kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kauli kuu ya Mbowe iliyosaidia sana kutunza amani nchini: Tusilipize kisasi, kisasi ni kazi ya Mungu

    Mara nyingi, Mbowe amekuwa ni mtu wa amani sana. Kuna nyakati wafuasi wa chama chake walikuwa wakimtaka Mwenyekiti awape go ahead ya kufanya matendo ya kulipiza visasi kutokana na hila na uonevu waliokuwa wakifanyiwa na watu wa mrengo wa CCM na serikali, Lakini Mbowe siku zote amekuwa akiwaasa...
  2. Ngungenge

    JamiiForums Tanzania January Makamba hawezi kufanya propaganda mbele ya Rais Samia. Huu ni wakati wa vitendo, January chapa kazi

    Mifuko ya plastic nchi hii iliondolewa bila hata Mende kuguswa kitu ambacho mwendazake na serikali nzima hawakuamini. Wananchi wa Tanzania walistaajabu uwezo na akili yake na mikakati yake kufanikisha suala la mifuko bila kutumia polisi wala vyombo vingine vya Usalama. Kila moja anakumbuka wivu...
  3. Mpekuzi Tanzania

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Igunga na falsafa ya kazi na maendeleo

    IGUNGA: KAZI NA MAENDELEO Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe Nicholaus George Ngassa, ameungana na Wananchi na Mafundi kushiriki ujenzi wa vyumba vya madarasa vya Shule za Sekondari. Serikali imelipatia Jimbo la Igunga Shilingi Milioni Mia Nane na Themanini (Tshs 880,000,000) kwa ajili ya ujenzi wa...
  4. Isaya mwakyoma8

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina elimu ya Kidato cha nne

    Jamani nimekuja kwa mara nyingine tena . Hali imekuwa tete natafuta kazi. niko tayari kufanya kazi popote elimu yangu kidato cha nne. Umri miaka 26 naishi Keko Mwanga. Kazi za awali nilizo wahi kufanya 1. Kuongoza mashine ya kusaga nafaka mahindi kwa miaka 7. 2. Nimekuwa afisa mikopo kwa...
  5. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Moja ya Kazi za Bunge ni kuikosoa Serikali,Je wananchi kulikosoa Bunge ni haramu?

    Wabunge wawapo Bungeni huikisoa serikali vikali kwelikweli,huwabana mawaziri wa serikali kwa nguvu za hoja na hata kwa kejeli,huikosoa serikali Sana na mara nyingine hutoa maneno makali Sana.yes hiyo ndio Kazi ya wabunge na Bunge dhidi ya serikali. Je, ni makosa kwa wananchi kulikosoa Bunge...
  6. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 17, 2021: Kesi yaahirishwa mpaka tarehe 18/11/2021 saa tatu asubuhi

    Salaam Wakuu, Leo tarehe 17/11/2021 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe inaendelea baada ya kuahirishwa siku ya jana. Kujua jana kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe: Jaji aahirisha kutoa uamuzi mpaka tarehe 17/11/2021 saa tatu asubuhi Ungana nami katika uzi...
  7. Risk manager

    JamiiForums Tanzania Tozo zetu hazifanyi kazi tulizoambiwa

    Habari zenu wanajukwaa. Hili suala napenda lifike mamlaka zinazohusika. Jamani tuliambiwa michango inajenga madarasa n.k Ila Cha kushangaza tunaanza kuibiwa kuwa tuchangie hela ya ujenzi. Hebu afisa elimu mkoa wa mwanza ,afisa elimu wilaya,karibu elimu kata na wizara mwenye dhamana unalijua...
  8. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Maji na Umeme imekuwa janga la taifa, Serikali tusaidieni kazi zimesimama vyakula vinaharibika kweye friji

    Serikali Serikali Serikali, mrudisheni Waziri Kalemani haya tunayo yapitia hata kama ni kukarabati, inamaana huu ukarabati ndio utafanya umeme uwe wa bei rahisi au utakuwa na nguvu zaidi ya kawaida au utakuwaje mwenzenu sijaelewa Mboga zote na vyakula kwenye friji tumeanza kuvila ili viishe...
  9. Replica

    JamiiForums Tanzania Waziri Makamba: Hakuna uhaba wa mafuta nchini, amtaka Mkurugenzi wa TPDC akajieleze kabla hawajachukua hatua

    January Makamba: Hakuna uhaba wa mafuta nchini. Hakuna sababu ya kuwa na taharuki. Utaratibu wa kuingiza mafuta unahakikisha kwamba mahitaji yapo wakati wote. Serikali inaendelea kuchukua hatua kuongeza uhakika wa upatikanaji na unafuu wa bei. Akijibu swali la mdau alieuliza mkanganyiko kati ya...
  10. beth

    JamiiForums Tanzania Hewa Chafu India: Mahakama yaagiza Ofisi Jijini New Delhi kufungwa na watu wafanyie kazi nyumbani

    Mahakama ya Juu ya India imeelekeza Mamlaka kufunga Ofisi katika Mji Mkuu wa New Delhi, na Miji ya karibu. Hatua hiyo itaruhusu Mamilioni ya watu kufanya kazi nyumbani wakati Maafisa wakitafuta mbinu za kupunguza hewa chafu. Jiji hilo limekuwa likipambana na ukungu wenye sumu tangu mapema Mwezi...
  11. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kazi ya vidonge viitwavyo Viviani?

