kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali, nina elimu ya kidato cha sita

    Habari mkuu! Za hukoo; Mimi nikijana wa miaka 23, naishi Dar es salaam, elimu yangu ni form six nilikuwa naomba msaada wa kazi kwako, nikusaidie katika kazi zako. Mungu akubariki
  2. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Kajala kapata kazi benki

    Leo nilikuwa benki moja katika hali ya kushangaza teller aliyenihudumia alikuwa ni mwanadada Kajala. Kwa sababu za kibiashara inabidi jina la benki libaki kapuni. Hongera dada katika safari yako mpya
  3. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kuacha kazi ili upate stahiki zako zote

    Kwa sekta binafsi dogo ni mgonjwa. Yupo sick leave karibu two months sasa na anasema hataki tena kufanya kazi anataka apumzike kwa muda. Mnaozijua sheria tuambieni afanyaje ili achukue stahiki kama gratuity, pesa ya mizigo nk
  4. vnn

    JamiiForums Tanzania Vijana wa CHADEMA kujadili ulinzi wa Rais ni upuuzi na kukosa kazi za kufanya

    Vijana wa CDNM huko twitani wamerukwa na wazimu, mmekosa ajenda mnaanza kujadili kuhusu ulinzi wa Rais, mlitaka Rais alindwe na nani tutaacha lini ujinga wa kupinga kila kitu, wapumbavu wameanza kutaka Mama samia afanye kila anachofanya Rais wa zambia Chilema, yani Chilema msafara wake...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Alipoingia alisema hataki 'Mabango' sasa Kazoea Utamu wa 'Mercedes Benz' anasema yakusanywe yote ili yafanyiwe Kazi je, tumueleweje?

    Hakuna Kitu GENTAMYCINE nachukia kama Unafiki na Mtu kupenda Kukurupuka bila ya Kwanza Kushirikisha Halmashauri yake ya Ubongo, Kichwa na Akili pia. Hata hivyo sishangai sana kwani ndiyo maana hata Juzi Nyerere Day Shada la Maua limewekwa Chato Mkoani Geita kwa aliyekufa tarehe 17 Machi 2021...
  6. Superbug

    JamiiForums Tanzania Kama mke wako ni pisi Kali na anafanya kazi kwenye makao makuu ya halmashauri au kwa DC nakuapia wale vijana wa idara pendwa wakimtaka hachomoi

    Wale vijana kwenye ile idara kwanza ni wapole na sio wazungumzaji Sana Ila vikao vyote top vya DC au DED wanakuwepo. Na huwa hawaongei Sana ni wakimya Ila wenye nguvu za kimamlaka hatari. Kama mke ni pis Kali wakimtaka watamla tuuuu huwezi bisha. Kwanza wanafahamika kwa uwazi kutokana na...
  7. Side Makini Entertainer

    JamiiForums Tanzania Mondi kama Mondi, Hakuna kipya humu just same Mondi akiendeleza kazi yake ya Muziki

    Mondi kama Mondi, Hakuna kipya humu just same Mondi akiendeleza kazi yake ya Muziki. Kusema ukweli mwamba amefikia hatua hata siku akiachia clip anapiga muayo usishangae ikaenda on Trending na ikawa hitsong sijui hitclip 🤠 Hii banger nadhani tageti yake kubwa ni Intaneshino na Clubs, Na ita...
  8. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Naona harufu ya ufisadi nafasi za kazi jeshi la Polisi, Zimamoto na uokoaji, Uhamiaji na Magereza. Rushwa na undugu vimetawala

    Habari! Kwa vijana ambao ndoto zao siku moja wapige au wapigiwe saluti zitaendelea kuyeyuka hii kutokana na uchache wa nafasi zenyewe. Huu mchakato utafanywa tu kutimiza sheria ila msitegemee sana huko vijana wenzangu. Watu washafanyiwa usaili bubu na kuambiwa wasubiri usaili fake. Hivi kwa...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini tovuti ya wizara elimu haifanyi kazi na haipo kabisa?

    Kuna kitu kimoja nimekuwa najiuliza kwa mda mrefu hivi kwanini tovuti ya wizara ya elimu tanzania kwanini haifanyi kazi? Kuna nini wanaficha? Hii wizara ilikuwa active for past years lakini baada ya kuingia ndalixhaxko tumona hakuna updates yeyote ambayo unaweza ukaipata kutoka tovuti ya...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Aibu kubwa! Msomi unakosaje kazi ya kufanya nchi hii yenye kila aina ya rasilimali?

