Ilikuwa siku ya jumamosi tulivu ambapo jiji la Dar es Salaam na Tanzania nzima kwa ujumla macho na akili zao zilikuwa zimeelekezwa wilayani Temeke kushuhudia mtanange wa watani wa jadi, Simba na Yanga wakichiana kugombea ngao ya Jamii.
Mimi na rafiki yangu Dr. Gill Biz na mkewe Hawa, tulikuwa...
Tafadhali husika na mada tajwa. Mimi siyo mgeni Humu Ila nimejisajili rasmi Leo. Hali yangu ni mbaya mno, Kwa sasa Sina mengi ya kusema Ila naomba nisaidie kazi yeyote Ili niweze kupata Milo na malazi
WASIFU WANGU:
1. Nina miaka 25
2. Nina elimu ngazi ya higher diploma in project planning and...
Mara tu baada ya kushika kiti cha Urais kwa kula kiapo, Mhe. Rais Samia Hassan Suluhu alisema 'kazi iendelee'. Na kufanya msemo huo kuwa mwitikio wa salamu ili msemo huo udumu na kusikiksa mara kwa mara.
Sasa kuna maswali yafuatayo:
Kwa kuzingatia lugha ni kwamba kazi hiyo si zaidi ya moja...
Ni kweli huyu Prof ni mtu mwenye asili ya Tanzania visiwani na amekuwa akifundisha University of Kent tangu mwaka 1982. Amendika vitabu vingi tu lakini sijawahi kusikia serikali yetu ya Tanzania ikijisifu kuwa kuna mtanzania anafanya kazi nzuri za fasihi huko Uingereza. Sijawahi kusikia hata...
Hapo jana, Serikali ya Uingereza kupitia ubalozi wake hapa nchini ulieleza kuwa Tanzania ni miongoni mwa mataifa yaliyoondolewa katika orodha ya Mataifa hatari kwa maambukizi ya Corona ambapo mataifa katika orodha hiyo yamepungua kutoka nchi 54 hadi 7. Kwa mujibu wa taarifa hiyo mabadiliko hayo...
Habari wakuu, Mimi ni Kijana wa kitanzania Mwenye umri wa miaka 29. Banda ya kumaliza kidato cha nne nilijiunga na chuo cha utumishi wa umma TANZANIA PUBLIC SERVICE COLLEGE, TABORA CAMPUS.
Nilisoma kozi ya Ugavi na manunuzi kwa ngazi ya diploma Lakini kutokana na changamoto za kifamilia...
Wakubwa habari za jioni? Poleni na majukumu pia hongereni kwa kazi. Kubwa zaidi Naomba anayejua anisidie hapa. Nauliza lipi ni gari zuri,bora na imara kati ya Subaru Forester, Toyota rumion, Nissan x-trail,.
Upatikanaji wa spare, nakadhalika kwa matumizi binafsi Kama vile kwenda kazini. Pia...
Sina nia mbaya!
Lakini kwa muktadha wa nadharia!
Asilimia 40%-55% ya nyumba nyingi mijini zina dada wa kazi!
Hivyo katika kila nyumba 100 maana yake kuna wadada wa kazi 55 majumbani!
Hivyo katika makazi 10000 ya mji mmoja! Maana yake wapo wadada wa kazi takribani 55000 Hawaijui kesho yao...
Habari ndugu zangu,
Hope mko poa na majukumu ya kazi.
Mimi ni mtanzania mwenzenu natafuta kazi ya kuniingizia kipato cha halali iwe ni kwenye kampuni za kitalii au kwenye mashirika yanayohitaji mtu mwenye ujuzi na lugha ya Kireno.
Nina shahada ya usimamizi wa soko la utalii vile vile nina...
Watoto 200, weusi wenzangu kutoka Nigeria, Walichanjwa chanjo za majaribio kwa hila, wakaahidiwa kulipwa iwapo watadhurika. 11 wakafa, wengine wakapata madhara ya kupooza na mitidio ya ubongo, kisha wakatapeliwa hata hayo malipo.
Bado Africa hatujifunzi tu, tunalazimisha watu wafanyiwe...
Salaam Wakuu,
Mwanadiplomasia wa Kimataifa Bernard Kamillius Membe, amedai hajawahi kuhama CCM, bali ilifanyika fitini na watu wachache ambao sasa hawapo kwenye Utawala wa CCM ili asigombee urais wa 2020.
Leo Membe amepata nafasi ya kuongea katika ziara ya Waziri Mkuu Majaliwa, na kusema...
Haiya sasa karibuni vijana wenye sifa tajwa hapo kwenye Tangazo halijachakachuliwa wala nini... Ooh sijui tayari watu walishapatikana tangazo linapostiwa kutimiza wajibu, alafu wengine Tz wanatabia chafu sana kama hiyo
Habari wapendwa poleni na majukumu.
Wapendwa kijana wa kuosha magari anatafuta kazi.
Nina uzoefu na nina uwezo wa kuosha gari vizuri kabisha na kutumia mashine mbalimbali. Naishi dsm gongo la mboto ila nipo tayari kufanya kazi mahali popote .
Nina uwezo wa kumshawishi mteja na nina uwezo wa...
Ndio maana hata Remmy Ongala akatunga wimbo kumsifia kwa kazi nzuri ya kudhibiti rushwa, magendo na uzembe alipokuwa waziri wa mambo ya ndani.
Sisi wanaCHADEMA huwa tunasahau kuwa Mrema ni mmoja wa watanzania wazalendo ambao walitumika kwa moyo mkuu.
My take; Tunafanya kosa kubwa kumuona Mrema...
Nashangaa sana, waziri simbachawene anafanya kazi zipi? Au hata majukumu yake baadhi hayajui.
Nitazungumzia swala la ajali za barabarani kwa sasa naona ndio janga lililopo.
Nadhani ndani ya mwezi wa tisa ni ajali zaidi ya ishirini zimetokea na kuondoa watu, mwezi huu tena wa kumi wembe ni ule...
Juma mosi nilienda kariakoo kununua bidhaa kwenye duka linalomirikiwa na mtu mwenye asili ya kichina mara baada ya kufika muuzaji akamiambia yafatayo
▪︎Kitu unachotaka kununua ni cha laki na hamsini ila bila risiti laki na thelathini elfu
▪︎Na ukitaka bila risiti kabisa ni laki na ishirini...
Dear sir/madam
Natafuta naishi dar es salaam gongo la mboto natafuta kazi yeyote au kibarua cha kuendesha maisha
a) Nina umri miaka 24
b) Sijaoa
c) Taaluma yangu accounting & finance uzoefu wangu custormer cara na sales kwa miaka 3 pia nina uzoefu wa driving miaka 4
d) Nina uwezo wa...
Habari Madam/sir
Natafuta kazi hata kibarua cha kuendesha maisha yangu.
#Ninaweza kufanya kazi yeyote tofauti na taaluma nilizonazo
a) ninaumri wa miaka 24
b)Naishi gongo la mboto DSM
c) taaluma yangu stashahada accounting&finance nina uzoefu wa customer care , sales 3yeaes
d) nina...
Habari.
Natafuta binti wakusaidia kazi kidogo za ndani.
Awe na Umri at least kuanzia miaka 20 nakuendelea. Akiwa amefika Kidato cha Nne itapendeza sana.
Aweze kuishi kirafiki kabisa,
Nyumba ina Watu Wawili tu! Means yeye atakuwa watatu.
Atalipwa Tsh. 100,000/= kwa Mwezi. + Posho (kulingana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.