kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Chief Kabikula

    JamiiForums Tanzania Alichokisema Rais Magufuli Tabora ni kweli; majungu watu hawafanyi kazi. Kanisa lajengwa katikati ya barabara, lapiga muziki masaa 24

    Nikiwa Tabora ambapo nilikwenda kwenye msiba wa rafiki yangu aliyefiwa na mama yake mwezi huu. Nilikutana na kituko cha mwaka ambapo tukiwa hapo msibani ulisikika muziki mkubwa sana kiasi ambacho huwezi kuongea na mtu jirani yako, huwezi kupokea simu au kusikiliza simu. Nilipouliza nikaambiwa...
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Ndaisaba: Itungwe sheria ya kuzuia watu kunywa pombe muda wa kazi

    Mbunge wa Ngara (CCM), Ndaisaba Ruhoro amelitaka Bunge kutunga sheria itakayopiga marufuku matumizi ya vileo hadharani. Ruhoro alitoa kauli hiyo wakati akichangia Mpango wa Serikali jana bungeni mjini Dodoma akibainisha kuwa kunywa pombe hadharani kunasimamisha shughuli za maendeleo kwa kuwa...
  3. V

    JamiiForums Tanzania Mliotuma CV Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam kazi ya ushuru, mmeshaitwa?

    Imepita wiki sasa baada ya Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam kufunga pazia la kupokea maombi ya kazi ya ukusanyaji ushuru je, kuna mtu alishaitwa au connection ni muhimu pia.
  4. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi katika Mahakama ya Tanzania

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MAHAKAMA TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI Mahakama ya Tanzania inapenda kuutangazia umma kwamba kuna nafasi za kazi za Madalali wa Mahakama na Wasambaza Nyaraka za Mahakama watakaofanya kazi katika Mikoa mbalimbali Tanzania Bara. Kwa mujibu wa Kanuni ya 4 na ya 6 ya...
  5. msovero

    JamiiForums Tanzania Ajira za walimu: 5000 wasambazwa kwenye vituo vya kazi wiki mbili zilizopita

    Akijibu swali kuhusu uhaba wa walimu katika kipindi cha maswali kwa waziri leo bungeni, Mhe. Kassim Majaliwa amesema serikali inatambua tatizo la uhaba wa walimu mashuleni ndio maana wiki mbili zilizopita serikali imesambaza jumla ya walimu 5000 katika shule mbalimbali nchini.
  6. dvj nasmiletz

    JamiiForums Tanzania Ni Kazi gani halali usiyoweza wala kutaka kuifanya hata kama ina malipo mazuri

    Mimi kazi ya jeshi,polisi na ualimu...ni BIG NO Wewe je??
  7. Erickford4

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kurudishwa kazini baada ya kufukuzwa kazi?

    Habari zenu wakuu, Mimi ni mwalimu idara ya sekondari katika mkoa wa Mara. Niliwahi kuugua ugonjwa wa tumbo kujaa na kuvimba ambao kule Mara ni maarufu kwa jina la passport size huwa inatokana na kulogwa. Nilihangaika kutafuta uponyaji wake kwa njia ya hospitali hali ikawa sivyo hadi...
  8. The River

    JamiiForums Tanzania Kuendesha biashara yako mwenyewe ni kazi ngumu sana

    Wasalaamu wadau,, nimekuwa kila nikianzisha biashara sitoboi kabisa,..kwa mfano nilikuwa namiliki saloon yangu ya kiume lakini cha ajabu sipati wateja,..yaani unaweza kukaa kutwa nzima ukaambulia vichwa viwili tu,,,siku nikipata wengi ni watatu mwisho,.. Vivyo hivyo hata biashara zingine...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa: Chama cha Mapinduzi ( CCM) Mkoa wa Arusha chanunua Gari jipya la kisasa kurahisisha utendaji kazi

    Ni gari jipya kabisa aina ya Toyota V8 Landcruizer mbalo limenunuliwa kwa fedha halali za Chama Cha Mapinduzi ili kurahisisha Utendaji kazi wa kila siku Katibu Mkuu Dkt Bashiru Ally amehuhudhuria hafla hiyo na kukabidhi gari hilo kwa Uongozi wa CCM Mkoa wa Arudha akiambatana na Mh Humphrey...
  10. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Haya tena wale munoa penda kufanya kazi za ulaya angalieni hiyo video madhara yake

    Dada zetu waliopo Ulaya wanaofanya kazi za kuwaangalia wazungu wazee sana na wenye matatizo ya akili hayo ndio yanayo wakuta dada zetu. Kutafuta pesa kazi sana Pole yake dada yangu huyu.
  11. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Nape: Ukusanyaji wa kodi ni taaluma ila Serikali imeacha kutumia wenye taaluma inatumia task force ambao kazi yao ni kuua biashara tu

    Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye amesema kuna changamoto kubwa ya biashara nyingi kufungwa na hili ni kutokana na Serikali kutotumia Wanataaluma katika kukusanya kodi. Mafanikio yanayofurahiwa sasa kwenye mapato ni ya muda mfupi lakini itafika wakati hakutakuwa na cha kukusanya. Asema...
  12. comte

    JamiiForums Tanzania Wameshatuelewa kwamba tutatumia chanjo tu kama tukihakisha kuwa ziko salama na zinafanya kazi kweli

    The country that rejected coronavirus vaccines Dave Lawler Tue, February 9, 2021, 3:03 AM A number of countries around the world have fudged official coronavirus statistics, shared artificially sunny outlooks about the pandemic, or cracked down on reports that counter the official narrative...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Namshauri daktari aliyesimamishwa kazi na Waziri wa Afya huko Chunya, Mbeya, aingie sekta binafsi

    Nadhani kisa cha huyu doctor aliyesimamishwa kazi na Waziri Gwajima kwa sakata la ugonjwa ulioibuka huko Chunya, Mbeya kitampa jibu zuri sana kwa nini madaktari na wafanyakazi wengine wengi wanaamua kukimbia ajira za serikalini na kuingia private sector. Ukweli ni kwamba katika awamu ya uongozi...
  14. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Nimebisha sana leo; ni kweli kuna Madaktari mtaani hawana kazi?

    Kuna mtu nilikuwa nabisha nae sana leo, mimi ni muhitimu wa level ya degree kwenye coz zetu hizi ambazo kila chuo ukienda zipo, ila MEDICAL DOCTOR Kiukweli kabisa kutoka moyoni siamini kama kweli kuna mtu amemaliza hiyo course hana ajira, labda mnisaidie wenzangu wa JF.
  15. kiben10

    JamiiForums Tanzania Serikali yakanusha kuwepo mlipuko wa Ugonjwa wowote kata ya Ifumbo, Mbeya. Wizara ya Afya kuichukulia hatua ITV

    Waziri wa Afya, Dorothy Gwajima ameagiza kusimamishwa kazi Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Chunya, Dkt. Felista Kisandu kupisha uchunguzi kwa madai ya kutoa taarifa zisizo sahihi za ugonjwa usiofahamika. Amesema hata kama ugonjwa huo ungekuwepo waziri ndiye anatakiwa kutoa taarifa. Zaidi, soma...
  16. Mechanic 97

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ufundi na nyinginezo

    Habarini wanajamiiforum mbele yenu ni kijana wa miaka 24 ninatafuta kazi kwa Sasa nipo dar. Elimu yangu ni NTA level 4 in mechanical engineering na Advanced certificate of secondary school in PCM. Vya ziada Nina uwezo wa kufundisha, kuchora kiasi na computer kidogo. Jamani mwenye connection...
  17. Mwanga Mkali

    JamiiForums Tanzania Ukioa mke mmoja akili haifanyinyi kazi!

    Amani iwe kwenu! Natoa wito kwa wanaume ili upate mafanikio ya haraka, oa mke zaidi ya mmoja, utaona nacho maanisha.
  18. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa makanisa ya kipentecoste hamishieni vyuo vya Biblia porini vijijini hivi vya mijini wakimaliza hawarudi vijijini kufanya kazi ya Mungu

    Viongozi wa makanisa ya kipentecoste hamishieni vyuo vya Biblia porini vijijini hivi vya mijini wakimaliza hawarudi vijijini kwao kufanya kazi ya Mungu wanabaki mijini Pia wapeni masharti wanafunzi wapya kuwa hawatapewa uchungaji hadi wafungue matawi vijijini wachunge si chini ya miaka mitatu...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Serikali yangu: Misallocation of employment inasababisha upungufu wa ajira Tanzania

    Naomba nirejee kwenye mada moja kwa moja. Kuna watumishi wanapangiwa vituo vya kazi na serikali alafu wanavikimbia na kuhamia private tena bila taarifa. Watu hao wanasababisha misallocation of employment, jambo ambalo linaongeza upungufu wa ajira inchini. Kama watumishi hao wangebakia...
  20. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Mfumo Vodacom Airtime billing unafanyaje kazi?

    Nimepitapita playstore na nimeona kuwa ikitaka kununua kitu huu mfumo unatumika. Naomba kwa ambaye kawahi utumia au anajua jinsi unavyofanya kazi anijulishe namna unafanya kazi?
Back
Top Bottom