    Naomba kujuzwa matumizi ya hivi vidonge Vivian, maana kuna mtu anaumwa kichwa kaandikiwa hivyo avitumie lakini havimsaidii. Asanteni
  12. Mtangoo

    JamiiForums Tanzania Project Ni Muhimu Ili kupata kazi kwenye Software Industry

    Unaweza kupata kwa kuwa na "koneksheni" toka kwa anko Unaweza kupata kwa kumpa "chochote" au kuwa "chochote" Unaweze kupata kwa kupambana Kama unataka kupata based on merits, hakuna shortcut! Jifunze, fanya na onyesha! Kwenye kuonyesha tengeneza Project iwe Github au Gitlab na uwaonyeshe uwezo...
  13. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Nimefuatilia utendaji kazi wa Rais Samia, PM Majaliwa na VP Mpango, huwezi kuamini awamu ya tano walikuwa wamoja na Hayati Magufuli

    Ukilala ukiamka, ukafuatilia uteuzi, utendaji na miradi mkakati iliyoanzishwa na serikali ya awamu ya tano, utaona wazi viongozi niliowataja walikuwa wanasali na kuomba JPM atakufa lini ili wafanye yakao. Ila hawakumbuki kuwa wanaongoza wananchi 60m ambao hawajawahi kuwaomba kura wala...
  14. Konseli Mkuu Andrew

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia ije na mpango wa kunusuru wasio na kazi

    Kimekuwa ni kilio cha muda mrefu sana kuhusu ukosefu wa ajira hapa nchini kwa makundi yote yaaani wenye elimu za juu, kati na hata chini ,lakini serikali za awamu zote zijaona kama zimekuja na mpango mkakati juu ya ili kundi ili kulinusuru maana hatua ya sasa hali imekuwa ni mbaya kuliko...
  15. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Kwa nia njema kabisa, Rais Samia mfute kazi Waziri Makamba

    Samia,una habari Nchi ipo gizani? Hivi unatambua umeme ni bidhaa adhimu mno Tanzania kote kwa sasa? Una habari unapo kuwa kule batani ambapo sasa ndipo ulipopapenda wenzako huku wanajipigia tu pesa kwa kuainisha vi projects fulani fulani? Natambua utakuwa nje ya Nchi zaidi katika Utawala wako...
  16. Ubungo Mataa

    JamiiForums Tanzania Mchoma Nyama anatafutwa

    Anahitajika kijana fundi wa kuchoma na kukaanga kuku barabarani. Eneo la kazi Kimara Korogwe, malipo maelewano. DM iko wazi.
  17. Depretty

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Habari, Nahitaji kazi maeneo ya dar, nina ujuzi wa mambo ya saloon(ya kike na kiume) , lakini pia natafuta kazi za kuuza duka (languo, vipodozi, nk) kazi ya usafi, usaidizi wa ofisini, nyumban kwenda na kurudi) usaidizi wa shuleni hata upishi au kusaidia tu wale watoto na kazi zingine ambazo...
  18. mshale21

    JamiiForums Tanzania RC Homera: Watendaji wa Vijiji na Kata walioshindwa kufikia kiwango cha ukusanyaji wa mapato wapangiwe kazi nyingine

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera, ameagiza watendaji wa Vijiji na Kata walioshindwa kufikia kiwango cha ukusanyaji wa mapato ya ndani kupangiwa kazi nyingine. Homera ametoa kauli hiyo wakati akizungumza kwenye kikao cha Baraza la Madiwani mara baada ya Uongozi wa Halmashauri kutangaza...
  19. saci

    JamiiForums Tanzania Wanawake msiombe hela ombeni KAZI

    Kuna mwanamke kaniomba sh elfu 40 akasuke nywele sasa nikaiwazia hiyo pesa kwa haraka haraka. Elfu 40 nanunua mifuko mi 3 ya smenti. Elfu 40 nanunua kuku wa 3 wanene. Elfu 40 nanunua units 116 za umeme. Elfu 40 nanunua mapazia mawili. Elfu 40 najaza gesi mtungi mkubwa. Basi baada ya...
  20. V

    JamiiForums Tanzania Angalia ujuzi wangu then naomba connection ya kazi

    Kwema wana jf taifa kubwa Naitwa makolelo Mkazi wa dar Elimu diploma Uzoefu Store keeper kampuni ya jiangxi Mwaka mmoja Shop manager fashion shop Revenue collector municipal Cashier Site foremen supervising 10 labour Natafuta kazi yoyote ya kuingiza riziki na nimuuguze mama angu Kitu hiki...
Back
Top Bottom