kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Makonda anafanya kazi za Kinana na Dkt. Nchimbi. Je, ndiyo utaratibu wa chama?

    Kwa mujibu wa Katiba ya CCM kazi ya Katibu wa Itikadi,uenezi na Mafunzo ni kukisemea na kukitolea taarifa chama kinapokua kwenye utekelezaji wake. Sasa Kaka Bashite aneacha wajibu wake anafahya kazi za Makamu mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Kinana, anafanya kazi za Dr Nchimbi, katibu mkuu wa Chama...
  2. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Sales au Business Administrator au relevant

    Mimi kijana wa miaka 35. Natafuta kazi, short term au long term. Nina elimu ya chuo kikuu na experience kwenye sales, marketing na project management. Kwa Sasa Sina kazi lakini niko tayari kufanya kazi yeyote nitakayoiweza. Niko flexible sana na open minded
  3. JamiiForums Tanzania XAVI Umepiga Kazi Mitaa ya Wapenda Soka Haitokudharau Imekuheshimu

    Mpira ni Mchezo ambao unafanya watu wasahau Maumivu ya Gharama kubwa za Maisha ndani ya dakika 90. Mpira ni Mchezo ambao unafanya watu wa Dini Tofauti wasahau Imani zao kwa Mda, na wote wanakua na Dini Moja kwa dakika 90. Mpira ni Mchezo ambao unafanya wapinzani kisiasa waungane kwa dakika 90...
  4. JamiiForums Tanzania Polisi wa Hamas waanza kazi zao jijini Gaza. Wapita masokoni kudhibiti mfumuko wa bei

    Tangu vikosi vya Israel viondoke kaskazini ya Gaza mamia kwa maelfu ya wananchi wamekuwa wakimiminiko kutoka walikojificha na wengine kurudi kutoka kusini na kujaza mitaa iliyojaa magofu na kifusi. Shida kubwa waliyokutana nayo ni ukosefu wa chakula na kwa vile vichache vinavyopatikana masokoni...
  5. JamiiForums Tanzania Imebainika kuna wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa walihusika kushambulia Israel

    UN iwe makini sana inapoajiri watu wa dini ile maana huwa hawaachi asili ya ugaidi, sasa imebainika humo kunao walikua mstari wa mbele kushambulia, na hii imechangia mataifa ya Magharibi kusitisha misaada...... Canada announces it is immediately suspending funding for the UN agency for...
  6. JamiiForums Tanzania Jamaa yangu ananitesa kisa alinitafutia kazi, ni haki?

    Wasalaam, Nilikuwa down bad, yaani nimepigika kinoma, yaani apeche alolo, yaani mbombo ngafu, yaani moja haikai mbili haikai, Yani nmechina mweupe pee. Kula ya mashaka, kulala kama ndege. Ila Kuna huyu jamaa angu tulisoma ote Olevel akaniconnect kwenye ajira inalipa fresh sio haba. Sasa...
  7. JamiiForums Tanzania Unahitaji kiasi gani cha pesa kuweza kuishi miaka 10 bila kufanya kazi ya kuingiza kipato?

    Miaka kumi ina miezi 120! Say: 3,000,000×120? = 360,000,000
  8. K

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kufanya interview nikiwa nimelewa nikapata ile kazi

    Ilikua mwaka flan bana, nikiwa niko tu jobless nikapokea call kutoka kwa recruitment agent kuwa kavutiwa na cv yangu hivyo anataka kusikia mawili matatu kutoka kwangu kabla ya kutuma cv yangu kwa client wao.well tulifanya nae fresh akanielewa then akaituma kwa client wake. Yule client wake...
  9. JamiiForums Tanzania Wahindi wafurika Israel kuchukua kazi zilizokua zinafanywa na Wapalestina

    Wapalestina takriban 90,000 walikua wameajiriwa Israel, ila baada ya HAMAS kuwaponza wakafurushwa, sasa hivi Wahindi wanafurika Israel kuchukua hizo nafasi. =================== ROHTAK, India -- When Israeli and Indian officials ran six days of skill tests for workers in the state of Haryana...
  10. JamiiForums Tanzania KERO Huu mfumo wa Employee Self Service wa Utumishi haufanyi kazi

    Sioni sababu na nashangaa kwanini UTUMISHI wamekimbilia kutumia ESS na huku ukweli haufanyi kazi, unaingia Online wanakwambia wanashidnwa ku-retrieve taarifa zako, unaomba uhamisho, unajaza kila taarifa then unakuta hakuna kiytu chochote na hakuna mtu wa kukusadiai. Naupenda sana Mfumo wa NEST...
  11. JamiiForums Tanzania Wasimamishwa kazi kwa kumtoa mimba Mwanafunzi mwenye miaka 14

    MADAKTARI wawili ambao ni Dk. Obote Casto na Dk. Deus Chacha wa Hospitali ya Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga, wamesimamishwa kazi kwa tuhuma za kumtoa mimba mwanafunzi mwenye umri wa miaka 14 (jina limehifadhiwa) jambo ambalo ni kinyume na maadili ya kazi zao. Taarifa hiyo imetolewa na Mkuu...
  12. JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta kazi fundi bomba

