Waziri wa Elimu kama kazi imemshinda ajiuzulu, walimu shule binafsi wanalipwa mishahara finyu na hasemi chochote

Ikitotanzila

JF-Expert Member
Sep 22, 2020
1,409
2,263
Hata hajui unyanyasaji unaofanya na waajiri shule binafsi na she doesn't bother kujua yeye kutoa matamko tu yasiyotekelezwa.

Walimu wanalipwa laki moja au mbili huko private na wanafanyishwa kazi mchana na usiku na hawaruhusiwi kabisa kuoa au kuolewa. Ukioa tu umejifukuzisha kazi.

Simu huruhusiwi kutumia na ukienda chooni unahesabiwa dakika.

Yeye bado yuko ofisini tu haoni chochote na haraki kujua private kuna nini.

Prof Ndalichako jiuzulu wengine wanaojua wakureprace elimu inaharibika dremendously.

Shule hazifundishwi tena na proffesional twachers bali wahsibu na engineers waliokosa kazi
 
Mkuu unachokisema ni sahihi, waajiri sasa hivi wanatamba kuwa walimu ni wengi mtaani. Wanawatambia waajiriwa kuwa mezani kuna barua za applications zaidi ya thelathini, ukizingua anareplace mwingine kwa malipo ya laki moja na nusu na laki mbili.

Wale waajiriwa wa mwanzo ambao mishahara yao ilikuwa kwenye scales za serikali na zaidi wamekuwa wakiondolewa kinyemela.

Pia mikataba ya ajira imekuwa ni kizungumkuti, unaambiwa probation miezi sita iikisha ukijifanya unafatilia sana unaondolewa kinyemela. Serikali inapaswa kulifatilia hili jambo kwa ukaribu na kufanya ukaguzi wa kushitukiza kwenye hizi taasisi, ikiwemo kukagua mikataba, makato ya Kodi, Heslb na NssF.

Mbali ya manyanyaso, dhulma na udhalilishaji wa kitaaluma kwa watumishi, Serikali pia inaibiwa hapa kwenye kodi ya PAYE, maana mshahara wa mwalimu wa degree unapaswa kuanzia ngazi ya TGTSD (Tsh.716,000/=), hawa jamaa hulipa Tsh. 150,000/= hadi laki mbili au tatu, hivyo kuikosesha serikali mapato stahiki ya kodi.

Angalizo, serikali itumie wakaguzi wengine badala ya wakaguzi wa elimu kanda. Maana hawa wanajuana sana na wamiliki wa hizi shule huwajulisha kabla na kupokea vijibahasha waendapo kukagua, zaidi wao huangalia lesson plans, schemes of work na log books wala si mikataba na stahiki za watumishi. Napendekeza iundwe timu ya wataalamu kutoka TRA, NssF, Heslb na Takukuru, kufanya uchunguzi kwenye eneo hili, naimani madudu mengi yataibuliwa.

Waziri wa elimu na yule wa kazi na ajira haya yanawahusu muyafanyie kazi, kwenye PAYE Mwigulu Nchemba naomba nikutag

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
Hata hajui unyanyasaji unaofanya na waajiri shule binafsi na she doesn't bother kujua yeye kutoa matamko tu yasiyotekelezwa.

Walimu wanalipwa laki moja au mbili huko private na wanafanyishwa kazi mchana na usiku na hawaruhusiwi kabisa kuoa au kuolewa. Ukioa tu umejifukuzisha kazi.

Simu huruhusiwi kutumia na ukienda chooni unahesabiwa dakika.

Yeye bado yuko ofisini tu haoni chochote na haraki kujua private kuna nini.

Prof Ndalichako jiuzulu wengine wanaojua wakureprace elimu inaharibika dremendously.

Shule hazifundishwi tena na proffesional twachers bali wahsibu na engineers waliokosa kazi
Kuna shule zimefunga mfumo wa CCVT! Ukionekana unaongea na simu au unachati muda wa kazi unatimuliwa! Hata kama hukuwa kwenye kipindi muda huo!! Wakati wa likizo kuna baadhi ya shule hazilipi mshahara!! Huko private kuna utumwa!! Mshahara mdogo lakini pia huupati kwa wakati! na unaupata kwa mafungu mafungu!! Japo ni kweli pia kuwa kuna shule chachè zinazolipa vizuri sana kuliko serikali!!!
 
Achawapige kazi hakuna pesa za bureee
 
Ndalichako mnamwonea bure. Hana ubavu wa kuwapangia mishahara shule binafsi.

Kashindwa kutoa ajira huko serikalini Hawa watu binafsi wanamsaidia kutoa ajira.

Kwa kuwa walimu waanohitaji kazi ni wengi, kwann nimlipe mtu mshahara mkubwa wakati Kuna mwingine anatamani afundishe kwa laki moja?

Huyu mleta mada kwani kalazimishwa?

Mm nawalipa elfu kumi kwa wiki na wamejaa kibao. Siwaruhusu hata kula, achilia mbali kwenda chooni.
 
Kwanza pole sana. Ila najiuliza tu, kwa uandishi huu na maneno haya ambayo labda ni kiingereza’ “Reprace, dremendously, twachers”, wewe unadhani mtu atakulipa Sh. ngapi ili ufundishe watoto wa watu.

Hayo mengine ya kubaniwa kwenda chooni yanaeleweka.
 
Hata hajui unyanyasaji unaofanya na waajiri shule binafsi na she doesn't bother kujua yeye kutoa matamko tu yasiyotekelezwa.

Walimu wanalipwa laki moja au mbili huko private na wanafanyishwa kazi mchana na usiku na hawaruhusiwi kabisa kuoa au kuolewa. Ukioa tu umejifukuzisha kazi.

Simu huruhusiwi kutumia na ukienda chooni unahesabiwa dakika.

Yeye bado yuko ofisini tu haoni chochote na haraki kujua private kuna nini.

Prof Ndalichako jiuzulu wengine wanaojua wakureprace elimu inaharibika dremendously.

Shule hazifundishwi tena na proffesional twachers bali wahsibu na engineers waliokosa kazi
chuki za waziwazimhizi unaonekana hata chai hujakunywa mpaka sasahivi
 
Mbinywe tu mpaka akili iwarudi.
Kuna mzee mmoja alikuwa anatibu vichaa kwa kuwapigia nyungu takatifu. Unainamishwa kichwa mpaka akili itakaa sawa.
Wengi wenu mlisimamia uchaguzi na kuisaidia CCM chama haramu kishinde.
umeanza vizuri ukaharibu hapo mwisho huna akili mpumbavu wewe
 
Back
Top Bottom