Siku hizi ualimu ni kazi iliyopoteza heshima mtaani

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,272
1598272636932.png
 
mshahar haukutan kbs,
vimirad vinakufa bila hat mia ya faida.
wameamua kuingia
kweny bodaboda,
kuchoma mishikak,
ukinyoz,
stress nying
 
Kuna baadhi ya maeneo mjini Dereva wa boda boda anaingiza hela kuliko Mwalimu
Kwani aliyekwambia Walimu hawaingizi hela ni nani?.Acha kukariri maisha,kuna Walimu ni mabig boss huwezi amini yaani.Binafsi niliwahi kuishi Nyumba ya kupanga pale Mbeya Mjini inayomilikiwa na Mwalimu,Yule Mwalimu alikuwa vizuri kiuchumi hatari,alikuwa anamiliki Nyumba za kupangisha,zipo km Kota hivi,Gari la kutembelea,Duka la spare za Gari na Pikipiki,Mashamba makubwa ya Viazi,Mradi wa nguruwe,n.k.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom