Kimasikhara
Member
- Feb 9, 2021
- 27
- 149
Kijana mwenzangu kama title thread ilivyo jinsia ni mwanaume 29 years old, Graduate. Sina kazi rasmi zaidi ya mishe za hapa na pale, wala sina mpenzi ni jukumu ambalo siwezi kulimudu kwa sasa.
Ratiba yangu kwa siku nikuamka na kushukuru Mungu kwa uhai, kwenda kuzurura huko duniani angalau nipate vocha na kula, usiku narudi nyumbani, mzunguko unajirudia.
Kwa kijana mwenzangu ambae upo kama mimi najua mshale umesogea na mishe hazijakaa poa inauma sana, ila ngoja nikuambie kitu "You are never late in success, although kama ukifanikiwa mapema ni bora zaidi". Jua kitu gani cha kukupa furaha mfano mpira (Kama ni shabiki wa Yanga na Arsenal pole). Kama ikiwezekana achana na issue za mahusiano hii itakupunguzia unnecessary stress. Hitimisho usijione na failure wala kuwaza kujiua haupo pekee katika hii hali tupo wengi sana.
"Tobo lipo mbali ila amini utaona mwanga"