    Habarii Wanajf, Mimi ni Mhitimu wa level 3 VETA mwaka 2023. Naomba msaada kwa yeyote anayeweza kunisaidia nikapata kazi inayoendana na fani yangu hapo juu!!! Nipo tayarii kufanya Kazi sehemu yeyote ndani ya Tanzania. Nb: Naweza kazi na nina uzoefu wa kutoshaa!!!
  13. JamiiForums Tanzania Baada ya kupata kazi wanawake wengi wanajipendekeza kwangu

    Habari, Kipindi nipo jobless hapa mjini, wanawake wengi walikuwa wananiringia hata salamu tu. Mtaani hapa nilikuwa Kila nikitongoza wanatema nje. Lakini baada ya kuajiriwa nashangaa Kila mwanamke yupo humble, peaceful na anajituma. Wakija kunisalimia wanafua mashuka na kuosha vyombo na kufanya...
  14. JamiiForums Tanzania Nataka mwanaume mstaarabu, muaminifu, mwenye kazi asiwe kibenteni. Awe na mbinu za hela, awe handsome, mzuri

    1. Nataka mwanaume mstaarabu, muaminifu, mwenye kazi asiwe kibenteni. Awe na mbinu za hela, awe handsome, mzuri, awe anajiheshimu. Asuchepuke. Awe anawahi kurudi nyumbani. Ajue mahaba, asiwe MUONGEAJI, asiwe na maneno makali. Awe mpole. Anajua mahaba. Wanawake WANAOTAKA WANAUME hao PUNDA MIZANI...
  15. JamiiForums Tanzania On be the first to know, could JF be ni funga kazi zaidi ya mainstream media zote? Shuhudia hapa

    Wanabodi, Mimi ni miongoni mwa waraibu wa JF, usingizi ukinikatika, huingia JF, Alfajiri ya leo, usingizi umekata mapema, ile swalaa swalaa imenikuta macho, hivyo baada ya yale ya msingi baada ya kuamka, nikashuka if, nikakutana na bandiko hili: LIVE - Ziara ya Rais Samia katika Ikulu ya...
  16. JamiiForums Tanzania Ukimpata Kiongozi Mwaminifu Maendeleo ni Kazi Rahisi Sana: Mbunge wa Mbogwe, Maganga

    UKIMPATA KIONGOZI AMBAYE NI MWAMINIFU KATIKA MAJUKUMU YAKE MAENDELEO NI KAZI RAHISI SANA: MHE. NICODEMAS HENRY MAGANGA, MBUNGE WA JIMBO LA MBOGWE MKOANI GEITA "Mwanzoni kulikuwa na watu siyo waaminifu, wakipewa leseni za uchimbaji Madini walikuwa wanawafukuza kama wanyama. Mimi nilikuwa na upeo...
  17. JamiiForums Tanzania Baada ya maboresho kukamilika, Bandari ya Tanga imeanza kazi, shehena na meli zaongezeka

    Baada ya kukamilika miradi ya maboresho katika bandari ya Tanga, kumepelekea tija kubwa kuonekana katika nyanja tofauti ikiwemo kuongezeka kwa shehena na meli zinazohudumiwa katika bandari hiyo jambo ambalo linachangia ongezeko la mapato. Hayo yamesemwa Jumanne tarehe 23 Januari, 2024 na Meneja...
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Ualimu

    👨‍🏫👨‍🏫👨‍🏫👨‍🏫👨‍🏫👨‍🏫👨‍🏫👨‍🏫 NATAFUTA KAZI YA UALIMU Mimi ni mwalimu mwenye shahada ya elimu, nina uzoefu wa miaka minne wa kufundisha shule za msingi na sekondari. Ninafundisha masomo ya Kiingereza, Historia ya Tanzania, CME, Kiswahili, Jiografia na Mazingira, na Elimu ya Jamii kwa shule za...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Nimepata kazi ambayo inaniruhusu kuhamia USA nikitaka, lakini mshahara ni ule ule popote nitakapoamua kufanyia kazi

    Habari wakuu, Nahitaji ushauri kidogo hapa. Nimepata kazi ambayo inaniruhusu kufanyia kazi popote pale, na hata kuhamia yalipo makao makuu ya shirika kama nikitaka (Houston, Texas, USA), lakini pia nikitaka naweza kubaki hapa hata Tanzania nikaendelea kufanya kazi remotely, nikawa naenda USA...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Ramaphosa amfuta kazi Mshauri wa Uchumi baada ya kuibuka utata kuhusu Elimu yake

    AFRIKA KUSINI: Rais Cyril Ramaphosa amemuondoa kazini Dkt. Thabi Leoka ambaye ni mmoja kati ya Washauri wake katika masuala ya Uchumi kufuatia hoja zilizoanza kuibuliwa kuhusu uhalali wa sifa zake Kitaaluma. Kwa mujibu wake Dkt. Leoka anadai alipata 'PhD' yake kutoka Chuo Kikuu cha London...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…