kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Superbug

    JamiiForums Tanzania Google Earth itasaidia kuishangaza dunia juu ya kazi za Rais Samia

    Mchakamchaka wa kujenga madarasa nchi nzima utaishangaza dunia kupitia Google Earth waki update image zao by January 2022. Nchi itakuwa imejaa mijengo tu nchi nzima. Huwezi amini Kuna shule naijua imepewa madarasa kumi kwa mpigo. Hakyanani mama unajua kucheza draft bila mbwembwe. Watu wengi...
  2. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Bunda

  3. Chachu Ombara

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya hawajui Kiingereza; Watumishi wa afya 290 kati ya 300 wafeli mtihani wa Kiingereza ili kupata kazi Shirika la Afya la Uingereza

    Watumishi wa afya 290 kati ya 300 nchini Kenya wamefeli mtihani wa Kiingereza ambao ungewawezesha kupata kazi katika shirika la afya la Uingereza (NHS). Julai 2021 Kenya iliingia makubaliano na Uingereza ambayo yatatoa fursa za ajira kwa wauguzi (wa Kenya) ambao hawana ajira.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kijana wa kazi kutoka Kigoma

    Habari za leo wadau. Natafuta kijana wa kulinda mji na kuweka msafi wakati wote kutoka kigoma. Awe; 1. MUAMINIFU, 2. mcha MUNGU 3. MKWELI na 4. MCHAPA KAZI KWELIKWELI Mshara ni Tzs 100,000/= kwa mwezi. Atatumiwa nauli ya kutoka huko kija huku. Naomba anitafute kwa namba hizi 0787998926...
  5. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Jinsi Injini ya Ndege aina ya Jet inavyofanya kazi

    Bila shaka umewahi kujiuliza 'injini ya ndege za abiria inafanyaje kazi? Na huenda hukupata majibu! Ukiendelea kusoma,utapata jibu la swali hilo, Kwanza, hebu tuone sehemu za injini ya ndege. Zifuatazo ni sehemu kuu tano za injini ya ndege (Jet Engine) 1.Air inlet Hii ni sehemu ya mbele kabisa...
  6. Ma mee

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kazi yoyote, elimu yangu ni Kidato cha Sita

    Naomba kazi yoyote, elimu yangu form six nina Division One. Umri miaka 22 Nipo Dar es Salaam. Naomba connection
  7. MUTUYAMUNGU

    JamiiForums Tanzania Mliopo Mafinga tupeane michongo ya kazi za viwandani

    Ndugu zetu mliopo Mafinga tunaomba mtupe connection ya kazi za viwandani huko. Mtuambie viwanda vilivyopo na malipo yake kwa kila kiwanda. Pia kama nafasi zipo tunaomba mtushirikishe na sisi. Huku mjini njaa ni kali sana.
  8. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Makatibu wa CCM wilaya waliohamishwa vituo vya kazi wagoma kuripoti vituo vipya walivyopangiwa

    Mada inahusika. Makatibu wa CCM wa wilaya nchi Tanzania, wamehamishwa kwenye vituo vyao vya kazi na wamegoma kuripoti kwenye vituo vipya walivyopangiwa. Sambamba na hilo wakatibu zaidi ya 30 wamepangiwa kazi zingine jambo ambalo hawakubaliani nalo na wamediriki kutoa rushwa Ili wapangiwe tena...
  9. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ni asilimia 21 tu zitaenda kwa Wazanzibari katika Nafasi 1,097 za kazi kutoka TRA, marekebisho yanahitajika

    Kwanza nitoe pongezi kwa serikali iliyosikia kilio cha vijana kwa kutoa ajira zaidi ya elf 1 TRA. Kama mnavyojua, Kwenye ajira wazanzibar hupewa asilimia 21, kwa hio katika hizi nafasi 1,097 ni sawa na wazanzibari 230 tu, 230 hao bado ni wachache kulingana na idadi kubwa ya vijana wanaomaliza...
  10. Keco Group ltd

    JamiiForums Tanzania NAFASI ZA KAZI

    Wanahitakija Mabinti na vijana wenye uwezo wa kutoa Huduma ya Chakula/Hotel Maombi ya kazi : Jinsi ya Kutuma maombi andika barua ya kuomba kazi ukiambatanisha na mawasiliano yako na vyeti itapendeza zaidi tuma kwa Barua people iliyo ambatanishwa hapo chini Mahali : Dar es Salaam, Kinondoni &...
  11. GEM mama

