Habari zenu wakuu,
Najua hapa ndani hapawezi kukosa wamiliki, maengineer wa makampuni,viwanda, na mashirika mbali mbali mimi ni mwanaume umri wangu ni miaka 26 naishi Dar es Salaam.
Naombeni kazi ya ufundi umeme Elimu nina level three ya electrical.
Habari za muda huu jamiiforums.
Unawezaje kufanya kazi ya kuihudumia jamii (Mwalimu, Polisi, Daktari) ndani ya eneo/kijiji ulichozaliwa pasipo kupata lawama za ndugu, jamaa na marafiki?
Jenga picha umemaliza chuo kikuu mwaka 2008 na kisha kuajiriwa mwaka 2009 na ilipofika mwaka 2020 umepanda...
Baraza la madiwani halmashauri ya Wilaya ya Chato mkoani Geita limewasimamisha kazi watumishi 15 wa idara mbalimbali kutokana na ubadhirifu wa Sh3.9 bilioni za miradi ya maendeleo.
Miongoni mwa watumishi hao sita ni wa idara ya manunuzi ,wengine sita ni watendaji wa vijiji, wauguzi wawili na...
Mimi mkazi wa Dar es Salaam, elimu yangu ni mhitimu wa form six. Ninatafuta kazi yoyote.
Experience yangu ni katika kubeba mizigo mizito, na kibarua wa kujenga. Pia nina ujuzi wa kutumia computer. Naomba nisaidie Kama una connection kwenye makampuni ya ujenzi, na ya usafirishaji.
Niko tayari...
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi amesema Serikali haitapoteza muda na wasanii wanaofanya “kiki” badala ya kutumia muda wao vizuri kutengeneza kazi bora zitakazouzika ndani na nje ya nchi kwa manufaa yao na Taifa.
Dkt. Abbasi...
Mimi mkazi wa Dar es Salaam, elimu yangu ni mhitimu wa form six. Ninatafuta kazi yoyote.
Experience yangu ni katika kubeba mizigo mizito, na kibarua wa kujenga. Pia nina ujuzi wa kutumia computer. Naomba nisaidie Kama una connection kwenye makampuni ya ujenzi, na ya usafirishaji.
Niko tayari...
Wana Jf kwa jinsi tulivyo katika kipindi kigumu ambacho kimezua hofu kwa kila mtu ni wazi kuwa Waziri wa afya na naibu wake hawastahili kuwepo kwenye hii nafasi mpaka sasa.
Mwaka jana bila kupepesa macho Dk Faustine Ndugulile alieleza ukweli umma wa Watanzania kuwa kujifukisha hakuwezi kuua...
Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Taasisi ya Hakimiliki Tanzania (COSOTA) imetoa tamko kuwa, kuanzia tarehe 1/5/2021 Televisheni na Redio hazitaruhusiwa kucheza wala kuonesha kazi yoyote kwenye vituo vyao bila kazi hiyo kuhakikiwa na BASATA (Muziki...
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ametengua uteuzi wa viongozi 23 wa Wakala wa Usambazaji Maji na Usafi wa Mazingira (Ruwasa) akiwemo Mkurugenzi wa Huduma za Ufundi za mamlaka hiyo, Deusdedith Magoma. Aidha, Aweso ameiagiza Bodi ya wakurugenzi ya Ruwasa kutengua uteuzi wa meneja wa anayeshughulikia...
Picha: Rais wa Malawi Lazarus Chakwera
Rais wa Malawi Lazarus Chakwera awafuta kazi Mkuu wa Idara ya Usimamizi wa Majanga na Mwenyekiti wake pamoja na Maafisa wengine, kwa kushindwa kutunza kumbukumbu sahihi za jinsi fedha za kupambana na Covid 19 pamoja na kukaidi agizo lake la la kuwasilisha...
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega amepokea kibali cha ajira mbadala cha tarehe 01 Februari, 2021 chenye Kumb. Na. FA.l701533/01,,B"l 34 kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
Kutokana na hali...
====
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
KUKAMATWA KWA ASKOFU EMMAUS BANDEKILE MWAMAKULA
KWA KOSA LA KUHAMASISHA MAANDAMANO HARAMU
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam leo tarehe 15.02.2021 limefanikiwa kumkamata anayejiita Askofu EMMAUS BANDEKILE MWAMAKULA wa kanisa la Uamsho la...
Hello,
Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu UDSM mwaka jana. Sijasomea ualimu lakini nina passion ya kufundisha hasa masomo ya Physics, Chemistry na Biology kwa O level na Chemistry na Biology pekee kwa A level.
Taaluma niliyosomea ni Aquatic science and fisheries technology na kwa sasa siwezi...
HIZB UT TAHRIR YAZINDUA KAMPENI YA KIULIMWENGU KWA ANUANI:
"ENYI WAISLAMU ISIMAMISHENI"
Kuweni pamoja na wanaofanya kazi ya Kusimamisha Khilafah Rashida kwa njia ya Utume, Huenda Mwenyezi Mungu (swt) akaiondoa kwayo huzuni hii kutoka kwa wengine kama alivyoiondoa kwa mfano wake huzuni kutoka...
Naona tayari michakato ya sheria iko jikoni mahakama kuanza kutumia Kiswahili mwanzo mwisho tofauti na sasa ambapo dokomenti zote huwa za kiingereza sasa baada ya sheria hii hakimu au mwanasheria yeyote itamlazimu atumie lugha ya kiswahili ndani ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwa upande...
Nina uzoefu wa miaka takribani Mitano ya Kufanya kazi na wanawake, asilimia kubwa ya kazi zangu ni kazi za site!
Kwa kawaida kazi za site hasa za ujenzi zinahitaji motisha, kupush kwa nguvu na haraka hata sometimes kutumia lugha za matusi ilimradi kazi zisonge sometimes pia maamuzi ya chap...
Nikiwa Tabora ambapo nilikwenda kwenye msiba wa rafiki yangu aliyefiwa na mama yake mwezi huu. Nilikutana na kituko cha mwaka ambapo tukiwa hapo msibani ulisikika muziki mkubwa sana kiasi ambacho huwezi kuongea na mtu jirani yako, huwezi kupokea simu au kusikiliza simu. Nilipouliza nikaambiwa...
Mbunge wa Ngara (CCM), Ndaisaba Ruhoro amelitaka Bunge kutunga sheria itakayopiga marufuku matumizi ya vileo hadharani.
Ruhoro alitoa kauli hiyo wakati akichangia Mpango wa Serikali jana bungeni mjini Dodoma akibainisha kuwa kunywa pombe hadharani kunasimamisha shughuli za maendeleo kwa kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.