Kazi ya mafuta ya transfoma

Dullah07

JF-Expert Member
Apr 12, 2017
220
473
Habari waungwana.Niende ktk hoja hapo kipindi cha nyuma nilikuwa nikiona transfoma zilizoharibiwa kutokana na watu kugema mafuta yake sasa swali langu ni jee hayo mafuta yana kazi gani na yana thamani gani hadi kufikia watu kurisk maisha yao kwa ajili ya kuyaiba?
 
hilo wese kazi yake ni kupooza hilo dude,kama oil yaani.
ndio maana yakitolewa tu au kupunguzwa linaungua.

sifa yake ni kwamba hayaishi kwenye kukaanga chipsi.
Duuuh, kama kweli yanatumika kukaangia chipsi sijui athari zake kiafya zipoje
 
Kwenye kupikia apo...

Yanatumika kama mafuta ya kupikia(cooking oil), ama kama chanzo cha moto? (Fuel).?
 
Yale mafuta ni dili kwakua hayakauki
Transformer hua zinachemka sana zinapofanya kazi
Ila still miaka bado yapo tu
Ndio maan wanayasaka sana
 
ukikaangia chipsi hua hayaishi, mwendo mdundo tu , ukiyapata unasema bye bye Korie
 
Kazi yake ni kuwa yanaongeza nguvu za kiume,utafiti huo ulifanyika uko marekani walichukua mafuta ya transiformer wakapikia chakula kisha wakawapa wenye ukosefu huo na kuonyesha matokeo mazuri......so sie wanaume tusiwachukie wauza chipsi
Nahisi kuna nguvu ya kimahusiano kati ya nguvu ya umeme na nguvu za kiume.......kupanga ni kuchagua tutumie umeme ama tuongeze heshima za ndoa katika majumba yetu
 
Back
Top Bottom