Natafuta vijana 10 wenye uwezo wa kutengeneza sabuni za unga na kipande

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
6,318
8,228
Natafuta vijana 10 wenye uwezo wa kutengeneza sabuni za unga na kipande.

Wawe na umri wa kuanzia miaka 23-33. Wawe wanaishi Dar es Salaam.

Kama upo njoo PM.
 
Kila la kheri katika safari yako.
Mkifungua kampuni au kiwanda mtoe bidhaa nzuri hilo sina shaka. Natumaini kuipata na kuinunua bidhaa yenu yenye ubora.
Na msije anza na bidhaa nzuri yenye viwango siku za mwanzo baadae mkaanza kuchakachua na mkaanza kuleta bidhaa isio na ubora mkapotea kwenye soko.

Bidhaa nyingi hasa za sabuni zinaxotengenezwa na wazawa zinapata dhoruba ya kodi na ushindani baadae hupotea au kupunguza uzalishaji.

Wapiii sabuni za TESA, FOMA, KLIN etc
 
shukurani mkuu, kwa ushauri mzuri
 
Vijana wanatakiwa wasome fani za ufundi ili kujinusuru na soko la ajira
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom