Makonda anafanya kazi za Kinana na Dkt. Nchimbi. Je, ndiyo utaratibu wa chama?

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,966
Kwa mujibu wa Katiba ya CCM kazi ya Katibu wa Itikadi,uenezi na Mafunzo ni kukisemea na kukitolea taarifa chama kinapokua kwenye utekelezaji wake. Sasa Kaka Bashite aneacha wajibu wake anafahya kazi za Makamu mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Kinana, anafanya kazi za Dr Nchimbi, katibu mkuu wa Chama. Sinui Naibu katibu mkuu ana kazi gani.

Bashite sasa anajiona yeye ndiye mwenye chama, kwamba ndiye peke yake mwenye kutatua changamoto za wananchi.
Ukiangalia juu yake kuna viongozi wazito kama 6 hivi ambao yeye anawajibika kwao, lakini yeye ndio utafikiri ni makamu mwenyekiti wa CCM Bara.

Hii kazi ya mwenezi kuita Mawaziri hadharani kama watoto wadogo anawahoji kwa ukali ni kazi ya Msemaji wa Chama? Anaelewa sawa sawa majukumu yake huyu jamaa? Spoken person wa Chama ndio wa kuzunguka na maburungutu ya pesa anagawia wananchi?

Makonda kwa hakika asipoelekezwa majukumu yake akaachwa maskio yakazidi kichwa kwa kizingizio ameagizwa na Rais Samia atakiua Chama, atakigawa chama makundi makundi. Alijitanabahisha kwa mdomo wake Bashite yeye alikua kundi la Magufuli,Dr alikua timu Lowasa, Kinana team Msoga, hivi kuna kukalika hapa?

Aitwe apewe Job description yake, vinginevyo atakikikmbia chama mapema yeye binafsi au kikakimbiwa na wanachama wengi tu.
 
Bado hujasema!

1706387919287.jpg
 
Labda amekosa semina elekezi
 
Yaan kama magufuli alisemwa vibaya akiwa hai...na baada tu ya kufariki bas mazur yake yakaanza onekana...barabara mwacheni makonda apige kazi...hii nchi ukifata viprotocal tutachelewa haswa...ni binadam yapo mengi anayopatia na machache anayokosea...twenden na mengi anayopatia...Makonda ishi Milele...kuna viwatu kaz yao ni kukosoa tuu..inakera sana..ubinafsi unawapeleka wapi?...Piga kaz Mwenezi...
 
Makonda ni Magufuli mdogo 😀
 
Wanamuacha ahangaike kama alivyokuwa mkuu wa mkoa ,siku wakiamua wanampiga chini. Yeye ni mteuliwa tu ndani ya CCM ila CCM ina wenyewe.

Kipindi hiki anahitajika kukirudisha chama ndani ya fikra na mioyo ya watu,kazi ambayo Mama hawezi kuifanya peke yake . Anahitaji watu wa kumpambania katika uchaguzi wa 2025. Magufuli alikuwa anaipiga hii kazi ya uenezi peke yake kama jeshi la mtu mmoja ila mama hawezi muda mwingi yupo ofisini ama safarini.
 
Kwa mujibu wa Katiba ya CCM kazi ya Katibu wa Itikadi,uenezi na Mafunzo ni kukisemea na kukitolea taarifa chama kinapokua kwenye utekelezaji wake. Sasa Kaka Bashite aneacha wajibu wake anafahya kazi za Makamu mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Kinana, anafanya kazi za Dr Nchimbi, katibu mkuu wa Chama. Sinui Naibu katibu mkuu ana kazi gani.

Bashite sasa anajiona yeye ndiye mwenye chama, kwamba ndiye peke yake mwenye kutatua changamoto za wananchi.
Ukiangalia juu yake kuna viongozi wazito kama 6 hivi ambao yeye anawajibika kwao, lakini yeye ndio utafikiri ni makamu mwenyekiti wa CCM Bara.

