"Tunajua wanapolala, wanachopanga" - IGP Sirro

Hili pambano kati ya IGP Sirro, ni kama vile pambano kati ya Yanga VS Simba........

Linakiwa na msisimko na mshikemshike tokea dakika ya kwanza ya mchezo, hadi mwisho wa pambano!

Ngoja watazamaji tusubiri dakika 90 ziishe, tuone nani ataibuka mshindi
 
Back
Top Bottom