Kabla ya kuanza kazi; ma-DC, ma-DAS na ma-DED wapigwe msasa

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,889
Wengi ni wageni kabisa. Hawajawahi kabisa kufanya utumishi wa umma wala ABC za kuongoza wilaya.

Ni vema wapigwe klash program Ili wafanye kazi yao kwa weledi.

Tunahitaji viongozi ambao maendeleo ndiyo kitakuwa kipaumbele chao, viongozi wabunifu. Ikiwezekana wapewe na malengo na wapimwe kwa hayo.
 
Miaka Kitano iliyopita ilikuwa msasa wakugombana na wapinzani.sasa hawapo agenda itakuwa ni nini
 
Wengi ni wageni kabisa. Hawajawahi kabisa kufanya utumishi wa umma wala ABC za kuongoza wilaya.

Ni vema wapigwe klash program Ili wafanye kazi yao kwa weledi.

Tunahitaji viongozi ambao maendeleo ndiyo kitakuwa kipaumbele chao, viongozi wabunifu. Ikiwezekana wapewe na malengo na wapimwe kwa hayo.
Lengo kuu ni CCM ibaki madarakani
 
Nakumbuka waziri wa utawala Bora alisema this time watapigwa msasa pale chuo cha Utumishi. Hopefully watatekeleza maana wengi wanaonekana wana ufahamu wa mambo na exposure Ila Utumishi serikalini na kuona personal achievements zao hatujaona.

Naangalia mtu kama Basila Mwanukuzi na Nick wao hawajawahi kuwa kwenye chama chochote kouongozi.

Watu wengi wanafananisha Jokate na hawa wengine, Jokate alitokea UVCCM na alikuwa kiongozi wa juu kule kwa hiyo anaijua siasa na uongozi.
 
Back
Top Bottom