kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. MGOGOHALISI

    JamiiForums Tanzania Duwasa Dodoma Kazi Imewashinda

    Ni wiki ya tatu sasa kuna baadhi ya maeneo ndani ya viunga vya jiji la Dodoma hayana maji kabisa. Mnyetishaji wangu anaiambia maeneo kama Chidachi, kinyambwa, itega na kielekea Michese hayana maji kabisa licha ya kuahidiwa kuwa yatapatikana. Mnyetishaji huyu anazidi kunidodosolea kuwa Duwasa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Kocha mpya Simba SC Pablo Franco unalipa Mshahara wa Nabi, Kazi, Zahera, Manara na Bumbuli huku Chenji ikibaki pia

    Awali alitaka Mshahara wa Tsh Milioni 350 kwa Mwezi ila baada ya Majadiliano na Klabu aliyoipenda ya Simba baada ya Kusimuliwa na Timu ya Sevilla ya Hispania iliyokuja Tanzania kucheza na Simba SC sasa amekubali kupokea Mshahara wa Tsh Milioni 250 kwa Mwezi na mpaka sasa ameshalipwa tayari...
  3. Citizen B

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi Lumumba

    Sifa zangu: Ni kijana mwenye uwezo wa kukesha nasifu Na kuabudu bila kuchoka. Naweza kubadilisha nyeusi Kuwa nyeupe. Ni muongo Sana Na naweza kudanganya bila kupepesa macho Nina uwezo wa kutunga propaganda Za akili Na maganda yake. Naambatanisha kielelezo kimoja. Wako mtiifu.
  4. Imaniyanguitaniponyatu

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Dodoma

    Habarini wakuu, Mimj kijana wa kiume, muhitimu wa chuo kikuu mwaka huu mkazi wa Dodoma mjini. Natafuta kazi yoyote mjini Dodoma itayoweza nipatia mahitaji yangu ya msingi iwe ya taaluma au ya nguvu. Nimeshindwa kutafuta internship maana sina mtu yoyote nnaemjua aneweza nisaidia nipate hata...
  5. koba lee

    JamiiForums Tanzania Kama unadhani unafanya kazi under pressure tizama hii

  6. T

    JamiiForums Tanzania Vijana wanahitajika kwa ajili usambazaji wa Ubuyu

    Mambo vip wakuu Kuna project inataka kuanza wiki ijayo inahusu kusambaza ubuyu wa jumla na rejareja mtaani. Kwa ambaye Hana ramani, ramani ndio hiyo hapo. Unapewa target ya mzigo, ukiisha unalipwa kamisheni ya 10,000, so wewe Tu na juhudi yako. Project hii tutatumia gari kuzunguka mitaani na...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu kazi za vibarua viwandani Kahama

    Naomba kujulishwa upatikanaji wa kazi za vibarua viwandani na malipo yapoje kwa siku kwa anaeelewa anisaidie
  8. Augustine Moshi

    JamiiForums Tanzania Tumeyapokea na tutayafanyia kazi

    Huwa inasemwa mwanasiasa ni mtu anayeweza kuzungumza kwa saa nzima bila kusema kitu. Yaani ukimsikiliza anahutubia saa nzima baadaye ukitafakari alisema nini unagundua kitu. Hicho ni kipaji. Webometrics rankings za Julai mwaka huu zinaonyesha UDSM ni ya 42 Afrika, Nairobi ni ya 13 na Makere ni...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote mkoa wa Arusha

    Habari zenu wana jamvi. Mimi ni kijana wa kiume natokea mkoa wa Arusha. Ninaomba kwa yeyote mwenye connection ya Kazi yoyote halali kwa mkoa wa Arusha tupeane. Elimu yangu in Shahada ya Uhasibu na Nina uzoefu wa miaka 2 kwa nafasi ya uhasibu na miaka 3 kwa nafasi ya Afisa Masoko kwenye kampuni...
  10. Fantastic Beast

    JamiiForums Tanzania Madodoso ya namna hii ni sumu inayoua ufanisi wa kazi, ndiyo maana taasisi nyingi za umma tija ni ndogo

    Nikiambiwa nim-rate huyu mkuu wa idara aliyeandaa hili dodoso kwa wafanyakaze wake basi nitampa 0/5. Huyu hata taratibu na sheria za utumishi wa umma hazijui na kama anazijua basi ameamua makusudi kuihujumu taasisi yake. Kiwango cha ufanisi wa mfanyakazi hupimwa kwa OPRAS na sio kwa madodoso ya...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Sanaa na kazi za ubunifu za Afrika zakaribishwa nchini China