Hii kazi ya mwenezi kuita Mawaziri hadharani kama watoto wadogo anawahoji kwa ukali ni kazi ya Msemaji wa Chama? Anaelewa sawa sawa majukumu yake huyu jamaa? Spoken person wa Chama ndio wa kuzunguka na maburungutu ya pesa anagawia wananchi?

Makonda kwa hakika asipoelekezwa majukumu yake akaachwa maskio yakazidi kichwa kwa kizingizio ameagizwa na Rais Samia atakiua Chama, atakigawa chama makundi makundi. Alijitanabahisha kwa mdomo wake Bashite yeye alikua kundi la Magufuli,Dr alikua timu Lowasa, Kinana team Msoga, hivi kuna kukalika hapa?

Aitwe apewe Job description yake, vinginevyo atakikikmbia chama mapema yeye binafsi au kikakimbiwa na wanachama wengi tu.
pasina shaka yeyote unapotosha ukweli wa mambo bila kujua chochote kabsaa juu ya kazi, majukumu na wajibu wa viongozi wa CCM...

Busara inanielekeza ungekaa kimya tu au ungeeleza ya chama chako unayoyajua, lakini kwa CCM hujui kitu na kwahivyo unapotosha mchana kweupe 🐒

unadhani maandalizi ya sera, program, hadidu za rejea za maandalizi ya ilani ya chama zinafanyika chumbani kama wengineo?
 
Yaan kama magufuli alisemwa vibaya akiwa hai...na baada tu ya kufariki bas mazur yake yakaanza onekana...barabara mwacheni makonda apige kazi...hii nchi ukifata viprotocal tutachelewa haswa...ni binadam yapo mengi anayopatia na machache anayokosea...twenden na mengi anayopatia...Makonda ishi Milele...kuna viwatu kaz yao ni kukosoa tuu..inakera sana..ubinafsi unawapeleka wapi?...Piga kaz Mwenezi...
Wahuni hawampendi crd Mako anawasema vibaya wanataka asiwepo
 
Kwa mujibu wa Katiba ya CCM kazi ya Katibu wa Itikadi,uenezi na Mafunzo ni kukisemea na kukitolea taarifa chama kinapokua kwenye utekelezaji wake. Sasa Kaka Bashite aneacha wajibu wake anafahya kazi za Makamu mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Kinana, anafanya kazi za Dr Nchimbi, katibu mkuu wa Chama. Sinui Naibu katibu mkuu ana kazi gani.

Bashite sasa anajiona yeye ndiye mwenye chama, kwamba ndiye peke yake mwenye kutatua changamoto za wananchi.
Ukiangalia juu yake kuna viongozi wazito kama 6 hivi ambao yeye anawajibika kwao, lakini yeye ndio utafikiri ni makamu mwenyekiti wa CCM Bara.

Hii kazi ya mwenezi kuita Mawaziri hadharani kama watoto wadogo anawahoji kwa ukali ni kazi ya Msemaji wa Chama? Anaelewa sawa sawa majukumu yake huyu jamaa? Spoken person wa Chama ndio wa kuzunguka na maburungutu ya pesa anagawia wananchi?

Makonda kwa hakika asipoelekezwa majukumu yake akaachwa maskio yakazidi kichwa kwa kizingizio ameagizwa na Rais Samia atakiua Chama, atakigawa chama makundi makundi. Alijitanabahisha kwa mdomo wake Bashite yeye alikua kundi la Magufuli,Dr alikua timu Lowasa, Kinana team Msoga, hivi kuna kukalika hapa?

Aitwe apewe Job description yake, vinginevyo atakikikmbia chama mapema yeye binafsi au kikakimbiwa na wanachama wengi tu.
Yeye ndio kila kitu kwa sasa kwenye Chama. !
Ruhusa amepewa na Mwenyekiti kwa makusudi kabisa ili kuwadhibiti wale wenye viherehere vya kutaka kuyapima maji kwa miguu yao 😅😅🙏🙏 !
Ukimuona mbuzi juu ya mti ujue amepandishwa !!
Kazi wanayo 😅😅🙏
 
Back
Top Bottom