Wanawake mnafeli kutoa huduma bora maeneo yenu ya kazi na biashara

6321

JF-Expert Member
Oct 16, 2016
649
1,116
Good morning future Billionnaires

Miaka ya nyuma iliyopita tulikuwa tunawapa credit sana wanawake kwenye kutoa huduma sehemu nzuri, ukimkuta dukani, awe mapokezi au sehemu yoyote ile hutoa huduma nzuri.

Lakin kwa utafiti wangu usio rasmi kwa sasa wanawake mnayumba sana hamtoi huduma nzuri, mnadharau, wavivu, hamjitumi pia ni wezi.

Wanawake jirekebisheni, wanaume sasa tunawapita kwenye kutoa huduma nzuri.

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
 
Kweli kabisa hata hawa wanaotoa huduma kwenye makampuni ya simu (Huduma Kwa Wateja) ukikutana na mwanamke hatakupa huduma nzuri huwa niwavivu pia wanaonyesha dharau.

Lakini ukiwa unahudumiwa na mwanaume ufanikishaji wake ni asilimia 100.
 
Hao wanaendekeza u sister du mbele ya

Kuna wale wanatandika mazuria kwenye maduka yao eti ukitaka kuingia uvue viatu
isitoshe wana nyodo balaa.
 
Kama kwell vile, unafikiri nini kimewabadilish ghafla namna iyo?

Maisha ya sasa ya kushinda kwenye mitandao?

Wanaridhika mapema?

Hawapati skills mpya za kuwahudumia wateja?

Ni kazi wasiyoipenda?

Au Wateja wasikuizi ndo wakorofi?

Au Au au
 
Waliobahatika kupata hizo kazi hawaziwezi

-Hawajui nini maana ya customer care
- Hawajitumi pengine kwa sababu ya maslahi ya waajiri wao
-Waweza kuta mtu fulani mahala fulani anataka kazi na ana weledi nayo sema ndo hivyo tatizo connection
 
Nimeuliza jirani yangu hapa...
Ameniambia wanatongozwa sana...wanapotoa Good Services...mfano kwenye Hospitality Industry...
Sijui kuna ukweli...?
 
Nimeuliza jirani yangu hapa...
Ameniambia wanatongozwa sana...wanapotoa Good Services...mfano kwenye Hospitality Industry...
Sijui kuna ukweli...?
Ila kuna wenzenu wanasema "Bora kuhudumiwa na nesi mwanaume kuliko mwanamke,kipindi cha kujifungua". Hili mosi.

Pili,mwalimu wangu alipokuwa anakosoa wanawake kuvaa majukumu ambayo siyo yao,nakumbuka alisema "Unakuta ufanisi wa wanawake unaondoka kwa sababu nyingi,unakuta mwanamke ni boss wa wanaume,na anatongozwa na walio chini yake" . Mwisho wa kunukuu.

Ninasema mimi,Mwanamke awe atakavyo kuwa,maadamu atachanganyika na wanaume lazima tu atongozwe,hili haliepukiki. Mwisho wa siku ufanisi wa kazi lazima uzushuke.
 
Hata madukan pia unapo hudumia wateja kwa ukarimu hasa wanaume wanatumia iyo fursa kukutongoza ovyo
Nimeuliza jirani yangu hapa...
Ameniambia wanatongozwa sana...wanapotoa Good Services...mfano kwenye Hospitality Industry...
Sijui kuna ukweli...?
 
Back
Top Bottom