Kazi: Wanahitajika wadada wawili wa delivery

Chimulenge

JF-Expert Member
Sep 5, 2016
218
147
Habari JF

Narudi tena kwenu baada ya kupata wadada wa awamu ya kwanza kazi ya kuserve, Tunaendelea kupeana liziki nahitaji wadada wawili tena wa kutafuta oda za chakula hapa Dodoma twn na kusambaza. Ni kazi ambayo ina target yake angalau kwa siku upate angalau oda 30.

Mshahara ni 220000 kwa mwezi ila ukiweza kuachieve hiyo target kwa mwezi unapata bonus.

Muda wa kufika kazini ni saa sita mchana
Kutoka jioni

Kwa aliye tayari tafadhari tuwasiliane 0622723082.
 
Hizo Order 30 kwa siku ni Achiavable ?

Akipata watu leo kama wanakula mwezi mzima wanakuwa wake kila siku au wakishaingia kundini ni mali ya ofisi ?

Kwa kawaida lowest performer huwa anapata order ngapi ?
 
Hizo Order 30 kwa siku ni Achiavable ?

Akipata watu leo kama wanakula mwezi mzima wanakuwa wake kila siku au wakishaingia kundini ni mali ya ofisi ?

Kwa kawaida lowest performer huwa anapata order ngapi ?
Wataendelea kuwa wake.. akiweza pata hiyo achievement ya 30 anapata bonus yake lakini akipata zaidi inaongezeka, hasipate chini ya 20 kwa siku ambayo hatopata bonus
 
Back
Top Bottom