    Hivi wewe ambaye unajiita umesoma halafu unalalamika kuwa huna kazi, unafahamu kwamba unajidhalilisha? Acha wakose kazi vijana wa Ulaya na Marekani huko lkn siyo hapa Tanzania. Ardhi yenye rutuba isiyohitaji mbolea imejaa tele kwann usijiajiri kwenye kilimo? Ardhi ya bure ipo tele katika mikoa...
  11. P

    JamiiForums Tanzania "Kazi Iendelee" ni msemo unaokwepa majukumu huko tuendapo, umekaa kijumlajumla

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wote waliopo huitikia kwa nguvu kazi iendeleee. Nimekaa na kuutafakari huu msemo nimeona kama ni wa kisiasa zaidi. Unakwepa kuwa na commitment kwenye maisha ya Watanzania milioni 60, ni kama vile ikifika wakati wa Rais kuulizwa kafanya...
  12. othuman dan fodio

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume ambao mlikuwa na kazi lakini sasa hamna na wake zenu ndio wanaoendesha familia mliwezaje kutoboa?

    Kichwa cha habari kinahusika, kama mnavyojua ktk maisha kuna kupanda na kushuka Leo unacho kesho huna ndio kanuni ya maisha ilivyo. Suala la ajira limekuwa Changamoto sn kwa dunia ya leo kwa jinsia zote mbele yaani wake kwa waume lkn inakuwa maradufu kwa upande wa kiume kwakuwa utamaduni wetu...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Maabara jamani Lab Assistant

    Tangazo hilo kama linavyojieleza wapendwa ninahitaji nafasi ya kazi. Nina miaka 28Yrs...mkazi wa Kahama Shinyanga...Nina ERP....Uzoefu upo wa kutosha tu kama miaka 5 tokea nimalize chuo 2016..Nina mke na mtoto mmoja ...0765 626 871. Natanguliza shukrani
  14. mgt software

    JamiiForums Tanzania Simbachawene umetukosea sana Graduate tunaouza chai na kutembeza viungo mabarabarani, pia tunaokula chakula cha mjomba, hiyo kazi tunaitaka sana

    Polisi, Uhamiaji, Magereza na Zimamoto. Wote ni wizara moja. Sayansi mliyotumia inashangaza. Hivi mnajua kwamba tunao-graduates wanauza chai kwenye vihoteli vidogo? Mnajua kwamba kuna graduates wanaendesha bodaboda? Mnajua kuwa form six leavers wanauza matunda stendi na wengine ni vibarua wa...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kufundisha masomo physics na mathematics

    Naitwa Pastory Augustino Nipo morogoro Naomba kama kunamtu anafahamu sehemu yenye uhitaji wa mwalimu wa masomo tajwa anisaidie aisee, Level yangu ni diploma
  16. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania Waziri Simbachamwene ametudhalilisha Polisi

    Kauli aliyoitoa jana kwamba jeshi la polisi halihitaji watu wenye ufaulu mkubwa kwasababu kazi ya polisi ni kucheza gwaride na kuilinda Benki ni ya udhalilishaji sana. Mimi wiki kadhaa nyuma niliponea chupuchupu kufa kwa kipigo, baada ya wananchi kujua Mimi ni polisi. Maumivu hayajaisha bado...
  17. Keco Group ltd

    JamiiForums Tanzania Anahitajika Kijana anayejua kunyoa

    Anaitajika kijana Mwenye uzoefu wa Kunyoa Sifa za Muombaji MWENYEKITI WA BODI KECO GROUP LTD S.L.P 34332, DAR ES SALAAM, TANZANIA. Email: kecogrouplimited@gmail.com / 0717412002 Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 01 December 2021 saa sita usiku.
  18. Augustine Moshi

    JamiiForums Tanzania Kusema 'Nendeni Mkalifanyie Kazi' bila kuwa na KPIs kuna walakini

    Mara nyingi tunasikia viongozi wakisema “nendeni mkafanye”. Hiyo haitoshi kuleta utekelezaji. Lazima kutoa KPI (Key Performance Indicator) na kufuatilia utekelezaji wake. Kilicholeta maendeleo ya haraka China ni hivi: kila mtendaji anapangiwa KPI zake na wa juu yake anafuatilia. Ufanisi...
  19. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyonusurika kifo kwa kipigo baada ya kujitambulisha kazi yangu

    Ilikuwa siku ya jumamosi tulivu ambapo jiji la Dar es Salaam na Tanzania nzima kwa ujumla macho na akili zao zilikuwa zimeelekezwa wilayani Temeke kushuhudia mtanange wa watani wa jadi, Simba na Yanga wakichiana kugombea ngao ya Jamii. Mimi na rafiki yangu Dr. Gill Biz na mkewe Hawa, tulikuwa...
  20. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Nimezidiwa na maisha, niokoeni Watanzania wenzangu

    Tafadhali husika na mada tajwa. Mimi siyo mgeni Humu Ila nimejisajili rasmi Leo. Hali yangu ni mbaya mno, Kwa sasa Sina mengi ya kusema Ila naomba nisaidie kazi yeyote Ili niweze kupata Milo na malazi WASIFU WANGU: 1. Nina miaka 25 2. Nina elimu ngazi ya higher diploma in project planning and...
Back
Top Bottom