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA KAZI ZA UTENDAJI

    Wanaforums wenzangu naombeni msaada niweze kupata kazi ya utendaji nimatamanio yangu nipate ajira ya kudumu hata utendaji tu ni miaka mingi natafuta kazi naishia kupata vibarua tu vya muda mfupi. Nina diploma(2013) na degree(2016) ya uhasibu toka TIA. Asante
  12. D

    JamiiForums Tanzania Serikali kutumia kigezo cha kupitia JKT ili kupata nafasi za kazi wakati si vijana wote huchaguliwa kujiunga na JKT ni ubaguzi wa wazi

    Kumekuwa na tabia za hivi karibuni, kwamba ili upate nafasi za kazi kwa vyombo vya ulinzi na usalama, mojawapo ya sifa ya waombaji ni kupitia mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa. Huu ni ubaguzi wa wazi kabisa. Hivi toka lini vijana wote waliohitimu kidato cha sita waliitwa wote kujiunga na jeshi...
  13. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

    Habari wadau, niliwahi kuja na uzi hapa kuhusu D09 CLUB Miezi michache kabla haijapotelea kusikojulikana na nilishambuliwa sana na waliliwa pesa zao na bila kujua hatma yao wanarudishiwa vipi na nani. Leo naomba nije na mambo 30 usiyoyajua kuhusu Qnet. Qnet ni network marketing ambayo imevuta...
  14. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kazi za TRA ni bora sanaa kimaslahi?

    Wajumbe salamaaa. Ni yuleyule Mr. Liverpool nikireport kutoka Anfield chini ya Mzee Klop..!! Ngoja niingie kwenye mada. Tarehe 22/10 TRA kupitia Sekretarieti ya ajira ili tangaza nafasi za ajira kibao. Lile Tangazo bana likafika Ofisini..!! Mimi ni mfanyakazi wa halmashauri fulani humu...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi kwenye garage au yard

    Ndugu kama kuna mtu ana garage au yard anipe mchongo. Nishafanya kazi za garage na nin auzoefu nazo kwa ndani ya nchi na hata kwa nje ya nchi yaani nishakuaga katika kampuni za transit good s. Naweza Fanya KAZI zote za garage. Napatikana Dar. Kiufupi kazi zinazohusiana na gari gari Mimi niko...
  16. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Fursa ya kazi za uzabuni: Buzuruga Dispensary mwanza

  17. kt the irreplaceable

    JamiiForums Tanzania Tumebuni mfumo (IT solution) kwenye mnyororo wa thamani wa kilimo (agriculrural value chain) tunatafuta mdau wa kufanya naye kazi

    Hi wakubwa. moja kwa moja kwenye mada, tumedisign mfumo (it solution) kwenye mnyororo mzima wa thamani kwenye kilimo (agricultural value chain) ambao utarahisisha mahusiano na mawasiliano kwa washikadau (stakeholders) wote ambao wanaingia kwenye sekta hii ya kilimo na ufugaji. washika dau hao...
  18. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ufalme na Umalkia ndio kazi nyepesi na zenye mkwanja mrefu kuliko kazi zote duniani

    Ufalme na Umalkia ndio kazi nyepesi na zenye mkwanja mrefu kuliko kazi zote duniani. Hivi ni kwanini Uingereza hawapendi kutumia mfumo wa Urais. Sitouliza kuhusu Saudi Arabia, huko achana nako. Ufalme na Umalkia ndio kazi nyepesi na zenye mkwanja mrefu kuliko kazi zote duniani.
  19. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Ushauri: ~ Makatibu wa CCM wa wilaya na Mikoa wabadilishiwe vituo vya kazi kabla ya uchaguzi wa chama 2022

    Kuna makatibu wa CCM wilaya na Mikoa wasipobadilishiwa vituo vya kazi. Mapema na ksbla ya ichaguzi mkuu wavchama CCM 2022 watachagua mamluki na watu wasio na sifa. Pili wamekuwa miungu watu kwa chama na kwa wananchi. Ninashauri waondolewe mapema na kuweka wengine wapya na waadilifu.
  20. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Je, Utulivu wa wamachinga katika msimu huu wa kutolewa, ni matokeo ya kazi nzuri ya Hayati Magufuli?

    Zamani ilikuwa ni ugomvi. Mama ntilie tu na migambo wa jiji ilikuwa ni vita. Nashangaa awamu hii, wamekuwa wapendwa, waungwana, nimeona kwa pamoja kwenye ukuta wa Mtaa wa uhuru wakitoa wenyewe bila hata kufukuzwa. Wakatoa mbaombao wakifuata utaratibu waliopewa. Aliyebuni hii mbinu anaakili...
Back
Top Bottom