabisa pale Dodoma kupitia Walinzi wa Kikosi cha Rais (PSU) 'Kuzuiwa' kwenda Kuketi Jukwaa Kuu kama alivyozoea kuna 'Dozi' yake nyingine ya Pili inakuja ambayo hii sasa ni ya Kumuharibu kabisa 'Kisaikolojia' na nataoa 'Tahadhari' mapema kwa Watu wake wa karibu huyu Mtu anaweza hata kuja 'Kujiua' tu.

Halafu kuna Jambo ambalo linauma kama leo hii wale Watu ambao walikuwa 'wakikunyenyekea' na 'ukiwatesa' ndiyo Wanakuadabisha bila Uwoga.
 
Back
Top Bottom