    Na Kelvin Ogome Takwimu zilizotolewa katika ripoti ya Benki ya Dunia inaonyesha kuwa, asilimia 7 ya pato la jumla barani Afrika hutokana na utalii. Kando na kilimo na uchimbaji madini, mataifa mengi ya Afrika hutegemea utalii na watalii kujiendeleza kiuchumi. Hili ni dhihirisho kamili kuwa...
  12. I wish i have

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi 500 kwa ajili ya KUPUCK laana kuwa maandishi ya kubadili viongozi

    Kampuni ya Punch company limited Inatanganza nafasi 500 kwa wachumi, HR, ACCOUNTANT, WATU WA MASIJALA KWA AJILI YA KUPUNCH LAANA ZILIZOKO KWENYE JAMII MAANA UHURU HAWAKUTENGENEZA KITENGO CHA KUJIBU MANUNGUNIKO ya watu na badala yake yakawa laana... Mathalani:- ...... Mchawi sana/Freemason...
  13. Pulchra Animo

    JamiiForums Tanzania Rais hapaswi kufanya kazi za kawaida za Rais akiwa nje ya nchi

    Nimeona Chifu Hangaya (akiwa Glasgow, Scotland) amefanya uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa NDC. Huu ni ukiukaji wa Katiba yetu. Kwa mujibu wa Ibara ya 47(1)(c) ya Katiba yetu, Makamu wa Rais atafanya kazi zote za Rais kama Rais hayuko kazini au yuko nje ya nchi. Na kwa mujibu wa Ibara ya 37(6)(b) ya...
  14. ABC ZA 2025

    JamiiForums Tanzania Daraja Korofi la tangu Uhuru la Fundimbaga -Tabora mita 45 kwa muda mchache liko tayari

    Rais Samia Suluhu kwa kutumia Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini TARURA, Huu ni muonekano wa Daraja jipya la Fundimbaga lenye urefu wa mita 45 katika barabara ya Tabora - Fundimbaga, Daraja hili linalounganisha kata za Matemanga na Marumba Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Hii ni kazi inayopaswa kufanywa na Jaji au Mahakimu wa Mahakama ya Mwanzo?

    Jaji ni mtu mkubwa na mwenye hadhi ya juu Sana katika mfumo wa Mahakama. Majaji pamoja na kuwa na hadhi ya juu pia ni watu ambao wanamajukumu mahususi na wanapaswa kufuatilia mambo nyeti kwenye kesi zinazofikishwa mbele yao. Hili kuweka heshima ya Mahakama na kuzuia Mahakama kuchezewa Jaji...
  16. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Wenye diploma wanaula!! Wapo wachache tofauti na kazi zinazohitaji degree ambazo ushindani ni mkubwa kupita maelezo

    Napitia hapa kazi za tra nimeona kuna kazi zinahitaji diploma, kiukweli diploma wanakuwaga wachache na hii inakuwa faida kwa wenye diploma maana nafasi hizi mtu aliepitia form 6 hawezi ku appy Kimbembe kipo kwenye degree huku, ni shoida!! kuna rundo la vijana wengi mno wanaomaliza form 6 kila...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vijana kuhusu kazi

    Tanzania ni nchi yenye vijana wengi na wengi wa hawa madogo wanakaa na kusubiri serikali kuwaletea ajira. Mimi kama diaspora nawashauri mchangamke hasa kwa wale vijana wenye elimu kama wenzetu wa Kenya kwa mifano hii hapa 1. Kwanza kwa sasa unaweza kufanya kazi nchi nyingine ukiwa Tanzania...
  18. Superbug

    JamiiForums Tanzania Google Earth itasaidia kuishangaza dunia juu ya kazi za Rais Samia

    Mchakamchaka wa kujenga madarasa nchi nzima utaishangaza dunia kupitia Google Earth waki update image zao by January 2022. Nchi itakuwa imejaa mijengo tu nchi nzima. Huwezi amini Kuna shule naijua imepewa madarasa kumi kwa mpigo. Hakyanani mama unajua kucheza draft bila mbwembwe. Watu wengi...
  19. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Bunda

  20. Chachu Ombara

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya hawajui Kiingereza; Watumishi wa afya 290 kati ya 300 wafeli mtihani wa Kiingereza ili kupata kazi Shirika la Afya la Uingereza

    Watumishi wa afya 290 kati ya 300 nchini Kenya wamefeli mtihani wa Kiingereza ambao ungewawezesha kupata kazi katika shirika la afya la Uingereza (NHS). Julai 2021 Kenya iliingia makubaliano na Uingereza ambayo yatatoa fursa za ajira kwa wauguzi (wa Kenya) ambao hawana ajira.
Back
Top Bottom